Search results

  1. nimbagonza

    Utata wa riba katika mikopo inayotolewa na Mabenki

    Mm nilikopa milioni 12 j Naona kmaa narejesha mara tatu yake aiseeh inaumaaaaa[emoji24]
  2. nimbagonza

    KWELI Bundi si mchawi, ana uwezo mkubwa wa kunusa seli zilizokufa

    Asante sana,nimejifunza kitu kipyaa
  3. nimbagonza

    KWELI Uume huacha kukua mwanaume anapofikisha umri wa miaka 20

    Mnawanyima vibamia matumaini,sijapendaa
  4. nimbagonza

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Tafadhali naomba kujua kama kirutubisho cha carogold kina madhara kwa binadamu na kuku watakao totolewa kutoka kwenye mayai ya kuku waliopewa kirutubisho hicho.
  5. nimbagonza

    Carogold ina madahara kwa mayai ya kutotolesha na kwa binadamu?

    Habari wana jukwaa, Kuku wangu wanataga mayai hayana kiini cha njano kabisa, hata niwape vitamini gani. Katika pita pita nikagundua hii carogold, natamani kuitumia lakini najiuliza je haina madhara hasa kwa binadamu na mayai ya kutotolesha?
  6. nimbagonza

    Ni wanawake wote wanafika kileleni kwa kurusha au kutoa maji mengi?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. nimbagonza

    Naomba kujuzwa dawa ya kutibu Minyoo tegu!

    Asante nimetoka tena Mloganzila nimeambiwa anywe albendazole ash na jioni kwa siku 14 ina maana doz 28
  8. nimbagonza

    Naomba kujuzwa dawa ya kutibu Minyoo tegu!

    Habari wanajukwaa, Tafadhali anayejua dawa nzr ya kutokomeza kabisa minyoo tegu anisaide,inamsumbua sana binti yangu, nimeenda hospital mwanangu anapewa dawa na baada ya muda anawaona kwenye kinyesi, tafadhali nisaidieni.
  9. nimbagonza

    Mgeni wenu

    Karibu mama!
  10. nimbagonza

    M-Pawa na mikwara ya kuwashtaki wadeni wake

    Wanadai hawa jamaa unaweza hisi wako nje mlangoni kwako walivyo na vitisho[emoji23] Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  11. nimbagonza

    Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Kwanza ncheke mwalimu mie[emoji23][emoji23] Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  12. nimbagonza

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Naomba connection ya kuuza kuku chotaramayai na vifaranga plz!! Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  13. nimbagonza

    FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    Channel gani? Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  14. nimbagonza

    Ingia mwaka 2023 na siri ya kutunza siri ili mambo yako yasibume tena

    Barikiwa sana mkuu mwaka huu naamini ni wangu sasa,maneno yako yamenipa ukomavu,MUNGU akubariki san
  15. nimbagonza

    Nahitaji IST namba D

    Njoo Dm
  16. nimbagonza

    Mwanzo wa meditation

    Shukrani sana mkuu
  17. nimbagonza

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Huu uzi unaogopesha,yaani hadi mwili umepata baridi[emoji24]
Back
Top Bottom