Search results

  1. J

    Sitta: Uganda, Kenya, Rwanda waizidi kete Tanzania!

    Mimi kwa kweli sijajua mipango ya hawa wenzetu....
  2. J

    CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

    du japo mabadiliko nayataka lakini huyo jamaa anahitaji kuchukuliwa sheria.
  3. J

    UEFA Super Cup 2012 - Chelsea FC Vs Atletico Madrid : Live Updates

    leo mwalimu mfumu hakua poa dah..
  4. J

    LONDON 2012 SUMMER OLYMPIC GAMEs

    hivi watanzania wenzetu wameshakimbia?
  5. J

    Malawi,Tanzania begin talks over Lake Malawi dispute

    nashindwa hata kukujibu...
  6. J

    Malawi,Tanzania begin talks over Lake Malawi dispute

    na msije kabisa..simnajua tunajeshi la maji imara sana...
  7. J

    Heligoland-Zanzibar Treaty:The basis For Malawi Claims

    nawasiwasi na uraia wako...
  8. J

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    kumbe umesikaa tu....
  9. J

    Wachina wameni impress sana kwely olimpiki

    kweli kabisa yani weacha tu halafu wamepelea watoto tofauti na nchi nyingine.
  10. J

    Mechi ya Ngorongoro vs Nigeria inaonyeshwa channel gan kwenye tivi?

    du tumeshafungwa! Au unatania ndugu?
  11. J

    Jamani Hali ya Zanzibar na Muungano si Shwari

    sisi sote ni ndugu lakini kama mnataka hivyo ondokeni hata sahivi na kitu chakwanza tutachofanya tutawakatia umeme halafu mtaona..
  12. J

    Naombeni msaada

    kaka nimeenda ila bado tatizo linaendelea..
  13. J

    Naombeni msaada

    naombeni msaada mwili wangu unaniwasha sana pale ninapopita kwenye jua kali na nikipata joto na pia wakati na fanya mazoezi mwili unakua unaniwasha.Nikiazwa kuwashwa nakua najisikiakama vitu vina nichoma kama sindano au miba ila vinakua mwili mzima nishaendaga hospitalini wakaniambia niache kula...
  14. J

    CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

    tumefungwa lakini wenyenye mmeona mambo..
  15. J

    Jaman mi mwenyewe Yanga ila Mafunzo noumaaaaaaaaaaaa

    asante kaka nilidhani si mtanzania manaake jamaa ni noma basi pale mbele kwenye timu ya taifa itakuwa fresh akicheza na samatta na ngasa au mnasemaje wakuu
  16. J

    Jaman mi mwenyewe Yanga ila Mafunzo noumaaaaaaaaaaaa

    jamani hivi huyo said bahanuz in mtu wa taifa gani?
  17. J

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    ivi huyo said bahanuz ni mtu wa taifa gani?
  18. J

    Nairobi Launches Plans for SUBWAY yaani underground railway system

    du...sisi wabongo mpaka tumalizane na ufisadi kwanza.
Back
Top Bottom