Search results

  1. G

    S20 + kukoswa nguvu ktk 4g

    Wakubwa habari za leo,simu yangu aina ya samsung galaxy 20 plus ina tatizo ninapohitaji ishike 4g simu inashindwa kabisa kufanya kazi lakini 4g inaonekana nikiirudisha 3g tatizo linaisha.msaada tafadhali
  2. G

    msaada protector screen ya galaxy s8plus

    kwa wiki 2 sasa nimeweka protector 2 ktk hii simu lakini zinabanduka baada ya siku chache tu,naombeni msaada wapi nitapata mtaalam au protector original za simu hii.nipo dsm
  3. G

    Simu nzuri ya sh laki4 ni ipi

    Habari wana jamvi, pamoja na vyuma kukaza nimejichanga nikapata sh laki4 hivi kwa ajili ya kununua simu. nimekuja kwenu ili mnipe msaada na ushauri nichukue simu ipi kwa bajeti hiyo. sitaki tecno na nduguze. nawasilisha
  4. G

    Msaada: Bei ya galaxy s4

    Msaada anayejua bei ya simu tajwa hapo juu
  5. G

    Morningstar inakata sauti kwenye continental

    Msaada jamani, Chanel 1 tu ya morningstar inakataka sauti upande wa Continental zingine ziko poa. Natumia rcv ya wiztech 8055
Back
Top Bottom