Kulinganisha Scania na Howo ni kuivunjia heshima Scania. Mchina anakupa kitu famba kwa bei chee. Sawa na hawa wamiliki wa mabasi wanavyokimbilia kwenye Yutong. Ila Scania anabaki kuwa kwenye ulimwengu wa pekee.
Mtakufa na presha.
Na akili yako timamu unadhani kila mchezaji anaeusishwa na Man Utd anatakiwa kweli.?
Are you that stupid enough to believe any rumours?
Apewe hela alete wachezaji anaowataka.
Asipopewa hela ataishia kwa kina sabitzer.
Mashabiki mna kiherehere sana bila kujua behind the scenes mambo yanavyoenda.
Makocha wanahujumiwa sana na management and owners.
Dunia nzima ni masikini.
Hata huko ulaya masikini wapo.
Hata serikali iseme bajeti yote ipelekwe kuondoa umasikini haitatosha hata miaka 100 ijayo.
Wacha vingine vifanyike.
Tanzania ardhi ni kubwa sana. Ikulu kuwa na eneo kubwa kuna umuhimu vile vile. Itapunguza msongamano miaka ijayo watu wakishaanza kujenge kuzunguka.
Hii ardhi ya Tanzania haitajaa hata miaka 100 ijayo.
Mipango ya usajili inatakiwa iwe imeshaanza sahivi. Na tushaanza kusaini.
Ila mpaka sasa hatujui kama hao Glazers watauza au la.
Mchakato ni mrefu kidogo hata kama Glazers wakisema wanauza leo. Ambapo mafanikio ya kweli tuyafikirie baada ya msimu ujao.
Sio msimu ujao.
Tuanze kuwaza kuuza...
Hatuna wachezaji tu.
Kucheza mpira kama wa city ni uongo, tunahitaji wachezaji wanaotafuta ushindi kwa udi na uvumba. Hao wachezaji hatuna hasa strikers na midfield hata kipa.
Arsenal sio mara yao ya kwanza kucheza mpira waoacheza.
Sidhani kama mnaweza timiza hili.
Watu wengi hawatumii mwendokasi kwasababu ya utaratibu wenu mbovu.
Watu kujazana vituoni, kujazana kwenye mabasi.
Tafrani tupu.
Watu wanaangalia mafanikio uwanjani.
Madrid wapo kwenye league yao peke yao.
Tuache kwanza kujilinganisha nao.
Tupambane kuangushe ufalme wa Man City kwanza. Tukimaliza ndo tuhamie Madrid.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.