Search results

  1. W

    Msaada wa Kifedha

    wasiliana na Jibu Company, Arusha, ni kampuni ya kukopa na kukopesha kwa riba, though kuna vigezo na masharti ya kuzingatiwa unapochukua hela 0754 360757, 0784 360757, 0655 360758
  2. W

    Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

    Jambo la kushangaza, mshahara wa rais wa USA, nchi yenye uwezo mkubwa kiuchumi uko chini ya waziri mkuu wa Kenya, nchi ya Afrika, Mmh!!! Vipi raisi wake Kibaki, anapokea ngapi?
  3. W

    Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

    Hata hivyo tuwe na ulinganifu katika maeneo yote mawili; darasani na maishani. Fanya vema darasani na maishani vema. Ila ukifanya vema darasani na maishani vibaya hailipi. Ukifanya vibaya darasani na maishani vema, bado italipa vizuri tu.
  4. W

    Kibonde kuhamia Al-Jazeera tv...

    Billy Gate is a college dropout, na sio failure. Yeye alikuwa na akili zake pale Havard ila akaamua kuacha mwenyewe ili kufukuzia upepo wa kiuchumi kwa wakati huo, hiyo ndiyo maana yake. Failure ni kufanya mtihani na ukashindwa.
  5. W

    Bibi mwingine aibukia Mwanza

    Mmh, Nilisikiliza TBC1 saa mbili usiku J'tano kuhusu Margareth yule wa Tabora eneo la Uzunguni, hat mkuu wa mkoa alikwenda kunywa kikombe na akaongea TBC1
  6. W

    Tido Mhando atemwa TBC

    Friday, 17 December 2010 BAADA ya kufanya kazi nzuri ya kuboresha matangazo na uendeshaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), serikali imeamua kuachana na mkurugenzi wa chombo hicho, Tido Mhando baada ya mkataba wake kuisha, lakini mtangazaji huyo maarufu ameielezea uamuzi huo kuwa kuwa...
  7. W

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    Mizengo Kayanza Peter Pinda is, once more the Prime Minister To approve his appointment the parliament had a vote; total votes -328, Yes -277, No - 49, damaged were 2. We also got Hon Job Ndugai as depute house speaker. Source - TBC1
Back
Top Bottom