Search results

  1. Mr Hero

    Hivi ndivyo Jenerali Qasem Soleimani alivyouawa na Marekani

    Unatakiwa kufahamu Gen soleman hakuwa akijificha au akiogopa kuwa marekani watamuuwa au usidhani aliingia Iraq kwa siri, Tazama hii pic alipiga na vikosi vya marekani mwaka 2015 wakati akiongoza operesheni ya kuwatoa ISIS HAO pembeni ni wanajeshi wa marekani, kwahiyo jamaa hakuwa akijificha...
  2. Mr Hero

    Nauza eneo la kiwanda kisarawe

    Kama heading ilivyo nina eneo la kiwanda maeneo ya Kisarawe eneo lililoteuliwa kuwa la viwanda ,nina sqm 5000 ikiwa na document zote za serikali ,eneo lipo umbali wa km 8 kutokea kiluvya ,liko karibu na mradi wa SGR kuna nyumba ambayo sijaimalizia kujenga, Nahitaji mtu aninunulie Bus ya abiri...
  3. Mr Hero

    Mtu wa Kanda ya Ziwa kutokujua kuogelea ni ujinga wa hali ya juu

    Hata kama ingepinduka kama gari kama unajua kuogelea lazima utajiokoa tu,mtu anaejua kuogelea ndani ya maji ni kama boya tu anaelea,kama hujui ndio unakuwa kama shilingi lazima uende chini tu
  4. Mr Hero

    Mtu wa Kanda ya Ziwa kutokujua kuogelea ni ujinga wa hali ya juu

    Hata mimi nimeshangaa sana,nimekulia kanda ya ziwa pembezoni mwa ziwa,nimeanza kuogelea nikiwa sijafika miaka 10 ,nimeshangaa sana kuona picha za vijana wa kiume tena vijana wadogo sana wamekufa maji,tena umezaliwa kisiwani hujui kuogelea,muogeleaji hata kama ingezama katikati ya ziwa huwezi...
  5. Mr Hero

    Multichoice (Dstv) na Zuku hatarini kunyang'anywa leseni za kurusha matangazo Tanzania kwa kukaidi Agizo la TCRA la kutoonyesha televisheni za ndani

    Sheria ziko sahihi zinaeleweka,kama uamuzi wa kuondoa FTA zote hiyo TBc Imebaki kwa lipi? Hii ni siasa inatumika kuwalazimisha watumiaji wa local hawatakuwa na uchaguzi zaidi ya kutazama tbc tu,
  6. Mr Hero

    Nimekumiss sana brother Mohamed Mtoi

    Ukweli kuna wakati unafikia hapa duniani inakuwa kama hujawahi kuwepo, kila binadamu ni historia baada ya kuondoka kwake, Leo nimemkumbuka sana ndugu yangu member mwenzetu wa siku nyingi hapa JF Marehemu Mohamed Mtoi, ambae alifariki kwa ajali Akitokea kwenye kampeni, Alikuwa msomi wa aina...
  7. Mr Hero

    Ni suala la muda tu. Hili la Davis Mosha litaondoka na mtu

    Kwa mujibu wa sheria zetu Dhamana yake ilikuwa wazi, hajauwa, hajamatwa na madawa, wala sio jambazi WA silaha
  8. Mr Hero

    Rais Wa TLS Katika Kikao Cha Siri Na Makada Wa CHADEMA

    Sasa Siri kitu gani hapo? Wakati huyo hilda ndio kaposti hiyo picha
  9. Mr Hero

    Miji inayoongoza kwa usafi Tanzania takwimu za 2018

    1 iringa 2 moshi Hizo nyingine ondoa kabisa, iringa kusafi sana mji mdogo lakini utaupenda kwa usafi
  10. Mr Hero

    Kuondoka kwa Mbunge wa Monduli CHADEMA ni dalili ya Lowassa kuachana na siasa?

    Chadema bado wako imara Sana Sana, ccm wakitaka kujua uimara wa upinzani waache kutumia Vyombo vya dola
  11. Mr Hero

    Ushamba: Siasa ndani ya ndege ya kibiashara (Dreamliner)

    Hizi siasa wanazopiga sasa majibu yao yatakuja kwenye business
  12. Mr Hero

    Kweli kua uyaone; Nimeamini ndoa ni kitu kigumu sana

    Kuishi kwenye ndoa ni kipaji sio kila mtu anacho, kwenye maisha ya ndoa kitu pekee kuwe na mapenzi toka Pande zote, hapo ndio utasikia uvumilivu, subra, lakini mapenzi yakikosekana Hakuna lolote, kama unampenda mtu utamvumilia kwa kila upungufu wake, kama humpendi hata akupeleke peponi...
  13. Mr Hero

    Wanawake eleweni ni kwanini wanaume tunapenda kutoka na mabinti wadogo kuliko wa umri wetu

    Post yako inaashiria umri wako, zamani nilipokuwa na umri wa 22+ nilikuwa Nawaza kama wewe, nasema Haiwekazekani nikaja kutoka na mwanamke mwenye mtoto, leo niko 30+ ukiniletea kisichana kidogo na mwanamke aliyezaa basi ntachukua aliyezaa, raha ya utamu wa mapenzi iko juu ya miaka 30+ huko chini...
  14. Mr Hero

    Kenya kupoteza zaidi ya billion 1.2 baada ya Tanzania kufunga radar zake 4 mpya za kisasa

    Hii nchi bwana, kila Siku kujifananisha na kenya, Jamani kenya hata wasimame wasifanye lolote miaka 20 sisi tuendelee hatutawafikia,
  15. Mr Hero

    Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...

    Uko sahihi Mr ila nikukumbushe tu mzigo unaokwenda Rwanda na Burundi ni kidogo sana, uwekezaji mkubwa tungetazama kwenye mizigo ya DRC, ZAMBIA, MALAWI
  16. Mr Hero

    Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

    Alipokuwa timamu TV alikuwa afadhali hivi sasa uharo tupu
  17. Mr Hero

    Tabia hizi za Rais Magufuli zinaishushia hadhi taasisi ya Urais

    Anasumbuliwa sana na ugonjwa wa ushamba na ulimbukeni
Back
Top Bottom