Search results

  1. adrenaline

    Tafakari juu ya King penguin Sir Nils Olav

    Habari Wakuu tupate kutafakari wote kupitia hii link hapo chini Angalau basi hata sisi Huku Africa Binadamu wenzetu wangetufanyia wepesi maisha yalegee eti.
  2. adrenaline

    Msaada Utumishi Portal

    Habari za jiioni wana Jamvi,napata wakati mgumu sana kutumia hii wovuti ya Kujiunga ili kupata Salary slip.http://http://www.utumishi.go.tz/watumishiportal/signup/signup.php. Nina zaidi ya week sasa nahangaika kila muda,mara niivizie usiku lakini mara zote napata ujumbe huo hapo.Au kuna...
  3. adrenaline

    At any point in time if you encounter any problem, do not hesitate to contact NACTE by calling 07192

    MSAADA TUKIPATA TATIZO TUPIGE WAPI SIMU.NAOMBA KUJUZWA HUO UJUMBE NI SMS TOKA NACTE.AU NATATUA KWA NJIA ZIPI?(At any point in time if you encounter any problem, do not hesitate to contact NACTE by calling 0719222846, 0787050389 or using email admissions@nacte.go.tz)
  4. adrenaline

    Bodi ya mikomo angalieni vyema utaratibu wenu wa mpesa au mfumo wenu wa malipo

    Bodi ya mikomo angalieni vyema utaratibu wenu wa mpesa au mfumo wenu wa malipo.Kwa wanafunzi wanao tumia huduma hii kwa ajili ya kupata namba ya kujiunga katika system yenu(olams). Leo ni siku ya pili kijana wa jirani yangu anasuburi sms irudi ili aendelee na huduma zenu za kuomba mkopo.Na...
Back
Top Bottom