Search results

  1. Mzalendo80

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Kutokana na hali inayokwenda kwa sasa kuhusu huu uchaguzi Bunge letu limetekwa na ccm na wataligeuza kuwa ni vikaoo vya chama. Nna uhakika hakuna kuwa na hata Mbunge wa upinzani hata mmoja bunge. Nchi imelazimishwa kurudishwa kwenye utawala wa chama kimoja. Kila mtu anajua uchaguzi ulikuwa na...
  2. Mzalendo80

    Marekani: Watanzania 9 miongoni mwa Watu 11 waliohukumiwa kwa kusafirisha dawa za kulevya

    Huku Tanganyika kesi zao hazikuisha, bado wanakiporo. Kumbuka Mr. D Uchwara alisema waliamua kuwapeleka kwanza wakatumikie kifungo huko, wakirudi baada ya kifungo waje wamalize kesi zao za madawa. Ngoma bado mbichi wala usifurahi. Wanasubiriwa hapa kwa hamu kubwa sana
  3. Mzalendo80

    Rais Magufuli: Natamani kuwa Waziri wa Michezo

    Huyu ameishiwa, kila siku anatamanitamani, ipo siku atatuamia anatamani kuwa kama aunt fulani
  4. Mzalendo80

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    CCM is a crime syndicate,Most members & MPs of CCM are corrupt. No conceince, No brains no nothing, just bunches of criminal and theft. Corruption cost mlalahoi in de street.Vote CCM at your own risk
  5. Mzalendo80

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Ukishakuwa Waziri katika Serikali ya ccm, akili zinawekwa pembeni unabakia ushangiliaji na matusi
  6. Mzalendo80

    IMF Report on Tanzania: Hiki ndicho ambacho watanzania hawakupaswa kujua

    Lile henge la wahuni liliopo kule magogoni lazima litetemeke. likiona hizo habari za IMF
  7. Mzalendo80

    Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?

    Huyu Pascal Mayalla anakashifu watu wa Milembe, tunasibiria uitwe tena ukajieleze vichaa wale hawataki kusemwa. Wakiambiwa ukweli wanasema wamevunjiwa heshima.
  8. Mzalendo80

    Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga?

    Pascal Mayalla huwezi kufananisha watu wenye akili timamu na vichaa.
  9. Mzalendo80

    Bwana Kangi Lugola, wewe ni Kijito Maalimu Seif Sharifu Hamadi ni Bahari kwenye siasa za Tanzania

    Kiswahili chake kigumu sana kukielewa huyo bwana Kungu Lugola. Ukishakuwa ccm unakuwa brain dead
  10. Mzalendo80

    Yawezekana Dr. Slaa alikuwa sahihi

    CCM washikwa na butwaaaa, genge la wahuni la lumumba wapo hoi
  11. Mzalendo80

    Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH

    Amefanana na hilo neno Mr Jiwe. Ukweli ni shubiri
  12. Mzalendo80

    Jarida la The Economist leo limemtukana Rais Magufuli kwa kumwita FOOLISH

    Ukweli unauma, hilo jarida limemchambua Dikitekta uchwara kwa ufasaha kabisa.
  13. Mzalendo80

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Leo umeandika cha maana, sio kila siku unaandika porojo
  14. Mzalendo80

    Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

    Wapi waliandika kuwa ataonana na Trump au nani alisema hivyo? au mpresha zimeshawapanda?
  15. Mzalendo80

    Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

    Nafikiri Mafools anatamani awatume vijana wake wasiojulikana huko Belgium, mtamuua Rwanda wa Kagame kwa BP
Back
Top Bottom