KIRAVU: "Tatizo kubwa ni mfumo wa kuweka zile taarifa kwenye kompyuta na kutuma makao makuu."
Anaongea akiwa na uchovu wa safari ndefu alikotoka pamoja kugubikwa na usingizi.
Sasa wanatumia vinakilishi vyao kuingiza taarifa zote kwenye server yao.
Wananchi wapo hapo kwa zaidi ya saa 18...
Taarifa toka kwa insider, zinripoti kuwa mkurugenzi Kiravu atakuwa hapo punde kuingilia kati na kuweka sawa hali tete hapo Loyola jimbo la ubungo.
Kwa namna moja au nyingine, naamini hii italeta faraja kwa wanachi kwa kuwa in black and white they have to surrender kwa nguvu ya umma, na at last...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.