Search results

  1. missyrose

    Napendekeza kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi

    Imagine unatoka Dar-Kigoma na helmet kichwani.
  2. missyrose

    Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    1. 3 idiots 2. Taken zote 3. Salt 4. Hitman 5. 13 hours: The Secret Soldiers of Benghazi 6. Shawshank Redemption 7. Black Hawk Down 8. Tears of the Sun 9. Tangled 10. Despicable Me 1n2
  3. missyrose

    Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

    Unajuaje mimi Ke ndugu[emoji1787][emoji1787]
  4. missyrose

    Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

    Tutajie hizo nyimbo alizofanya wengine hatujui
  5. missyrose

    Movie kali za action staring wanadada

    Ongezea Heart Of Stone
  6. missyrose

    Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

    Kumbe mshepu wa kisu Siku zote najua ni yake hata hivyo imekaa vizuri sana mtu huwezi kujua Sio kama kina Zari wanachonga viuno mpaka loh
  7. missyrose

    Nauliza Nimfanyeje huyu mwanamke ili aweze kanirudishia pesa zangu?

    Hiyo imetoka na hakuna kitu utamfanya. Teh
  8. missyrose

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Happy new best Tunapoteana sana..kwema?
  9. missyrose

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Na walijijua wako mtu 3 ndani ya track 1? [emoji1787][emoji1787]
  10. missyrose

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Umesamaraiz vizuri [emoji23][emoji23] Happy New Year
  11. missyrose

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Nilitaka kuuliza mbona out of topic..khaa
  12. missyrose

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Mbona ghafla sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. missyrose

    Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

    Yellow Card hiyo Nimeitafuta sana miaka ya karibuni sijafanikiwa natamani kuiangalia tena
  14. missyrose

    Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

    Doh aisee nahisi ile cast yake ya uchawa ilifanya tumuone zwazwa..rip mzee
  15. missyrose

    Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Kheeee Chibu kashajiwekaga mle!??? Hii mpya kwangu [emoji119][emoji23]
  16. missyrose

    Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Nilipoona comment ya mjumbe sikumbuki sijui uzi huu au ule wa Lulu kuwa wanaenda gym kuonesha flexibility ni yeye akanijia akilini direct..anapiga misamba balaa lols
  17. missyrose

    Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Duh kumbe.. Kweli usimjudge mtu kwa kumuangalia Instagram [emoji1787]navomuonaga mpole mwenyewe najiambia Aslay ndo kamfanya awe vile
  18. missyrose

    Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Ila Tessy amekaa ki wife material naona..na hivi alivyopungua. Namfananisha sana na Caren sijui kwa nini
Back
Top Bottom