Search results

  1. J

    Rais Magufuli amrudishia Ubalozi Prof. Costa Mahalu baada ya kushinda kesi ya uhujumu uchumi

    Prof. Mahalu ndiye alimpeleka Magufuli kwa Mkapa baada ya kushinda ubunge na kumwomba amlee. Mkapa akampa kuwa naibu waziri. Magufuli kakaa kwa prof. Mahalu alipojiunga udsm. Kuna kipindi alikuwa anakaa kwa Mahalu kama mdogo wake. Undugu wao ni kuanzia kule Sengerema. Hao ni ndugu kabisa...
  2. J

    Rais Magufuli amrudishia Ubalozi Prof. Costa Mahalu baada ya kushinda kesi ya uhujumu uchumi

    Nawapeni TIPS Magufuli alivyoingia udsm alifikia au alikuwa anakaa kwa nani? Je Magufuli na prof kule kwao vijiji ni umbali gani? Nani alimuunganisha Magufuli kwa Mpaka baada tu ya Magu kuchaguliwa ubunge? Ukipata majibu hayo utaelewa hili tukio la Leo.
  3. J

    Kifo cha kisiasa kwa Dr. Harrison Mwakyembe kinanukia

    Wengi mlidanganywa kuhusu Mwakyembe kama slivyowadanganya watu wa Kyela. Huhitaji kukaa na Mwakyembe siku nzima kujua ni tapeli wa kisiasa. Analoongea asubuhi liko tofauti na analoongea jioni. Ni mnafiki mkubwa na hana utendaji wowote wa maana zaidi ya mbwembwe.
  4. J

    Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    Mkuu jaribu kufanya mauaji ya kisiasa au kigaidi USA na utaisoma namba. Hata Israel mtu wanayemhitaji kama yuko USA wanakaa kimya. Haya mauaji mengine ya ndani hasa yenye uhusiano na madawa ya kulevya, mengi wala hawahangaiki.
  5. J

    Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    Hamuelewi ya Marekani nyie. Kule ndani wao kwa wao ni rahisi hata polisi kuto kuchunguza sana. Ila ikatokea raia au mkazi wao kauawa Kwa njama toka nje ya nchi hapo mtawatambua Wamarekani. Tena sababu zikiwa siasa ndio kabisa.
  6. J

    Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    Jidanganye. Ua mtu tena kwasababu ya kisiasa huko Marekani utakamatwa. Hata Israel haiui maadui wake huko USA. Huo ujinga wenu fanyeni huku huku kwetu.
  7. J

    Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    Mbona unajidhalilisha Kwa upumbavu wako? Na wewe unaniita analysti. Nyie ndio wale Watanzania 3.7m depressed.
  8. J

    Kuna watu wanajidanganya Wanaweza Kumuua Mtu Marekani na Kuget away!

    Ni mtu mjinga tu kama na wewe tena bila exposure unaweza kuuliza kwani Mange anafanya nini Marekani. Watanzania washamba wanafikiria nchi zilizoendelea ili kufanikiwa lazima uwe na ki kazi likubwa. Hapana, ubunifu ndio unalipia huko Kwa wenzetu. Kwa kazi anazofanya Mange za kuamsha na kutetea...
  9. J

    Lipumba: Inakuaje Syria wanapigana vita lakini wanatuzidi kwa furaha?

    Huyu profesa hajui yeye amechangia kutufanya Watanzania wengi tukose furaha shauri ya njaa zake. Katika watu walioniongezea machungu sana miaka ya karibuni ni pamoja na huyu Lipumba.
  10. J

    Hongera Mwakyembe: Nchi tano kuunganishwa na meli mpya Kyela

    Hizo nchi tano zinatoka wapi? Hata elimu ya Geografia sifuri kabisa. Ni nchi tatu tu ambazo ni Tanzania, Malawi na Msumbiji.
  11. J

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Watu wa kanda ya ziwa utawajua tu. Hata wale waliokuwa na misimamo huko nyuma, kwenye utawala wa mtu wao wanaleta ngonjera.
  12. J

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Kesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi. Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali.
  13. J

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Kumbe wewe kilaza hata kumsikiliza vizuri Gwajima umeshindwa . Kasikilize tena utajua jina Makonda limeingiaje hapo.
  14. J

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Nchi hii ina watu wajinga sana. Mtu anapoongelea matokeo ya mitihani na akasema Nina cheti cha mtu Fulani ina maana nyingi sana. Inawezekana ana result slip, inawezekana ana copy tu hata ya vyeti vya shule vya kumaliza form four. Inawezekana ana list ya matokeo ya wanafunzi husika. Ili...
  15. J

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Ana maana ana matokeo ya mhusika.
  16. J

    Wataalam Mtusaidie: Je, Tanzania Tuna Kodi Kubwa?

    Akili za kama huyu pimbi ndio zinaiua Tanzania. Kufeli form four hakumfanyi mtu awe hana mchango wa maana. Kuna shule nyingi zaidi ya darasani. Kutembea na exposure nayo ni shule.
  17. J

    Steve Nyerere aongea na Wanahabari, amkaanga Wema Sepetu na Mama yake, Wasanii hawaidai CCM

    Ukiwa umenasa shimoni acha kuendelea kuchimba maana mwisho wake utazama. Hongera Stive, umeona uko shimoni umeamua kuwa mpole na kujiokoa. Ila utetezi wako nimecheka sana.
  18. J

    Mwenendo wa Dr.Mwakyembe, ni kweli tatizo lao lilikuwa ni Uwaziri Mkuu?

    Mwaka 2010 niliongea na Mwakalinga wakati anagombea ubunge Kyela. Nakumbuka aliniambia nyie hammmjui Mwakyembe ni muongo na mnafiki mkubwa. Kaa naye hata siku moja utagundua hakuna mtu muongo kama yule. Nilimshangaa sana huyu kijana mwenzetu wakati ule. Nikaamini kweli kabisa jamaa kapewa pesa...
  19. J

    Makongoro Mahanga: Rais kavunja katiba kuteua wabunge wa kiume 6, inataka wawe wanawake angalau 5

    Shall kwenye sheria ina maana must. At least five ina maana maximum namba ya wanaume inaweza kuwa watano. Sasa wako sita, ni tatizo hapo.
Back
Top Bottom