Search results

  1. henry normal

    Naomba kufahamishwa dawa nzuri ya Malaria kwa mtoto Miaka minne

    Kwema waungwana, Naomba kufahamu ukiitoa dawa ya mseto ni dawa gani nzuri ya mararia kwa mtoto wa umri wa miaka minne(4)?
  2. henry normal

    INAUZWA Pikipiki(haojue) ipo sokoni Morogoro

    Aina kipengele. Chombo imecmama unawasha na kuondoka Bei 1.5 mazungumzo yapo kidogo Ipo Morogoro 0624720144
  3. henry normal

    Je, Amplicox hutibu UTI?

    Kwema jamani naomba kuuliza kuusiana na Dawa Aina ya amplicox je inatibu uti. Amplicox hutibu nini?
  4. henry normal

    Msaada: Napata maumivu ya visigino na magoti

    Habar wapendwa, Naomba kuuliza ni dawa gani inasaidia maumivu ya VISIGINO na maumivu katika magoti.
  5. henry normal

    Dawa ya minyoo kwa watoto

    Kwema waungwana samahani mtoto anasumbuliwa na minyoo naomba kwa yeyote anayefaamu dawa nzuri ya minyoo kwa mtoto minyoo mpaka anawashwa sehem za aja kubwa.
  6. henry normal

    DARALI

    hi
  7. henry normal

    Viungo gani vinafanya mishikaki inukie?

    Katka maPishi ya mishika kunaarufu Fulani ambayo ni mvuto kwa wateja. Je ni viungo Gani uleta LADHA NA MNUKIO PINDI UNACHOMA MISHIKAKI
  8. henry normal

    Popcorn machine used

    Habar zebu waeshimiwa naitaji mashine ya popcorn used inayotumia ges special kwabiashara ya kutembeza. 0657465520 morogoro
  9. henry normal

    BITCLUB ADVANTAGE

    BITCLUB ADVANTAGE (faida) Tusambaze link tuanze somo Bitclub advantage ni muhim sana ni faida *TENGENEZA FAIDA KUBWA KWA KUWEKEZA NA BITCLUB ADVANTAGE* *IFAHAMU BITCLUB ADVANTAGE* HII ni kampuni ya kimataifa inayofanya biashara ya ubadilishaji wa fedha dijitali (crypto currencies exchange)...
  10. henry normal

    Bitclub Advantage

    hjgsa
  11. henry normal

    Pata viatu vya ngozi(culture) kwa bei ya shilingi 12,000

    Natumai ni wazma ...Jipatie viatu vya kike na vya kiume kwa bei nafuu kwa bei ya sh 12000..karibuni
  12. henry normal

    VIATU (12000)VYA KIMASAI KWA BEI SIMPO

    12000 utapendeza kwa viatu vizuri vya culture
  13. henry normal

    Vumba vya kupanga morogoro

    Naitaji au natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini garama iczidi 20 au 25...
  14. henry normal

    Mafuta mazuri ya kiume

    Kwema wandugu naomba nifahamu ivi ni mafuta au lotion gani zuri kwa matumizi ya mwanaume
  15. henry normal

    Popcorn mashine maker

    Habal zenu ...naitaj mashine ya kutengeneza bis yeyote mwenye nayo au mwenye kufahamu gharama zake naomba anijuze
  16. henry normal

    Pikipiki inahitajika

    Kibao cha mbuz yeyote mwenye pikipki aina iyo antaarifa
  17. henry normal

    Elimu ya ufundi veta

    Za mihangaiko ndugu zangu Naomba mnifahamishe ndugu zangu, hivi ni kozi gani ya ufundi ambayo iko vizuri hasa katika utoaji wa ajira? Je mwezi gani taratibu za fomu zinaanza VETA? Natanguliza shukrani From morogoro
  18. henry normal

    Pikipiki snlg

    Natafuta snlg gharama 600000...ninapatikana morogoro...kwa yeyote mwenye nayo
  19. henry normal

    Pikipiki used

    Naitaji pikipiki used... gharama mia 5-mia 7. Napatikana morogoro
  20. henry normal

    Chuo cha Afya Morogoro

    Ndugu habar za jpili..naomba kufahamishwa ivi morogoro kuna chuo cha afya....kama kipo je kipo sehemu gan?
Back
Top Bottom