Search results

  1. B

    Kliniki ya HIV

    Mimi ni mgeni Dar na natumia dawa za ARV. naomba kujua wapi nitapata huduma ya dawa na kliniki
  2. B

    Cote d'ivoire wafanya uchaguzi na matokeo tayari

    Wananchi kwa Cote D'Ivoire walifanya uchaguzi 31 Oktoba 2010 baada ya miaka 10 bila kufanyika uchaguzi. Kulikuwa na wagombea nafasi ya uraisi 14. Na matokeo yametoka jana na kuwa katika hao 14, mmoja amepata 38% na mwingine 32% na waliobakia wamepata chini ya 30%. Hivyo uchaguzi utarudiwa...
  3. B

    Salamu wana JF

    Kwa kawaida mgeni ukifika ugenini unapiga hodi ukisubiri kukaribishwa. Nawasalimu wana JF wote popote mlipo. Mgeni nimewasili.
Back
Top Bottom