Search results

  1. gnassingbe

    Hivi kuna haja tanzania tuwe na magavana?

    Nimeona michuziblog habari Mbunge wa Mkuranga Mhe.Abdallah ulega anafanya uzinduzi wa jengo lakini aliyeandikwa sio yeye nimekwazika sana kwanini watu tunaowachagua wanakuwa kiitifaki ni bure!Hii katiba ni bomu itupiliwe mbali. Jamani wenzangu hii imekaaje aaah! Au tuwe na magavana kama kenya?
  2. gnassingbe

    'War zone' mtaani

    Habari wandugu ningependa kujuzwa juu ya suala linalonitatiza kuna jirani yangu anaendeleza eneo lake ila shida ni kwamba limejaa mawe makubwa sana sasa alileta mashine ya kupasua siku kadhaa zilizopita zina mikelele lakini sio shida si ndo maendeleo hayo sasa naona hali imekuwa mbaya baada ya...
Back
Top Bottom