Search results

  1. Liuumi

    Kuna kila dalili ya kuchakata pisi ya kiarabu leo

    Sikujui Mkuu ila umenichekesha sana Ndugu yangu Maana ndio kusema Waarabu hao wana u ndugu na Boss wa Buti la zungu
  2. Liuumi

    Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    Kashasema (Chole Road) mbona inatosha kujua anafanya Kazi gani
  3. Liuumi

    Machizi wanapenda kuja kwangu

    Una moyo safi
  4. Liuumi

    Hisia za mapenzi zikifa unafanyaje?

    Kama Hard disk imekuwa kubwa au Ndogo Maana kuna vitu vitashindwa kukaa sawa kwa sababu ya ku update system Alafu kuhusu swala la Kumtongoza tena changamoto iko kwenye vitu hivi -Vocha ya simu ili uwe kila wakati unapiga simu na kutuma sms -Lakini pia mazingira wakati huo alikuwa kwao lakini...
  5. Liuumi

    Nimegundua baba alimharibu (sexually abused) ndugu yangu wa kike

    Yaani Titicomb haswaa umeshauri hekima zaidi ya upeo wangu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Liuumi

    Nimegundua baba alimharibu (sexually abused) ndugu yangu wa kike

    Kama kweli tabia iyo bado anaendelea nayo kwa Sheria ya kimaumbile na Imani ya Dini yangu angekuwa tayari kashaumbuliwa na Mungu, “ Karma never mis adress”. Ila poleni na fanya ukaribu wa zaida kwa watoto wako wote na watoto wa nduguzo ila wawe friendly kwako au kwenu wayasema wasioweza...
  7. Liuumi

    I have been scammed 1,100$ through Forex

    Sijui Kama watu wamekuelewa Hapo pa Investors password Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Liuumi

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    I like zinawahi kuchafuka na zina chelewa kutakata@kidambinya
  9. Liuumi

    Mitego ya wadada kwenye barbershops

    Kweli leo nimeamini tuchunge sana either ndimi au vidole vyetu Yaani kwa hapa alikuvutia JF anakosa lugha sahihi juu yako ndio na Unamwambia yeye alikuwa sehemu ya wewe kujiunga bila shaka kuna Nondo sana kutoka kwake zilikufanya mpaka ukavutiwa nae ila safi Umemaliza vizuri sana kwamba Bado...
  10. Liuumi

    Bora nikate tamaa ili niwe salama

    Bwana Daviie kwanza pole na sio kwamba watu hawayapitii unayopitia wewe NO. Wanapitia ila katika muktadha tofauti ila sijui katika haya nitakayo kushauri lipo litakalo leta maana kwako lakini kwa upande wangu baada ya kuyaona haya ya uyaonayo wewe leo kupitia JF nilitafuta namna nini nifanye...
  11. Liuumi

    Tuwalinde watoto wetu jamani hata baina yao

    Kaka jambazi umejibu “upuuzi”sana kiasi nimecheka hapa nilipo
  12. Liuumi

    Kuna watu wanaishi Dar, lakini hawajui hapa ni wapi

    LAPF second phase (Millennium tower)
  13. Liuumi

    Maisha ya Profesa Assad ya kujishusha iwe Funzo kwa wastaafu watarajiwa

    “Udhaifu” sio tusi na kusema ukweli kwake nisehemu ya Imani yake Udhaifu ni Sawa nakusema hali ya bwana yule inazidi kuwa dhaifu kadiri siku zinavyo zidi kwenda hujatusi bado unaelezea namna hali ya kitu au Mtu alivyo [STRONGNESS/WEAKNESS]
  14. Liuumi

    Maisha ya Profesa Assad ya kujishusha iwe Funzo kwa wastaafu watarajiwa

    Kuna Bwana Mmoja anaitwa Kama sikosei IVAN MISNE naweza nikawa nakosea jina ila uyu bwana yeye ni INTROVERT hakujua kwa mda mrefu kama yeye INTROVERT Mpaka siku anakula Mkewe akamwambia hakuamini baadae akampa sababu ndio akaamini ni Muandishi wa KITABU “NETWORKING LIKE PRO” ninachotaka...
  15. Liuumi

    What’s your most rebellious move that changed your parents?

    You were blessed by then n may be till now Sisi tulikuwa tunaishi tunakula kinachofika mezani na tunavaa tunachopewa!!! The options were narrow if not at all
  16. Liuumi

    Kwa waliosoma kitabu cha The Secret, yale mambo uķiapply yanatokea kweli?

    Mwl.RTC Mkuu tafadhari kama unaweza kutufanyia Msaada wa hivyo vitabu tajwa kutuwekea hapa
  17. Liuumi

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    Mimi shida yangu Ndg.Ally Balozi hakushina kitabu cha Imani yake wakati wa kuapa kwake sijui hili limekaa vipi ? Ila so far so Good Bado yupo
  18. Liuumi

    Kassim Majaliwa ni Rais ajaye wa Tanzania

    Mkuu sio 20/09 ni 20/10
Back
Top Bottom