Search results

  1. atlas copco

    Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii
  2. atlas copco

    Hii picha nimeiona huko FB imenifikirisha sana

    Nimegundua mapenzi ukiyaendekeza lazima yakopeteze
  3. atlas copco

    Kuna ukweli wowote?

    Je, haya maneno yanareflect uhalisia wa maneno yanayosemwa huko mtaani?
  4. atlas copco

    Hii inawahusu slay queens

    Jaman dada zangu hasa maslay qeen mnapoenda kwenye majumba ya starehe jitahidin muwe hata na hela za kianzio wakati mnavizia madanga yajichanganye, hakika nimewaonea huruma sana hawa wakina dada
  5. atlas copco

    Wasomi Watanzania kuna ujumbe wenu

    Habari za hio jioni waungwana, poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo. Sina mengi ya kusema ila wasomi pokeeni ujumbe wenu kutoka kwa Pastor Mgogo, najua mtakosoa sana ila ujumbe ndio huo, ufanyieni kazi Wasalaam
  6. atlas copco

    Ushauri wa kisheria kwa Mzazi mwenzangu

    Habar za asubuhi wapendwa Kama kichwa cha habarI kinavyosema naombeni ushauri wa kisheria, Ipo hivi kuna binti nilizaa naye mtoto mmoja wa kiume kutokana na tabia zake haikuwezekana kuishi pamoja. Sasa huyo mzazi mwenzangu amekuwa ni mtu wa shari shari muda wote na hii tabia ndio mojawapo ya...
  7. atlas copco

    Nahitaji rafiki wa kike mwisho aje kuwa mke

    Katika maisha ya kimahusiano huwa naamini hakuna formula ya kusema mke/mme lazima umpatie sehemu fulan,waliomo humu jf ndio waliopo mtaani japo wengi humu hawapo kwenye uhalisia wao lakini wapo wakweli, hivyo basi na sina budi kutangaza Nia Wasifu wangu Dini: RC Elimu: Nina elimu ya kujua...
  8. atlas copco

    Ushauri unahitajika

    Habari za jumatatu wadau na imani weekend ilienda poa sana Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kuna dada nipo nae kwenye mahusiano na ninadhani nilishaleta uzi hapa unamzungumzia huyo mwenzangu, huyo dada ni single mama ila nilitokea kumwelewa sana. Kwa kweli tuna mipango mingi ya...
  9. atlas copco

    Mariamu Biriani

    Hili ndio vijana wanalifuata pale the BIG BROTHER kwa Mariam Biriani
  10. atlas copco

    WATAALAMU WA HAYA MAMBO WATUSAIDIE,JE INAWEZAKANA ?...

    Wanandoa wawili nchini China walienda kwa doctor kupata ushauri baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 4 bila kupata mtoto Daktari baada ya uchunguzi aligundua kuwa wamekuwa wakifanya tendo la ndoa kinyume na maumbile bila wao wenyewe kujua Mwanamke alikuwa bikra huku njia yake ya haja kubwa ikiwa...
  11. atlas copco

    Eleza vituko ulivyovifanya baada ya kutumia kilevi cha bangi

    Naam kabla ya yote niwatakie heri ya mwaka mpya kwa wote tuliochaguliwa kuuona huu mwaka,ni wangap tumeanza nao mwaka ulioisha but wameshindwa kuumaliza so hatuna budi kumshukuru MUNGU alie juu Niende kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu,huu uzi ni maalumu kwa watumiaji wa hicho kilevi na...
  12. atlas copco

    Unahitajika ushauri/mawazo kuokoa hili penzi

    Habari za jpili wadau,bila kupoteza muda naomba nielezee sababu za kuomba ushauri/mawazo,japo mtanisamehe mm sio mwandishi mzuri twendeni hivyohivyo. Iko hivi mwaka huu kwenye mwezi wa 5 niliamua kuvunja ukimya kwa kuanzisha mahusiano na mwanadada mmoja,kwakweli huyo dada nilimwelewa sana ni...
  13. atlas copco

    Tahadhari: Mmiliki wa hii namba alitaka kutapeli

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mmiliki wa hii no ni tapeli anajifanya anafanya kazi vodacom huduma kwa wateja Ila kwa kifupi hii no 0766652626 ilinipigia sim week iliyopita,baada ya kuipokea tu sim jamaa anaongea as if (anafanyakazi voda)basi akanitaja jina langu mm nikamuitikia naamu...
  14. atlas copco

    Ushauri: Mpenzi aliyenitolea figo simpendi nampenda mwingine

    Nina mpenzi wangu ambaye tumekuwa ote toka nikiwa shule ya msingi mpaka saivi nimefika Chuo Kikuu nasoma hapa Chuo Kikuu cha mtakatifu Augustine (SAUT) Tawi la Mwanza mwaka wa Pili. Nimekuwa nae kwa Muda mrefu sana katika shida na raha na mpenzi wangu amenisaidia mambo mengi sana japokuwa hana...
  15. atlas copco

    ITAPENDEZA ZAIDI TUKIPATA MAONI YA WADAU KUHUSIANA NA HILI

    *nimeangalia tamthilia ya kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana,lakini je wanajifunza maudhui yake kweli?*
  16. atlas copco

    Imekaaje mtu kuagiza kitu hujawahi kutumia tena kwa mbwembwe?

    Habari za asubuhi WanaJF, Bila kupoteza muda naomba niende kwenye hoja kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Kuna binti nilimtongoza muda mrefu ila akawa analeta mapozi kama unavyoelewa dada zetu hawa,basi bhana juzi akanipigia akaniambia leo ana hamu ya kutoka out,kama kawaida yangu mimi...
Back
Top Bottom