Search results

  1. BRO SANTANA

    Saa moja ya 'mapambano' mimi na waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Wewe ni kichwa narudia tena kwa sauti wewe ni jeneous. Umenifundisha kitu kikubwa sana
  2. BRO SANTANA

    Jinsi ya kuchagua jinsia ya mtoto

    Makofi kwako tafadhali. Huyo boya huko juu ameingiza watu chaka mbaya. Mimi nilicheza game siku ya 12 nimetoa bonge la binti chotara fulani hivi amaizing. Sema ana miaka 3 sasa nimeagiza dog aina ya Germany sheffed maana utopolo sio watu.
  3. BRO SANTANA

    Ushamba wa watangazaji wa ITV

    Mtoa mada ndio mshamba kabisa
  4. BRO SANTANA

    Utafiti: Watu wengi hawajui kama wanaumwa meno

    Kuna hospitali hapa Mbeya wanajiita mabingwa wa meno lakini walichonifanyia. Jino limetoboka linauma wananisafisha na wananipangia tarehe ya kurudi kusafisha tena. Nimerudi kusafisha zaidi ya mara 8. Mpaka hela yote ambayo ni limited kwenye bima imekata. Mpaka sasa naandika jino linauma...
  5. BRO SANTANA

    Kisa cha ajabu cha mabinti wawili waliopotea katika mazingira ya kutatanisha

    Daaaa stori imepangiliwa vizuri mpaka naitwa na wife mara 8 nipo nae sebuleni lkn sijasikia. Stori imetulia hongera sana uliyeandika. Weka namba yako upate lunch
  6. BRO SANTANA

    Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

    Aisee achana na huo moto wa tiger cage
  7. BRO SANTANA

    Mfahamu kwa ufupi Donnie Yen

    Itakuwa inaitwa TIGER CAGE
  8. BRO SANTANA

    Karibu upate magodoro ya Kampuni mbalimbali

    Kusema ukweli nimenunua godoro Dodoma inch 8 mwaka juzi 5x6 yani ni ovyo. Ukilala shimo halirudi juu tena. Yani nagombana na wife kila siku kisa alinishauri ninunue comfy mimi nikawa mbishi sababu comfy tumetumia sana nikasema tubadilishe brand kumbe nimejiroga. Godoro Dodoma kwa sasa ni fake tu...
  9. BRO SANTANA

    SpaceX wanazidi kuirudisha heshima ya USA katika masuala ya Space exploration

    Hakuna kitu napenda kama mambo ya anga. Yani bando linateketea hasa Allah kariim
  10. BRO SANTANA

    Nawashangaa wavaaji wengine wa barakoa

    Uliza kwanza mkuu. Barakoa ukisha vaa huruhusiwi kuigusa mpaka unawe kwa sabuni na maji tiririka au kitakasa mikono. Sasa unakuta mtu hivyo vyote hana kwa muda huo au hataki usumbufu na atakutana na watu sio muda. Labda kama yupo safari ndefu peke yake na hatasimama kwenye mji au kijiji. Allah...
  11. BRO SANTANA

    Moshi: Aliyepigwa kwa kudaiwa kufumaniwa amliza Mkuu wa Mkoa

    Yaani sijui ni wa mkoa gani. Au TMK Allah kariim
  12. BRO SANTANA

    INAUZWA Pikipiki TVS 150 inauzwa

    Tatizo una tamaa. Ofa kibao nzuri unakataa kipindi chenyewe kigumu hiki. Mpaka laki 8 umegoma Allah kariim
  13. BRO SANTANA

    INAUZWA Karibu dukani kwetu Magomeni Mikumi, ujipatie bidhaa mbalimbali

    Bonge la machine. Huo usafiri bure mpaka sisi mikoani??? Allah kariim
Back
Top Bottom