Neno dogo lakini lenye marefu na mapana yake.
Hivi ni kweli kwamba unaweza ukawa na rafiki kumbe ana mipango ya Siri ya kukuangamiza kabisa! Na wewe huna hata taarifa na unaendelea kucheka nae tu?
Je, ni kweli watu wenye upendo uliopitiliza wanaweza kuwa na mipango ya Siri ya kukuangamiza...
Nalisemea hili nikiwa nimeshuhudia kabisa katika kampuni ninayofanyia kazi, kuna vijana wa kiume na wa kike wanavutia BANGI chooni.
Tena utawakuta wamekaa ndani ya choo hata watano wakivuta, jamani muache hii tabia kama mnaweza kujifungia ndani ya choo watu watano wa jinsia moja, huku mkivuta...
Wakati Fulani daudi alikumbana na wakati mgumu sana mbele ya mfalme Sauli pale Sauli alipogundua Daudi ndiye anaependwa sana na Mungu na amepakwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli badala yake. Alipanga kumuua kabla ya kutimiza ndoto zake lakini haikuwezekana.
Na mwisho wa siku yeye mwenyewe sauli...
leo moja kwa moja tutamwangalia mnyama “KIBOKO” ambae anapatikana bara la Afrika tu.
UTANGULIZI
Kiboko ni miongoni mwa jamii ya wanyama ambao wana ishi muda mrefu sana kwenye maji ukilinganisha na mamalia wengine wote. Kiboko hutafsirika kama farasi wa mtoni na hii imetokana na asili ya jina...
Faru ni Mnyamapori mkubwa wa familia Rhinocerotidae. Mnyama Faru ana akisi Jina la Kiingereza Rhinoceros ama Faru na sio Kifaru kama wengine waitavyo. Jina hili lina asili ya kiingereza limetoholewa kutoka kwenye lugha ya Kigiriki lenye maneno mawili Rhino ( Nose/Pua) na Ceros (,Horn/Pembe) Nose...
Katika uumbaji Mwenyezi Mungu aliumba viumbe wa aina nyingi sana, viumbe hao ni pamoja na ndege, samaki wakiwamo na wanyama pamoja na wadudu watambaao na kuruka, pamoja na uumbaji huo viumbe vyote ni binadamu pekee aliyeweza kupewa ufahamu wa kutambua mema na mabaya, kama ambavyo mwenyezi Mungu...
Katika mnyama anayeongoza kwa kutajwa katika vitabu vitakatifu basi mmoja wapo ni huyu Dubu, achilia mbali Chui na Simba.
Na anavyotajwa basi inaonekana ni mnyama hatari sana na ndivyo alivyo.
DUBU ni miongoni mwa wanyama wakubwa wawindaji na wala nyama, kimuonekano unaweza kumchukulia kawaida...
Simba ni miongoni mwa wanyama ambao ni jamii ya paka, ukiondolea mbali kwamba ndiye mnyama mkubwa anayewinda katika jamii yao hiyo, lakini pia ni wanyama ambao hupenda kuishi katika makundi makundi, kwa lugha nyingine naweza sema wanaishi kifamilia kama ilivyo kwa binadamu, na familia zao huweza...
Mjue Mnyama Mamba kwa undani wake
Mamba ni moja ya mnyama alaye nyama, maisha yake ni majini na nchi kavu tuu, watu wengi hufikiri mamba ni mnyama anayezaa, lakini sivyo mamba ni mnyama anayetaga na hutaga mayai kwa wastani wa 35 mpaka 50, najua utajiuliza sasa huyu kiumbe anaatamia vipi wakati...
Kinachonivutia katika mtandao huu ni urahisi wa kuingia internet, tofaut na mitandao mingine.
Bila shaka kila mmoja atakubaliana nami kuwa hawa vodacom wapo vizuri.
Pamoja na kwamba vifurushi vyao vya internet huvipandisha bei pale wanapojisikia bila kumtaarifu mteja, na bila shaka ni...
1. Mondo (Serval)
Ni mnyama mdogo jamii ya paka, kama walivyo wanyama wengine wawindaji naye hula nyama tuu, huwinda wanyama wadogo pamoja na ndege, ni mjanja mjanja wapo wa aina mbili huyu kafanana na chui lakini mwingine hufanana na simba, Sifa zake
1. Ndio mnyama mdogo jamii ya paka waishio...
Maelezo
Nyati ni mnyama mkubwa. Ana mita 1.7 kwenda juu, urefu wa mita 3.4.
Nyati wa savana ana uzito wa kilo 500–900, ambapo nyati wa kiume kwa kawaida huwa mkubwa kuliko nyati wa kike, akiwa na uzito wa juu mbalimbali. Nyati wa msitu huwa nusu ya kiwango hicho.
1 Nyati wa savana huwa wa...
Inakadiriwa kuwa mnyama huyo huishi kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika pori. Lakini hiyo ilikuwa inafahamika zamani kipindi ambacho mnyama huyo alikuwa anaonekana tofauti na sasa.
Kuna aina nane za kakakuona duniani
Aina hizo nane za kakakuona zimetoka katika familia inayofahamika kama...
Hizi ndo aina 10 za paka hatari duniani walioishi miaka 1000 iliyopita
kabla mwanadamu hajaanza shughuli za uwindaji , wanyama jamii ya paka ndio waliokuwa wakubwa na wenye nguvu kuliko wengine wote duniani, hat leo hii wanyama hao bado wanazidi kuwa tishio mfano wa chui, na wengineo
hapa katika...
Je kiongozi bora ni yule mwenye wafuasi wengi au miaka mingi katika uongozi? La hasha, kiongozi bora hujengwa kwa sifa zinazoeleweka na kila MTU anayemtizama na kumsikiliza.
Kushindwa kuziona sifa hizi au kuzisikia kunawafanya wachaguaji kuonekana mazuzu kwa kumchagua MTU asiyefaa
Ni rahisi...
1. Kicheko ambacho fisi hutoa huweza pelekea kujua umri wa fisi huyo.
2.Fisi ni wanyama wenye ushirikiano sana,ukimchokoza mmoja unakuwa umenunua ugomvi wa familia nzimaa,apo akitoka anaenda Kuita kundi wanakuja kama wotee kukabiliana na wewe.
3.Ni mnyama ambae hujali sana watoto wake na...
HISIA ZA KIMAPENZI ZA TWIGA ZIPO SHINGONI KWAKE
SIFA ZA TWIGA NI ZA KIPEKEE
Ni mnyama mrefu kuliko wote waishio ardhini.
Hupenda amani mno.
Ni mnyama ambaye wanyama wenzake wanaokula majani hujisikia amani kukaa naye kwa kuwa huona hatari tangu ikiwa mbali, sasa usishangae wanyama kama...
Wanasema majuto ni mjukuu, wakimaanisha pia kizazi ni lazima kihusike.
Ukiacha kizazi mhusika alieitenda dhambi na kukipa shida kizazi chake, atajuta pia kwa namna moja au nyingine lakini kizazi chake kitataabika sana kwa namna makosa yake yalivyokuwa makubwa.
Laana ni kitu kibaya sana
Labda...
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana
07 Septemba 2017
Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania.
Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.