Search results

  1. B

    Hii verse ya tatu ya Joh nimeilewa sana

    Sipenzi mawazo Ya kupewapewa Na ndo mana mi sipendi bure Sipendi ukoloni hasa mkoloni mweusi Na ndomana joh mi siendi kule Ili tu mi nile zile chuki zile Hunijui kivileNyani haoni kundule You kiss ass na mnabaki na dhiki deile Na misa za kanisa mko siti za mbele Ni msasa nakuna kama kuna...
  2. B

    Nabii Gaucho

    Sio vizuri kumfananisha gaucho na hawa viumbe wa sasa kisa wanamagori mengi na vikombe vingi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. B

    Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

    Huyu jamaa ametoa nyimbo na underground kama reynavvy na kuweka record ya viewer million mbili ndani ya siku mbili. Sasa hii ya sasa hivi katoa na msani mkubwa tena anajulikana dunia nzima lakini mpaka sasa video hajafikisha million 1 tatizo nn!! Na sasa hivi hawaongelei issu ya viewer
  4. B

    Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

    Wale waliosema kuwa aje haikutakiwa kuwa video bora bongo eti moyoshine ndio ilitakiwa kuchukua hiyo tuzo, Hatima video hiyo imeendelea kupasua anga za kimataifa na hiyo jana kunyakuwa video bora ya mwaka kwa africa kupitia kituo kikubwa cha television cha soundcity televion. Hongera kingkiba
  5. B

    Kweli nimeamini mashabiki wananguvu kwenye mziki

    Nilikuwa nacheck mtv base kipindi chao cha verified nimeona ngoma ya nagharamia imepingwa.Naona jamaa baada ya lile shindano la face of tanzania kunakitu wamejifunza..
  6. B

    Kwa kauli hizi ni kweli Kiba anabaniwa

    Icon wa Bongo flava Naseeb ‘Diamond’ Abdul, amewashangaa wasanii wanaomtupia maneno kila kukicha kuwa anawabania wasanii wengine ‘connections’ za kung’ara kimataifa. Akizungumza na TBC juzi, Platnumz amesema anasikitishwa sana na maneno hayo ilhali anafanya juhudi kubwa kujitafutia na...
  7. B

    Nafikiri huu ndio muda mzuri wa kuomba katiba mpya

    Polepole wakati akiongea kwenye kipindi cha 360? cha cloudz tv kama mgeni mualikwa sambamba na pro beregu alisema EL ndio alikwamisha mchakato wa katiba mpya kupitia rasimu ya pili ambayo ililetwa na jaji joseph warioba.Kwahiyo kwa sasa sababu tumeshapata our new prezdent namuomba polepole...
  8. B

    Magufuri awaomba CCM wa Muleba wasimuangushe

    "Naomba na nyinyi msiniangushe maana wengine mchana mnakuwa CCM, usiku mnahamia vyama vingine, mimi nina moyo kama nyie jamani, msiponichagua nitakwazika sana wana Muleba". Alisema Magufuli mgombea urais CCM alipokuwa akizungumza na wakazi wa Muleba kusini hapo jana. Source: Ippmedia.com...
  9. B

    Haya maneno aliandika Diamond 9 April 2013

    Dah! hivi kweli Serikali imekosa majibu ya swali la mh: Mbunge kuhusu mapato ya biashara ya ringtones..!? Kweli sasa naanza kuamini kuwa Serikali Inatukumbatiaga tu kwa Mda mfupi na kututumia Wasanii kwenye Kampeni zao kwa Maslahi yao Binafsi, kisha wanatu Damp Baada ya kufanikiwa kwenye...
  10. B

    Mambo nilijifunza kutoka kwenye mkutano wa CCM

    Mambo 20 ya Kushangaza Niliyojifunza Kwenye Mkutano wa CCM Jagwani Haya Hapa.... 1. Yamoto Band wameshangiliwa zaidi kuliko Magufuli 2. Wakati Mbowe amewakutanisha Lowasa na Sumaye. Leo Jakaya amewakutanisha Diamond na Wema Jangwani, 3. CCM wanajua kuwa mikutano ya UKAWA inapata...
  11. B

    Diamond: Nililipwa 100mil kutumbuiza jukwaa moja na Ali Kiba

    Diamond asema alilipwa shilingi milioni 100 ili kutumbuiza jukwaa moja na Alikiba katika show ya ‘Kiboko Yao'. Mashabiki wengi wa muziki wa Bongo wanatamani siku moja kuwaona Diamond na Alikiba wanafanya kazi pamoja, kama ambavyo Wizkid na Davido ambao wameahidi kuachia joint yao siku...
  12. B

    Dj Fetty awachana BASATA

    On Instagram: @Thebestfetty; "Zilitoka mixtape za matusi za ANTI VIRUS vol 1 na 2, BASATA ilikaa kimya na ilitoa kibali cha uzinduzi wa anti virus volume 2, Viwanja vya posta, licha ya kuwepo kwa malaamiko. SWALI ni, kifungu kilichotumika kumhukumu ni kuwa UCHI au ni UVUNJAJI WA...
  13. B

    Diamond: Nana ilikuwa nifanye na Ludacris

    Nimemsikia Dangote kwenye kipindi cha Mseto, anasema kuwa ile collabo aliyofanya na Mr Flavour alikuwa aifanye na Ludacris...
  14. B

    Intelijensia ya Polisi Stakishari na Mkutano wa CCM Mbagala

    Nakumbuka Polisi walipovamiwa kituo cha Kibaha, CUF walipotaka kuandamana kwa ajiri ya kumbukumbu ya watu waliofariki kwenye uchaguzi 2000, walikataliwa kwa kuwa Polisi walikuwa na tarifa za kiintelegesia kuwa zile silaha zinaweza kutumika Kigaidi,so wakapiga marufuku mkutano na maandamano ya...
Back
Top Bottom