Search results

  1. S

    TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

    Akili za kuambiwa na wanasiasa...changanya na za kwako! Usisubiri uambiwe ukwepe mikusanyiko....wewe ikwepe! Siyo jinai kuvaa mask.....vaa. Siyo kosa kutumia sanitizer....tumia. Kama kwenda kanisani au msikitini kutakuletea maambukizi, acha. Hata Mungu anafahamu hilo.
  2. S

    Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete achaguliwa Kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2013

    Gazeti lililompa Award President Kkwete linatwa African Leadership Magazine linalomilikiwa na wafanya biashara toka Nigeria.Wazungumzaji wakuu walikuwa ni Mr John Kennedy Opara, Executive Secretary, Nigerian Pilgrims Christians Commission na Dr.Kingsley C. Moghalu Deputy Director Operation...
  3. S

    Msaada Great thinkers na Written Interviews za Internal Audit (TPDC)

    Nilipofnya interview na hawa watu, miaka kama mitano iliyopita, niliulzwa maswali haya ambayo bado nayakumbuka: 1. The NBAA audit Guideline disqualifies some individuals to practice as auditors, mention 4 of them and explain why are they disqualified? 2. Define internal Control System? 3. Which...
  4. S

    Picha: Nimeshaanza kazi mliyonituma Wanatanzania na wana CCM hapa Marekani

    mwigulu chemba, mbona umeacha kazi kibao tulizokutuma huko Tanzania ukaja kuwababaisha watanzania walioko USA ambao ni walengwa kwenye kiwanja chetu cha ndege cha dar? Kuna mambo mengi yanayohitaji mkono wako ambayo kama ungejinadi kwa picha kila mtu angekuelewa. Umerukia mambo yasiyokuhusu na...
  5. S

    Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

    Hawa jamaa wa Oman siwezi kuwasahau maana umaskini wangu unatokana na biashara haramu ya watumwa walioifanya nchini Tanzania miaka ya 1700. Waliwachukua ndugu zangu wote na hivyo ukoo wetu ukaanza moja. Wakiongozwa na Mheshimiwa Tip Tip, walifika mpaka kwetu Ujiji na kuzoa ndugu zangu wote...
  6. S

    Re: Nafasi ya kazi ya kujiajiri

    Nadhani sihitaji kubishana na wajumbe kupitia link hii.Analysis niliyofanya mpaka kuja kutangaza kazi hii si ndogo na hapo nilipofikia ni kwenye level ya juu sana ya uwekezaji. Mimi sihitaji kuajiri mtu atakayekuta kila kitu kimeshatengenezwa ili yeye afikie ofisini, huyo hana nafasi katika...
  7. S

    Re: Nafasi ya kazi ya kujiajiri

    Natafuta kijana , hasa mwanamme, awe na umri wa kati ya miaka 20-30 hivi, Form Six au aliye na Diploma ya profession yoyote ili ni nimpe kazi ya umeneja. Kijana awe na reference nzuri ya watu wanajulikana, mwelevu wa mambo na aliye mbunifu wa mambo kwani atakuwa na kazi kubwa kidogo ya kubuni...
  8. S

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Tanzania ijifunze toka Mdahalo wa Kenya!

    Nimefuatilia mdahalo wa wagombea urais wa Kenya leo na nimegundua kuwa wenzetu wamepiga hatua katika mpangilio madhubuti kwa kuwapata wagombea wenye sifa za Urais na siyo vihiyo. Ni jambo la msingi wakati wa mchakato wa katiba mpya nchini mwetu ni pamoja na kuiangalia vizuri katiba ya majirani...
  9. S

    Wewe -Ungekuwa meneja mkuu wa Precision Air

    Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya miaka 55, Mungu amenijalia kupita kwenye usafiri wa hewani na fastJet kutoka DSM kwenda Mwanza kwa bei ya sawa na usafiri wa Mombasa raha kati ya Dar na Mwanza. Aliyeleta idea hii ili na sisi wenzangu mimi tunuse hewa tamu ya karibu na mbinguni...
  10. S

    Makalio Makubwa...

    Hivi kwa nini wanawake wanachoma sindano za silicon ili kukuza makalio yao? Wengine wanatumia mpaka dawa za Kichina kuongeza saidi ya makali? Mpaka inafikia wakati wanawake wananunua nguo special zilizotengenezwa maalum kuongeza ukubwa wa makalio? Secretary wangu anasema eti wanafanya hivyo ili...
  11. S

    Kusafirisha conterner USA TO Tanzania

    Inategema uko sehemu gani ya USA. Kama uko Eastern Coast, kuna jamaa wanaitwa Pacifica Marine, wanafanya hiyo kazi. Walisafirisha container letu mwezi Julya 2012 na limefika Bongo bila tabu. Ingia website yao : www.pacificacfservices.com ili upate habari.
  12. S

    Kazi- MTALAAMU WA UMEME 110v-220V

    Nahitaji mtaalam wa mambo ya umeme ambaye anaweza kunibadilishia mashine washers na Driers na zile za kutotolea vifaranga vya kuku ambazo nimezinunua Marekani. Zote zinatumia umeme wa 110V lakini zinahitaji 3Phase, na power ya up to 3500W. Nahitaji mtaalam aje ashughulike nazo ili ziweze...
  13. S

    Mtaalam- UMEME WA 110V to 220V

    Mashine zangu zinakula 3500W na ni 3phase, hakuna transformer inayoweza kuhimili umeme huu. Wataalam wa umeme wanasema ni possible kuzibadilisha hizi mashini na kuwa 220V tena bila shida kubwa. Nitafutieni mtaalam anisaidie nami nimpe ajira.
  14. S

    Mtaalam- UMEME WA 110V to 220V

    Nahitaji mtaalam wa mambo ya umeme ambaye anaweza kunibadilishia mashine washers na Driers na zile za kutotolea vifaranga vya kuku ambazo nimezinunua Marekani. Zote zinatumia umeme wa 110V. Nahitaji mtaalam aje ashughulike nazo ili ziweze kuingiza na kufanya kazi kwa umeme wa 220V-240V...
  15. S

    Natafuta Mchumba

    Nimeona hitaji lako la kutafuta mchumba na mimi naomba nikuunganishe na jamaa yangu ambaye naye anatafuta mchumba. Lakini kabla sijakuunganisha, inabidi ufanye juu chini unitumie picha yako ili ninapompelekea hili swala niweze kupeleka na picha yako. Huyu jamaa ni M-Luo, anatoka Kenya, ni jamaa...
  16. S

    CHADEMA yaingia Marekani

    Kuna tetesi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe anaingia leo mjini Washington DC pamoja na ujumbe wake ili pamoja na mambo mengine, azungumea na Watanzania walnaoishi huko Marekani na kupokea maswali mbalimbali yanayohusu nchi yetu. Aliye na taarifa zaidi atujulishe ili tupeleke...
  17. S

    Natafuta charger ya Ibook G4

    Mkuu, hapo Tanzania huwezi kuipata hiyo charger unayotafuta. Lakini sis Pacificamarine tunaweza kukuagizia mpya toka Marekani kwa deal la US$ 60.00 na ikifika Dar tutakueleza ukachukue kwa agent wetu aliyeko Dar es Salaam. Tuandikie kwenye: pacificamarine@yahoo.com nasi tutafurahi kufanya...
  18. S

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    Pole sana mkuu. Unachotakiwa kufanya ni kuomba kazi za kufundisha. Jishikize kwenye chuo chochote hapa Tanzania ili uwe unapata hizo laki tano kwa mwezi. Wakati huo huo endelea kutafuta kazi bila kuchoka. Ni vizuri mno unapotafuta kazi huku ukiwa na kazi hata hiyo ya kufundisha ili iku-keep...
  19. S

    Vita vikizuka leo na nchi jirani watanzania tutasimama kama wakati wa Idd Amin?

    Najiuliza sana kuhusu suala la ubabaishaji unaoendelea kwenye nchi yetu ya Tanzania. Naona mambo hayaendi sawa, huku viongozi wetu wakikabiliwa na kashfa mbalimbali, mikataba mbalimbali hewa, uchumi kudidimia na wananchi kutumbukia kwenye winbi la umaskini na mambo mengine chungu nzima. Hivi...
  20. S

    nafasi za kazi tra,

    Ndugu yangu nadhani wameshafanya interview na wameshaanza kazi. Ndugu yangu wa karibu anayefanya kazi TRA alinijulisha jana kuwa dada yake ameanza kazi pale Airport kama Assistant preventive officer. Kama uliomba nafasi hizi basi zimeshajazwa.
Back
Top Bottom