Search results

  1. Wakuletwa

    Matokeo mabovu ya IV na majibu ya ovyo kwa watendaji husika...tutafika kweli?

    Ndio kila mtu kasikia juu ya uozo wa matokeo haya ya vijana wetu. Kwa kweli nchi ipo njia panda kuhusu elimu. Pamoja na uozo huo wa matokeo kilichonishangaza ni matendo au majibu yanayotolewa na hao wahusika ikiwemo walimu, watu wa baraza la mitihani pamoja nawaandishi wa habari. 1. Nianze na...
  2. Wakuletwa

    Kikwete huyu ni yule wa enzi zile?

    Kikwete yule alie kuwa mbunge wa Bagamoyo badae Chalinze si dhani kama ni huyu. Kikwete yule waziri wa nishati then Waziri wa fedha si dhani kama ni huyu. Kikwete yule waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa si dhani kama ni huyu Kikwete huyu mbona hafanani na yule.. Sina hakika kama...
  3. Wakuletwa

    Nini Dawa ya Ushoga?

    Habari wana JF! Mtoto wa Wangu amegeuka shoga ana miaka 13. Nifanyeje ili kumtoa katika janga hili? Naomba msaada wenu wa mawazo ndugu zangu. Roho inaniuma lakini sina cha kufanya!
  4. Wakuletwa

    Arsenal inaelekea kuzimu

    Mnaikumbuka LEEDS UNITED! Ilikuwa inatisha enzi za kina Rio lkn ikaporomoka mpaka .... Sasa Asernal nayo inaelekea huko balaa gani hili?
  5. Wakuletwa

    Sasa tunaishi kwa ndoto!!!!!

    Ndoto, ndoto, babu anatibu kwa sababu kaoteshwa! Yes ameoteshwa kuponya magojnwa matano sugu! Hii ni kwa mujibu ya wenzetu walioenda huko kupata tiba. Siwalaumu hata kidogo wagonjwa kukimbilia huko hebu jiulize ingekuwa wewe unaumwa gonjwa lisilo dawa halafu unasikia kuna mtu anatibu ugonjwa huo...
  6. Wakuletwa

    Katiba mpya sawa, watekelezaji je

    Heshima kwenu wana JF. Katiba mpya ndio habari iliyopo mjini sasa, ni kweli hata mimi naihitaji sana ila hofu yangu ni kuwa katiba ni maandishi tu hayatendi chochote pasi na matakwa ya walioitunga. Hii mbovu tulionayo ina mazuri yake lakini hakuna wa kuyatekeleza tena machache. Wakati...
  7. Wakuletwa

    Wizi wa fedha kwenye ATM !!!!!!!

    Salaam ndugu zangu, kuna utapeli umezuka kwenye huduma za benki hasa kwa wenye kutumia simu za mkononi kuhamisha au kupata huduma zozote za benki. Juzi nilikuwa NMB tawi la Morogoro road hapo Dar nilimuona dada mmoja akilalamika kuwa akaunti yake imekuwa ikihamishwa fedha na watu asiowajua. Ila...
  8. Wakuletwa

    Dah kumbe sikupiga hodi

    Asalaam alykum! Nisameheni jamani niliingia bila hodi wakati wa uchaguzi. Sasa nawasabahi rasmi. Nimefarijika sana na JF kwani penye wengi pana mengi. Hodiiiiiiiiiiiii:target:
  9. Wakuletwa

    Mishahara na posho za wabunge kupungua?

    Ule wakati niliokuwa nausubiri sana sasa umefika. Hoja ya Dr Slaa kuwa wabunge wana maslahi makubwa sasa ni wakati muafaka wa kuipigania. Natarajia wapo wabunge ambao watahakikisha na hata kususia posho na marupurupu kibao ili fedha hizo ziende kwenye huduma za jamii kama maji, afya na elimu...
  10. Wakuletwa

    Kwanza katiba au uchaguzi

    Lipi lililo bora kufukuza mamba waliopo mtoni ndio tuogelee au kuogelea na kuwafukuza tukiwa ndani ya mto huo huo. Yes nimelazimika kusema hivyo kwa kuwa tumekubali kuingia katika uchaguzi ilhali tukijua fika kuwa katiba iliyopo haitufai na haiwezi kutupa haki nafikiri sasa tumeshapata somo la...
  11. Wakuletwa

    Elections 2010 Mnazikumbuka ahadi tulizoahidiwa wati wa kampeni?

    Naomba mzitaje hapa for JF reference naanza na 1. Barabara za juu! 2.Tatizo la maji litakuwa historia hapa Dar 3. Lami kuunganisha Mara na Arusha kupitia serengeti 4.
  12. Wakuletwa

    Elections 2010 Tumejifunza nini juu ya uchaguzi huu 2010?

    Ndugu wana JF hatimae ule mchakato kama sio mchakachuo wa uchaguzi umeshapita na wote tumeuona kwa macho yetu. Je tumejifunza nini? Kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya uchaguzi huu ulivyoendeshwa. Kampeni hazikuwa na tatizo kubwa sana kwa kiasi kikubwa zilikwenda salama, tatizo lilianza...
  13. Wakuletwa

    Elections 2010 Hivi kazi ya wakala katika uchaguzi ni nini?

    Nauliza kwa sababu nashindwa kuelewa maana wao ndio walikuwa muhimu kutuletea habari zote sahihi za uchaguzi na Mwenye kibao wa tume angekuwa kazi yake ni kukat na kupest sasa hii ya kukat tu imetoka wapi? Na nyie mawakala tunaomba mtunze kumbukumbu zote muhimu za uchaguzi maana dalili za...
  14. Wakuletwa

    Elections 2010 Timu ya ushindi hii hapa ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

    Hapa Sugu, Lema,akija Zito, Mdee na Mnyika we acha wakisaidiwa na Ndesa pesa mzee wa CUF Hamadi Rashid na wengineo! Tuombe uhai hapo mjengoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  15. Wakuletwa

    Elections 2010 Mkinga ni CCM tena

    Mambo ya Tanga hayo
  16. Wakuletwa

    Elections 2010 Maalim Seif mfano wa kuigwa kwa ustaarabu wa kukubali matokeo

    Kaonyesha uungwana na ukomavu wa hali ya juu tumuunge mkono, kweli muafaka ulikuwa muhimu sana huko Zenji kwani tofauti ya kura ni ndogo sana.
Back
Top Bottom