Search results

  1. CoderM

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Baada ya mvua za msimu huu kuwa za kusita na kupoteza mbegu kwa kupanda zaidi ya Mara mbili na kuungua na jua, huku nyanya nazo zikiwa zinachechemea, nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara Aina ya sasso wakati tunaendelea kusubiri neema ya mvua Kama itatuwezesha kuvuna. Mpango ni kufikisha...
  2. CoderM

    Urgent ! Natafuta kijana wa kazi za shamba kwa mkataba wa miezi sita

    Kijana atakae saidia katika kilimo cha bustani/shamba yenye nyanya, hoho, karoti, na vitunguu. Ukubwa wa bustani(shamba) ni heka moja iliyozidi au heka mbili iliyopungua. Awe anaweza shughuli zote shamba. MAJUKUMU. Kuandaa shamba (kusafisha na kulima na kuandaa mashimo) Kupandikiza miche...
  3. CoderM

    Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Narudia tena kilimo cha nyanya msimu mwingine wa masika baada ya kumalizana na kiangazi. Msimu uliopita nilipanda miche 1000 tu kama sehemu ya kujifunza kwa vitendo. Matokeo yalikua sio mazuri sana kutokana na makosa ya kitaalamu lakini nimejifunza mengi sana kwenye kilimo cha nyanya. Msimu...
  4. CoderM

    Msimu wa sale kwenye biashara umefika

    Kila mwisho wa mwaka wafanya biashara wengi huwa wanafanya SALE ili kuondoa stock ya zamani na kuipa nafasi stock mpya ya kuanza mwaka. Wafanyabiashara wengi wamekosa namna nzuri ya kufanya matangazo na kuwafikia wateja wao hasa kwa njia ya mtandao. Ili kuongeza mauzo inakuhitaji kupata design...
  5. CoderM

    Natafuta Msichana wa kazi (housegirl)

    Anahitajika dada wa kazi. Mshahara 50,000 Eneo la kazi mabibo-dsm Kazi kubwa ni kukaa na mtoto wa miaka saba anasoma darasa la kwanza. Naomba connection
  6. CoderM

    Kuagiza bidhaa nje ya nchi.

    Habari zenu wana JF. Nahitaji kuagiza bidhaa nje ya nchi kupitia mitandao kama alibaba, aliexpress nk. Je kuna mtu anafahamu utaratibu wa huo mzigo kukufikia hapa nyumban Tanzania.? Na je kuna tozo la ziada baada ya bidhaa yangu kufika. Ni machine inaitwa "vinly sticker cuter". NB: bidhaa hii ni...
  7. CoderM

    Makadirio ya kodi TRA ya kufungua/kuanzisha kampuni.

    Mimi ni mjasiriamali mdogo ambae nataka kufungua kampuni kutokana na wateja wangu wengi wanataka kuhudumiwa na kampuni na sio mtu binafsi. Nimefuatilia BRELA nimeilewe tozo lao, sasa nahitaji kujua TRA wanalipishaje na leseni ya biashara inagharimu kiasi gani ili nijipange. Mtaji wa kampuni ni...
Back
Top Bottom