Search results

  1. micind

    Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

    Yaani ndugu wa ukoo mmoja na ukakubali kuwa mtazini?? Loh! Watoto wa sikuhizi hamna adabu kweli yaani, jidhuru tu. Sasa siku ukiwa baba halafu ukapata binti akawa mrembo Sana kwa hiyo utamtanani na yeye??? Maana hauna mipaka yaani unakosea halafu ukiambiwa unatishia kujiua?? Hauko sawa kiakili...
  2. micind

    Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

    Dah! mkuu haya bwana sawa 😅😅😅
  3. micind

    Wanaume, heshimuni urafiki hii sio Sawa

    Wakati nipo chuo mwaka wa kwanza, Kuna siku nilipigiwa simu, namba mpya, alikua ni baba yangu mdogo ambae ndio wa mwisho kuzaliwa kwa kina baba, kipindi hicho kiumri alikua early 30's. Akaniambia Mimi baba yako mdogo nipo Dar kikazi nimefikia hoteli Fulani nataka nikuone tusalimiane nimeambiwa...
  4. micind

    Wimbo wa Sukari wa Zuchu umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube

    Eti nimemlambisha ananambia chombezaa (chombeza) Tena nikiizidisha ananambia kolezaa (koleza) Nikitaka kusitisha ananambia ongezaa (ongeza) Japo imethibitishwa ila itampoteeza a Ikipanda ni bala (naogopa) Ikishuka ndo hatari (naogopa) Asije pata madhalaa (naogopa) Akaikosa na hali (naogopa)...
  5. micind

    Baada kuwa gereza kubwa la wazi, Gaza imegeuka ni kaburi la sheria za kibinadamu

    Hata Mimi hiki kitu kinanishangaza Sana kwanini watu wengi wanatetea sana Gaza, Israeli hawakufa watoto? na wanawake?. I mean Gaza kaanza kupiga Israeli akiwa amelala akaua watu wake,Ila Israeli alipoamua kujitetea ndio akawa kakosea? Halafu watu wanaokomaa eti " pray for Gaza" mara sijui...
  6. micind

    Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Hahahaa mkuu umenichekesha sana aisee, umemuharibu mtoto 🤣🤣🤣🤣, yaani nawaza kichwani kwake alifikiria nini Hadi akaona akuletee tu hiyo simu.
  7. micind

    Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Sioni tatizo na status, lakini Kuna baadhi ya status huwa zinanikwaza. 1.Nakutumia message inbox halafu unascreenshot conversation unapost status, unanijibu tena.( Are you okay upstairs???) 2.unashare private moments zako ambazo kiuhalisia hatutakiwi kuziona isipokua watu wako wa karibu tu.(...
  8. micind

    Nimeshauriwa na daktari kuanza kutumia dawa za kushusha pressure

    Pole mkuu, pressure mbaya Sana ilimsumbua Sana mzee wangu ilikua inafika hivyo 180,miguu inavimba, anahema harakaharaka mpaka tunaogopa, sema mzee wangu ni mbishi hakubali kushindwa kirahisi halafu Anajali Sana afya yake lakini ndo hivyo Tena umri ukisogea, alitumia dawa ya kienyeji mwaka jana...
  9. micind

    Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

    Mmmh watanzania kwa kufuatilia maisha ya watu hatujambo.
  10. micind

    Linapokuja suala la filamu, nauheshimu sana Mkoa wa Tanga

    Hivi yule msanii aliyecheza character ya nsyuka jina lake halisi ni nani?.
  11. micind

    Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    Unaweza nenda kasome, acha kujiona kama hutaweza kwa sababu sijui umesoma procurement, hiyo sio sababu ya wewe kushindwa kujifunza kitu kipya. Nakuongezea ukimaliza hiyo ya AXL kuna website inaitwa "data with danny" unaweza kutembelea ukalipia nadhani ni 40usd utajifunza data analysis kwa...
  12. micind

    Wafadhili wamejenga Msikiti kwenye Eneo la shule ya sekondari inayomilikwa na serikali. Mkurugenzi wa Halmashauri ameuvunja

    Nimesoma Ifunda Tech niliporeport kidato cha tano kuna jengo tulikuta kule kwenye mabweni ya wasichana limeungua, tukaambiwa lilikua nyumba ya matroni ambayo ilichomwa moto na wanafunzi baada ya kutokea vurugu ambacho chanzo chake kilikua dini( sina uhakika ni mwaka gani waliosoma ifunda Tech...
  13. micind

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Mimi huwa nashangaa watu wanaohuzunika marehemu wao akikataliwa kufanyiwa ibada na hawa watumishi wa makanisani, kwanini mhuzunike??, hiyo ibada mnayofanya hapo haina impact yoyote kwa marehemu, umebaki mwili tu, yeye hayupo hapo tena ibada ya faida kwake mngemfanyia akiwa bado anavuta pumzi ya...
  14. micind

    Nina wivu wa kibwege sana

    Hahahaa umenikumbusha shemeji yangu alimfuata mke wake kwenye sherehe hizi za usiku ya harusi.Akamfuata saa tatu, yaani bibi harusi anaingia ukumbini yeye ndo anamfuata mke wake amrudishe nyumbani, hapo ruhusa imeombwa mwezi mmoja kabla, nilicheka sana kuna wivu mwingine wa kijinga kweli.
  15. micind

    Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

    Hii dunia,ukisema kila unayekosana nae au kutofautiana nae barabarani umkimbize mpaka umpate upigane nae si utawahi Sana kuchoka aisee, tujifunze anger management.Hasira ni hasara.
  16. micind

    Wagoma kujiunga form one kisa ugumu wa ajira

    Yaani bora umesema maana wabongo wanapenda huu uongo, aliyewaambia wahindi wanaishia la saba sijui nani, story za vijiweni, wahindi wanasomesha watoto wao jamani Tena shule nzuri na vyuo vikuu wanaenda Tena nje ya nchi kabisa.Ila tukikaa vijiweni tunadanganyana.
  17. micind

    Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Kwakweli ni mrembo huwa namfananisha na Sarah uwera yule dada wa ambassadors of Christ.
  18. micind

    Walimu wa kisasa kwaya za ibada za kikatoliki wanaua ladha halisi ya ibada za kikatoliki

    "nimetafakari habari zako,nami nashindwa kuelewa kabisa, Binadamu angenipa neema, kesho angechoka kunipa zaidi, Lakini wewe hauna kikomo,wala mvua yako haina masika. Bwanaaa wanyesha mvua, bwanaa kwa walio jangwani, Bwanaaa wawasha jua, Bwanaaa mpaka baharini, bwana kweli wewe ni mwema sana...
Back
Top Bottom