Search results

  1. Mr Kicheko

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kabisa yule kada wa nyinyiem kapotelea wapi?
  2. Mr Kicheko

    How to Unlock Airtel Huawei E303h-1 Hi link

    hiyo software inahitaji net toka hotspot au modem nyingine isiyo ya huawei. kama haikubali basi modem yako itakuwa dead completelly. yangu ukichomeka inamweka mweka kama kawaida,haisomi port wala haikubali kuingia project mode. nikitumia hiyo hisilicon inadetect port pia dashiboard ya huawei...
  3. Mr Kicheko

    How to Unlock Airtel Huawei E303h-1 Hi link

    Huawei HiSilicon Firmware Writer - DC-unlocker
  4. Mr Kicheko

    How to Unlock Airtel Huawei E303h-1 Hi link

    Wakuu nimebrick modem yangu e303h-1 (ipo half dead) baada ya kuweka firmware isiyo yake, sasa haidetect com port ila nikitumia Hisilicon firmware writer com port zinaoneka fresh tatizo nashindwa kuwrite kwa kukosa credit. Kama kuna namna ya kubypass au software mbadala naomba msaada wenu. CC...
  5. Mr Kicheko

    Msaada wa firmware update ya huawei e303h-1 modem (mpya).

    Wakuu nimebrick modem yangu e303h-1 (ipo half dead) baada ya kuweka firmware isiyo yake, sasa haidetect com port ila nikitumia Hisilicon firmware writer com port zinaoneka fresh tatizo nashindwa kuwrite kwa kukosa credit. Kama kuna namna ya kubypass au software mbadala naomba msaada wenu. CC...
  6. Mr Kicheko

    Voda watoa 4G LTE

    Sijajua bado ndio maana nimeuliza eti lolowapi band zipi zinahusika
  7. Mr Kicheko

    Voda watoa 4G LTE

    Ndiyo hizi zimeanza kutoka mkuu
  8. Mr Kicheko

    Voda watoa 4G LTE

    Inaweza kuwa hivyo!!! nadhani wameanza kusambaza line za 4G kwanza maana kila anayeswap vodashop anapewa hizo mpya
  9. Mr Kicheko

    Voda watoa 4G LTE

    Duuuh.....!!
  10. Mr Kicheko

    Voda watoa 4G LTE

    Nimeswap pale mobile plaza kaka siyo uchochoroni kama unavyodhani
  11. Mr Kicheko

    Voda watoa 4G LTE

    VODA WAMEANZA KUGAWA LINE ZA 4G LTE Wanabodi Jana nilienda kuswap line yangu ya voda, baada ya kupewa line mpya nikaitia mfukoni maana nilikuwa na majukumu mengi. Nilipo pata mda ndiyo nikaiweka kwenye handset ila nilichogundua hii line ni tofauti na nyingine maana yenyewe ina rangi ya pink...
  12. Mr Kicheko

    Hii inawahusu watumiaji wote wa PC

    Itakuwa ni Tunnel guru na jamii zote za http(s) tunnel na hata proxy. Hapa jamaa ameshataja ni mtandao gani wenye chochoro hivyo usitegemee kama itadumu maana inaning'inia padogo tu. Jamaa watapiga pini mda wowote na watu watakuja kulalaikia Fweza zao hapa mda si mrefu.
  13. Mr Kicheko

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Teremka hadi Jangwani,Magomeni still itakuwa bado iko vizuri. Fanya usogee maeneo ya Kigogo na Manzese mbona utatamani kuitupa hiyo 4g
  14. Mr Kicheko

    Download Speed: Shkamoo Halotel

    Mimi nina 4g ya tigo nimetumia kwenye xperia Z2 but majanga speed haivuki 400KBps tena nime enable lte only. Hapo ni Manzese Dsm Kaka. Njoo halotel kitu kinapanda hadi 2MBps download speed.
  15. Mr Kicheko

    [U]SOUND DRIIVER YA WIN 7 MSAADA[/U]

    Tuambie unatumia dell ipi ili tukupe link ya hizo driver pia ujue hizo machine mpaka uwe na speaker 5ya nje au subwoofer
  16. Mr Kicheko

    BAKWATA waunga mkono Uchaguzi Kurudiwa Zanzibar

    Huyu alhad Salum nilipata kuingia ofisini kwake kipindi kile cha kampeni mwaka jana, nakumbuka vizuri ilikuwa mwezi wa Ramadhani nilishangaa kukuta ofisi yake imepambwa na kalenda za ccm na mabango ya kampeni ya Magufuri utafikiri ni ofisi ya CCM. Kama ilohalitoshi kuna siku nilikuwa na...
  17. Mr Kicheko

    Tigo night bundle yashuka tena!

    Bus nyingi zimepinduka kitambo. Juzi juzi tulikuwa tukipanda jipya la mwendo kasi bila nauli ila nalo lishazibiwa njia so halipandiki kirahisi. Kama sikosei lile la speed ndogo bado litakuwa lipo barabarani so mcheck Njunwa Wamavoko kama bado anakatisha tiketi.
  18. Mr Kicheko

    Msaada: Huawei Y 530 inasema SD Card Full wakati ina nafasi ya kutosha, nifanyeje?

    Kama simu yako ni zile za promotion fanya ku root simu yako kwa app ya towel root then tumia superuser kuondoa app za tigo na matakataka mengine yaliyokula memory. Upande wa memory card check kama memory yako ni Original maana nyingi zinazouzwa mitaani ni feki. Waweza kuta imeandikwa 16Gb wakati...
  19. Mr Kicheko

    Tamko Sahara Media Group kuhusu kufungiwa vyombo vyake

    Jamaa wanadunda kama kawa. Nadhani tangazo la kuwafungia lilikuwa tisha toto tu
Back
Top Bottom