Kuna mtu kwenye uzi mmoja alikua anaomba ushauri kuhusu mradi wa kuku.
Nilimpa ushauri huu ambao nimeona niupost hapa huenda wanaofuatilia uzi huu wakapata kitu kidogo cha kujifunza.
👇👇👇
Mwaka 2019 nilikua nna wazo kama lako, na ni mawazo ya wafugaji wengi sana. Tofauti yangu na wewe ni idadi ya...
Mwaka 2019 nilikua nna wazo kama lako, na ni mawazo ya wafugaji wengi sana. Tofauti yangu na wewe ni idadi ya mifugo mi nilitamani nifikishe 1000 ndani ya mwaka mmoja we unahitaji kufikisha 5000 ndani ya mwaka na nusu.
Nilianza vizuri japo sikufikia malengo na nnaendelea kufuga mpaka leo lakini...
Baada ya mwaka 2023 kuisha narudi tena na mrejesho mwingine.
December 2023 nilipata changamoto na kuamua kuuza kuku wote, nilitakiwa nisafiri na bahati mbaya sikuwa na mtu wa kunisaidia kuangalia kuku wangu ambao walikua takriban 100 na kidogo
Kwa sasa nimerudi tena na nna endelea mpaka...
Malengo bado ni makubwa sana, mpaka mwisho wa mwaka ujao natarajia kuzalisha kuku wasiopungua 1000 kila baada ya miezi mitatu. Yaani niwe nnaweza kuuza kuku 1000 kila baada ya miezi mitatu, kwa tafsiri nyingine ni kuwa na uwezo wa kuuza kuku 300 kila mwezi.
Ili mipango iende sawa nimejenga...
Leo tarehe 18 mwezi wa 10, 2023.
Naendelea tena kutoa mrejesho wa awamu ya pili.
Kuku wanaendelea vizuri japo changamoto ya maginjwa haipukiki lakini cha msingi ni kuongeza juhudi na maarifa katika kukabiliana nayo na kuyadhibiti.
Kutokana na hali ya mvua kuwa nyingi kupitiliza, leo nimeendeleza banda jipya kwa ajili ya awamu nyingine ya ufugaji ya kuku wa kienyeji.
Mapema mwisho wa mwezi huu nitakua nimeanza kuweka kuku.
Mipango ni kuanza na kuku wadogo mwa mwez mmoja au zaidi wasiopungua 50
Kitaalamu haishauriwi, ila wafugaji wengi sana wanatumia dawa za binadamu kwa mifugo hasa kuku kutokana na gharama. Mfano dozi ya kuharisha kuku 100 inaweza ikakugharimu takriban 50,000 au zaidi wakati ukitumia dawa za binadamu ikagharimu elfu 10 mpaka 20.
Dawa inategemea na ugonjwa. Ila...
Mrejesho wa mwisho kwa waliokuwa wanasubiri.
Mrejesho huu nitautoa vipande vitatu.
1. Matatizo
2. Mafanikio
3. Kufeli
4. Maoni na mapendekezo
1.
Ufugaji ni sayansi ngumu sana kama utakiuka kanuni, na ufugaji ni sayansi rahisi sana kama utafuata kanuni. Japo pamoja na kufuata kanuni bado kina...
Nenda mabibo au ilala kaonane na madalali wawili au watatu wakupe mchongo wa bei kwa siku hizi za karibuni. Halafu waulize kuhusu mteja wa kuzifuata shamba.
Ukishapata majibu utajua wapi kunakulipa. Japo kupeleka sokoni kunalipa ila kuna usumbufu
Mrejesho nitaleta mapema tarehe za mwanzoni za mwezi huu. Majukumu ni mengi sana na muda ni mchache.
Tunaowapa nafasi ya kutusaidia wanakuwa sehemu ya kukwamisha mapambano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.