Search results

  1. farajakwangu

    Mwijage: Walisambaza picha ya ng'ombe akila nyanya kuonyesha sijajenga viwanda, ila nimepata suluhu

    Hiv hata kiwanda cha visu kama kile cha MECCO pale keko kinahitaji mabilion kukianzisha
  2. farajakwangu

    NIDA: Madudu Cheti kimoja watumishi zaidi 3, Watumishi watumia majina ya marehemu

    Nafikiri hakuelewa niliyemcoment, maana yangu ilikuwa moja tu, mapadre wa kikatoliki ni wasafi katka elimu wala hakuna ubabaishaji lakin huko sefrikalin au hao mawazir usishangae ukakuta anayemkagua mwenzie naye anacheti fake kitu ambacho kwa mapadre hauwez kukutana nacho. Umenielewa mkuu !
  3. farajakwangu

    NIDA: Madudu Cheti kimoja watumishi zaidi 3, Watumishi watumia majina ya marehemu

    Achekiwe na nani, labda mapadre wa kikatoliki wafanye kazi hiyo.
  4. farajakwangu

    Kizaa zaa kitaanza wananchi watapomaliza kula akiba!

    Ukiona hivo vitu vinauzwa hovyohovyo hata kama ni familia moja jua kwamba ni hatari
  5. farajakwangu

    Hongera Dr. Diodorus Kamala

    Kwa nn aliacha ubalozi !!!??
  6. farajakwangu

    Rasmi sasa: Container zote za import kubaki bandarini

    Halaf washangiliaji wengi ni wale ambao wala hawajui mzunguko wa hela unaendaje, wao wanadhan kwa vile flan katumbuliwa labda hizo hela zitaamia kwao
  7. farajakwangu

    CHADEMA waanza kuiga mambo ya ACT Wazalendo

    Alf hawa jamaa hawajui watz wanataka nin au binadamu by nature huwa anataka nin, wao wanafikr kuipinga chadema inaweza kuwasaidia kutoka, kwa ninavoziona siasa za nchi hii ACT wanajizika mazimamazima.Muda utatwambia
  8. farajakwangu

    Waziri Mkuu apokea msaada wa mil. 660 kwa ajili ya tetemeko, asisitiza michango yote itaenda Bukoba

    Inasikitisha, hauwez amin kama wanachofanya ni sahihi.
  9. farajakwangu

    Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi

    Heading tu nimesoma, unaonaje na kumbi za starehe zikafungwa, viwanja vya michezo vina kaz gani au hata vipindi vya mziki kwenye radio na tv ni vya kazi gan, mbona maisha yako vilevile baada ya kutoonesha bunge live??.
  10. farajakwangu

    Kipi Muhimu Zaidi Kwa Waathirika wa Tetemeko? Kutembelewa na Kufarijiwa kwa Pole Tu, au Kusaidiwa?

    Posco wakat mwingine huwa sikuelewi japo maadishi yako yanavutia kuyasoma, elewa kuwa sikila maala uhitajika hela bali hata mkono tu inatosha watu kuwa na aman mioyoni mwao.Mfno. rais anapohamua kuwapa watu mkono anapotembelea maala kwanin watu waugombanie huo mkono wa rais ? Je unanin cha ajabu...
  11. farajakwangu

    Nini hatima ya Lipumba vs Maalim Seif

    Kama tumbon hakuna kitu uprof ni kaz bure
  12. farajakwangu

    Baada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa

    Lekebsha mwandko kwanza kiswahli imekuwa hivo lugha nyngine itakuwaje
  13. farajakwangu

    Zanzibar: Askari Polisi ajidhalilisha, apokea rushwa mbele ya Camera

    Sasa kama ni Dar kwa nini unalifanya la kitaifa
  14. farajakwangu

    Zanzibar: Askari Polisi ajidhalilisha, apokea rushwa mbele ya Camera

    Walisharuhusiwa hiyo ni hela ya kubrash viatu
  15. farajakwangu

    Bodi ya MCC yafunga rasmi ofisi zake Dar miezi sita baada ya kusitisha misaada kwa Tanzania

    Mbona unavaa mitumba ? Mbona ulikubar kubadir jina lako kwa kisingizio cha dini, hiyo yote ni sababu ya umaskini si hiali yako ndio maana unaona wanapenyeza ushoga
  16. farajakwangu

    Baba mdogo wa mume wangu amekasirika mimi kumkiss mume wangu

    Ishi kama jamii nyingine inavoishi ukileta uzungu mbele ya mwafrica lazma uchukiwe hata kitendo cha kukurupuka unaleta uzi hapa inaonyesha hauko sawa!!!
  17. farajakwangu

    DC Ludewa: Waliosusia kikao changu wakamatwe

    Walishaambiwa mikutano mpaka 2020, walikuwa kazini, labda awalaumu kwa kushindwa kutofautsha mikutano ya siasa na maendeleo
Back
Top Bottom