Search results

  1. A

    Jinsi ya Kufuta Akaunti Hapa JF

    Habari, Hivi karibuni tumefungiwa akaunti yetu kwa kushare na watu link ambayo hata sio dofollow, tunaona sababu hizi sio za msing kwani watu wengi hu share link mbalimbali hapa JF bila kufungiwa akaunti. Tumefanya mazungumzo na tumefikia hatua sasa tumeamua kufuta akaunti yetu hapa JF na...
  2. A

    Jinsi ya Kutumia Flash Kama Password ya Kompyuta Yako

    Habari wana JF leo ningependa kushare na nyie jinsi ya kutumia flash yako kama ufunguo wa kompyuta yako au password, Basi kwa kuanza basi ni vyema tukajua faida za kuwa na password katika flash drive, kuwa na password kwenye flash drive hii ina kusaidia hasa pale unapokuwa unasahau kwani...
  3. A

    Jinsi ya Kujua anae Angalia sana Akaunti yako ya Facebook

    Habari wana JF leo ningependa kushare nanyi makala kutoka katika tovuti ya Tanzania Tech, Njia hii inaonekana kuwa bora na ya haraka kwa kila mtu mwenye kompyuta. Kwa kuanza basi kumbuka ni lazima uwe wewe ndio mwenye akaunti hiyo ya Facebook kwani bila hivyo hutoweza kufanikisha hatua hizi...
  4. A

    Sasa Utaweza Kuosha Simu yako Kwa Maji na Sabuni

    Habari wana JF, leo nimeona ni share na nyie huu ugunduzi uliofanyika nchini japan, Kampuni moja ya huko japani imeweza kutengeneza simu yenye uwezo wa kuoshwa kwa sabuni na maji tena hata maji ya moto. Simu hiyo inategemewa kupatikana huko japan pekee, kwa sasa kama unataka kuangalia video ya...
Back
Top Bottom