Search results

  1. adrenaline

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Umepewa mali unakuja kulia huku😀😀😀😀
  2. adrenaline

    Uwe makini sana na watu wenye tabia hizi WhatsApp

    Mwenye anaweka disappearing Sms na kuficha blue tick. Hawa huwa unaacha kabisa kuchati nao..hata atume lundo la sms
  3. adrenaline

    Je, Harry Kane atamaliza gundu la makombe Bayern?

    Huyu Babu hakuna mwenye atapingana naye UEFA hii.Ataibeba tena...waliobaki wote watoto wadogo mziki ni mkubwa Madrid kule😀😀😀😀😀😀
  4. adrenaline

    The decision has been made by Israel to attack Iran

    Let the Nuclear rain fall down. Viva Team Iran Pro Max.😀😀😀😀😀😀
  5. adrenaline

    Mafuriko yaliyotokea Dubai na tehran juzi na Jana yamesababishwa na bwawa la mwalimu Nyerere! viongozi wetu wamekosa umakini !

    Kunazo raia hata haizijui kama kuna kitu kinaitwa Bwawa la Mwalimu Nyerere. Nimesema ukiwa na hela..Umeme,Maji hivi vitu sio shida. Hakuna mtu anaonea mtu huruma huku Africa.
  6. adrenaline

    Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

    Ndio maana watu wanaua na kujiua. Ni mbaya sana,uko na watu wamekuzunguka lakini huwezi kueleza na hapo hapo kuna mwenye anakupa stress yupo kati yao.
  7. adrenaline

    Jijengee mfumo wa kutompa mtu ahadi yoyote kuhusu jambo au kitu chochote

    Kuna watu hawapendi kusikia neno HAPANA. Ubaya unaanza kwenye neno HAPANA. Na ndio maana sasa unasikia kauli ngoja tuone😀😀😀😀😀 Tujitahidi tu kwa namna yoyote usikose balance katika haya maisha. Vitu kama Ada, hiyo sio ermegency ni vina muda wa kujiandaa. Tenga fungu lako tokana na uwezo...
  8. adrenaline

    Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    Ndio Dunia ilivyo haina huruma na mtu. Dogo aliyenyang'anywa Kikapu akija kuwa mwanasiasa akiwa Mwizi tutapiga yowe. Kumbe ameoneshewa dharau toka day one mbele ya wakuu wa Meza.
  9. adrenaline

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Hahaha...kawaida sana hiyo.
  10. adrenaline

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Wataangushiwa hao muda si mrefu.
  11. adrenaline

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Kuna pahala watu wataangusha Ka Nyuklia kuweka mambo sawa.
  12. adrenaline

    Unahisi ni sababu ipi zaidi inayofanya ndoa nyingi za vijana kuvunjika?

    Nguvu ya Kiume na Kuwa na furaha kutokana na Pesa.
  13. adrenaline

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Mleta mada Hongera sana kwa kuonesha mambo yalivyo. Kwa navyojua siku hizi watu wana kitu inaitwa Sheria Mkononi na najua ilitumika kwa asilimia flani hapo. Kitu kibaya zaidi ni picha aliyojengewa huyo Mtoto wa Miaka mitano inatia huruma sana. Wanaume tutafute hela Mama Vijacho wasiteseke...
  14. adrenaline

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Wale walikuwa na familia zao Bible haikutaka kudeal na Familia zao. Usije danganyika.,wote umri ulichangamka. Udangayifu,ubinafsi,choyo ,usaliti ni sehemu ya asili ya Binadamu.
  15. adrenaline

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Ni MaPromax kama wengine.Nyimbo za Dini hakuwafanyi kukwepa hilo. Tena huko ndiko kuzuri mno. Kuwa rafiki wa Mondi si kitu chepesi tena Mwanamke.
Back
Top Bottom