Search results

  1. micind

    Nahitaji kusoma uhasibu, nina cheti cha Kidato cha Nne cha Sita na degree nyingine isiyohusiana na masuala ya kifedha

    Habari zenu, Nahitaji kusoma hii fani ya uhasibu, nina cheti cha kidato cha nne cha sita na degree nyingine haihusiani kabisa n maswala ya kifedha. Nimejaribu kutafuta taarifa kidogo nimekutana na ACCA, NBAA na wale wenye degree za accountancy kutoka kwenye vyuo vikuu vya hapa nyumbani. Sasa...
  2. micind

    Msaada: Nina tatizo la kutoa majimaji puani

    Habari zenu wanajukwaa, Leo alfajiri nimeamka nikashangaa puani yanatoka majimaji Kama vile nosebleed lakini badala ya damu yametoka maji hayana harufu Wala hakuna maumivu puani lakini kichwa ndio kinauma Sana upande wa kushoto hiyo Hali imetokea Mara tatu ndani ya masaa sita,ikabidi niende...
  3. micind

    Computer4Sale HP Intel core i7 inauzwa

    Hp Corei7 Ram 4gb HDD 500 Charge 4hrs Bei 480000/= WhatsApp 0684190026 Ipo Mwanza. Nimenunua mwaka Jana September. Haina tatizo lolote nauza kwasababu siitumii tena Edit: SOLD 🚫🚫🚫🚫
  4. micind

    Tunakata Belo Mwanza

    Karibuni wale wa Mwanza jumatatu kuanzia saa tano asubuhi nakata Belo la bwanga za design Kama hii kwa 6000 rejareja na 5000 ukichukua kuanzia 10. Tupo kiloleli Mwanza ulipokua mnada zamani. Tuwasiliane 0684190026
  5. micind

    Sehemu ya kusort/kudaka mtumba Mwanza

    habari za mida wadau naomba kufahamu sehemu gani naweza kupata nguo za mtumba kwa wale wanaofungua mabelo hasa hasa nguo za watoto na mashuka Luna MTU kaniambia mlango mmoja lakini hawafungui kila Siku, kama kuna anayefahamu pale mlango mmoja lini wanakata mabelo naomba nipate taarifa tafadhali
  6. micind

    Laptop Hp inauzwa mwanza

    Laptop Hp inauzwa ipo mwanza maduka tisa Core i3 4gb ram Tsh250000/= Imetumika mwaka mmoja. Haina tatizo lolote nina shida ya hela tu. Ambaye yupo interested nicheki pm.
  7. micind

    Msaada chanjo ya mtoto

    Habari tafadhali naomba msaada kwa member wanaoishi mwanza wapi naweza kupata chanjo ya mtoto mchanga (Siku kumi) ile ya begani bugando hazikuepo siku amejifungua na kituo cha afya hapa karibu tumeambiwa mpaka tar 15 naona kama mbali sana Naomba kufahamu hospital gani wanatoa chanjo ndani ya...
  8. micind

    Wapi naweza pata whey protein powder

    wakuu naomba anayefahamu wapi naweza kupata whey protein powder hapa mwanza anielekeze.
  9. micind

    Application forms morogoro ardhi Institute 2017 /2018

    Wakuu naomba mwenye application forms za hicho chuo kwa alienazo naona kwenye website Yao ipo lakin haijakamilika.. Msaada tafadhali
  10. micind

    ARC GIS 10.1

    wadau naomba mtu mwenye arc gis crack 10.1 anisaidie
  11. micind

    GIS and Remote sensing Mwanza

    habari zenu wakuu ninaomba msaada kwa waliopo mwanza nahitaji volunteer kwenye kampuni yeyote iliyopo mwanza inayojihusha na mambo ya gis/remote sensing.niko vizuri katika kufanya image processing kwa software zifuatazo: ARC GIS, QGS, ERDAS na ILWiS.nitafurahi sana kama nitapata angalau hata...
  12. micind

    Nyumba ya kupangisha mwanza

    Habari zenu kuna mtu anahitaji nyumba ya kupanga vyumba vitatu na sebule kuwe na maji bei yake isizidi 30000 per room maeneo ya kiloleli au igoma. .mwenye taarifa ani PM
Back
Top Bottom