Search results

  1. Mwanamageuko

    Kwanini TFF wamewahi kuitolea Hukumu Kesi ya Manara ila ya CEO Barbara hadi Leo wako Kimya?

    uko sawa kabisa mkuu huu ni mjadala wa wake wenza
  2. Mwanamageuko

    Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

    Serikali na ifanye kazi jumapili kukwepa udini...
  3. Mwanamageuko

    Polisi, Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya/Mikoa na Usalama wa Taifa kuingilia uchaguzi kwa amri toka juu ndio kinaharibu, sio Katiba

    Huo ndio ubovu wenyewe wa katiba. Ingelikuwa katiba iko sawasawa hayo maagizo toka juu na wapokea maagizo kila mmoja angejua na kutimiza wajibu wake.
  4. Mwanamageuko

    Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Inasikitisha sana toka maprofesa wameanza kuokotwa majalalani
  5. Mwanamageuko

    Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Hawa maprofesa aina hii ndio wanaofanya elimu idharaulike!! Ikiwa kinyesi cha wanyama kinasababisha samaki kufa kwa wingi basi wenye mabwawa ya samaki wasingevuna hata samaki mmoja maana ni kinyesi hichohicho cha mifugo hutumika kuwapatia chakula hao samaki!!! Maprofesa uchwara wanailinda North...
  6. Mwanamageuko

    Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Hawa maprofesa aina hii ndio wanaofanya elimu idharaulike!! Ikiwa kinyesi cha wanyama kinasababisha samaki kufa kwa wingi basi wenye mabwawa ya samaki wasingevuna hata samaki mmoja maana ni kinyesi hichohicho cha mifugo hutumika kuwapatia chakula hao samaki!!! Maprofesa uchwara wanailinda North...
  7. Mwanamageuko

    Rais Samia, jitenge na GSM kama ulivyojitenga na Sabaya

    Sawa tumekuelewa mkuu ila awakumbatie type ya kina Bashite, Sabaya na Mnyeti!!! Sakata la forgery huwa linafanya watu waweweseke sana!!
  8. Mwanamageuko

    Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Na bado bila hata haya anasimama hadharani na kutangaza kuwa anadhulumiwa!!! Tulipata kuandika humu Post in thread 'Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu' Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu
  9. Mwanamageuko

    Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Hili bado kimenyamaziwa ila soon nalo litapanda hewani!! Tulipata kuandika humu "kama tadinu tudanu!" kikombe kilekile kinanywewa upande wa pili sasa
  10. Mwanamageuko

    Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Cheti cha kughushi,napata shaka hata mkataba utakuwa wa kughushi!! Aliyetoa pesa bandia kauziwa bidhaa bandia ngoma droo!!
  11. Mwanamageuko

    Paul Makonda aiomba Mahakama siku 21 ili ajibu hoja za Kubenea

    Kawaida ya chawa nywele zikishanyolewa wanapoteza makazi
  12. Mwanamageuko

    Sikuruhusiwa kukagua Daftari la Maslahi na Rasilimali la Paul Makonda

    Na huyohuyo Makonda aliwahi kumweka lockup Haji Manara. Nikionacho sasa ni "mbwa kala mbwa!!"
  13. Mwanamageuko

    Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Hii issue ukimwangalia Baashite unaona wazi ana akili kama za wale madada wanaopewa funguo za gari bila kadi!!
  14. Mwanamageuko

    Makonda: Baadhi ya Askari Polisi jijini Dar wanawalinda wafanyabiashara matapeli wanaodhulumu mali za watu

    Wakongo wana msemo wao "balya ngwena baseka, balya muntu balela!" watu wakika mamba furaha, mamba akila mtu kilio! Ama wahenga pia walinena "mkuki kwa nguruwe..."
  15. Mwanamageuko

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Suluhisho ni kurejesha mali za wenyewe na kuomba msamaha hadharani! Tulisha'ga' andika angalizo humu...
  16. Mwanamageuko

    Hivi ni Ofisa gani wa Serikali ya Tanzania aliyezuia Utajiri wa Makonda kuchunguzwa?

    Watu wamemsigina sasa ili anuke mbichi na mbivu zijulikane!! Sitoshangaa majizi menzake yakianza kumkana kama ambavyo Ole Sabaya anavyowakana wale pika pakua wake!!
  17. Mwanamageuko

    Makonda alitoa wapi zaidi ya Sh. Bilioni moja kujenga nyumba binafsi. Je, mshahara wa Mkuu wa Mkoa kwa miaka 3 unatosha?

    Huyu inaonesha alivuka urefu wa kamba yake ama aliikata!! Tamaa mbele...
Back
Top Bottom