Search results

  1. K

    Uhamiaji na urasimu wa kupata hati ya kusafiria

    Utatakiwa usafiri ukiwa na passport zote mbili yaani mpya na hiyo ya zamani yenye visa,utaionyesha hiyo yenye visa pale itakapohitajika.
  2. K

    Orodha ya mabasi, routes zake na wamiliki wake

    Smaa,Bazzu,Fresh ya shamba,Royal Sumai,Mapande,Super Kamwala,Air chalinze,Kamwanga line,master city,Born City,Air msae,Hatco,Mfahamiko,Rundugai,Ndewedo,kindokyakosembe,ushirika masaseni,embakassy,sharuks,,Fitina jirani,siri yako.
  3. K

    Msaada:Inawezekana kwa kutumia ile code ya TCU kuconfirm vyuo zaidi ya kimoja?

    Shukrani mkuu ila tupo mkoani tuliwapigia wakasema wanasubiri listi nyingine kutoka TCU
  4. K

    Msaada:Inawezekana kwa kutumia ile code ya TCU kuconfirm vyuo zaidi ya kimoja?

    Mkuu mimi mdogo wangu akaunti yake ya CBE inaonyesha kuwa amechaguliwa huko ameambiwa afanye malipo ya awali na aripoti chuo tarehe 23,lakini kwenye list iliyotangazwa na chuo hicho jina lake halikuwepo!kuwapigia akajibiwa listi ilikosewa,naomba maoni juu yahili.
  5. K

    Miamvuli ya kujiokolea kwenye Boeing 787-8 Dreamliner yetu, ipo Sehemu gani?

    Inapotokea dharura na ndege inatakiwa itue na hamna uwanja karibu best option inatua kwenye maji na sio porini ndio maana ndege zote zina life jackets.
  6. K

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Pia kuna matundu ya kutolea maji ndani ya kivuko kama yatakuwa upande huo uliopo nje ya maji kunauwezekano yakasaidia kuingiza hewa ndani japo ni kidogo.
  7. K

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Pia kuna matundu ya kutolea maji ndani ya kivuko kama yatakuwa upande huo uliopo nje ya maji kunauwezekano yakasaidia kuingiza hewa ndani japo ni kidogo.
  8. K

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Nimemkumbuka mzee Gogo alikuwa na mashine ya kusaga na kukoboa karibu na soko la mbuyuni.
  9. K

    Darbrew (Chibuku) Yasitisha Uzalishaji

    Nadhani pia pombe aina ya BURUDANI imeua soko la chibuku.
  10. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Shukrani mkuu
  11. K

    LIVE UPDATE TPL 15/9/2018

    samahanini wakuu naombeni link yakujiunga na group la mashabiki wa simba na yanga WhatsApp.
  12. K

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    samahanini wakuu naombeni link ya kujiunga na group la mashabiki wasimba na yanga WhatsApp.
  13. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Samahani wakuu naomba link yakujiunga na group lolote la Chelsea WhatsApp.
  14. K

    Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Sawa kabisa palikuwa pana garden nzuri sana ila kipindi cha masika maji yanakatiza hapo yanaharibu.
  15. K

    Orodha ya Waombaji waliodahiliwa na Chuo zaidi ya kimoja

    Mkuu hizo Code hazijatumwa bado wameambiwa wakae karibu na simu zitatumwa mda wowote. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. K

    Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

    Wanabodi kwa uzoefu wangu watu wengi walioachishwa kazi na mkuu imekuwa ni wakati wa weekend,nina imani kama Jumatatu itafika bila mkuu wa mkoa wa dar kutumbuliwa ndio basi tena.
  17. K

    Staili mpya ya ukabaji Dar es Salaam

    Mambo kama hayo wanayaweza wachina. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom