Search results

  1. garikicah

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Mkuu hii kauli ilitolewa kwasababu ilikuwa ni lazima upatanisho ufanyike kati ya mwanadamu na Mungu ni kwa wakati huo yesu mwana wa Mungu alitwishwa dhambi za ulimwengu wote abebe yeye ambaye hakuwahi fanya dhambi kabisa, ni kwa kitendo kile Mungu alidhihirisha kuwa yeye hafungamani na dhambi na...
  2. garikicah

    Mahakama Kuu yamtambua Prof. Lipumba kama Mwenyekiti halali wa CUF

    Wenyewe huwa wanaimba kama noma na iwe noma, unadhani huwa wanamaanisha nini? That is what they want walishashindwa kote hii ni karats yao ya mwisho. Ingekuwa sivyo leo hii serif angekuwa rais Zanzibar Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. garikicah

    Kanali Lubinga amrithi Migiro Ukatibu wa NEC CCM

    Mkuu refer zile video Za vita ya uganda utajua chama cha Mapinduzi Na jeshi la wananchi wana ideology moja. "Zidumu fikra za mwenyekiti wa ccm" wanajibu zidumu. Hicho kizazi bado kipo sana kama unavyo ona. Ndo maana kule Zanzibar mliitwa kwa uchaguzi mliposhinda mkaambiwa hapana Mapinduzi...
  4. garikicah

    Ukweli kuhusu shape ya Dunia

    Mkuu sayansi ya NASA ina uongo mwingi sana, mdau huyo aliyetoa mada hapo juu sio mawazo yake hizi ni tafiti Za independent scientists wenye mawazo ya kuhoji theories Za NASA, kuhusu dunia kuwa flat hii ni fact, isipokuwa mamlaka zinazo control huu ulimwengu haziwezi kubali haya, kwasababu ukweli...
  5. garikicah

    Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

    Kwa hiyo hata zile barua walizo kuwa wana tuma UN prof anaweza sema ni batili kwakuwa haku sign yeye? Da siasa ni mchezo mchafu.
  6. garikicah

    Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

    Wakati maalimu ana deal na mutungi professor huku Yeye anasafisha, da kazi kwelikweli
  7. garikicah

    Haya maamuzi ni kujenga au kubomoa?

    Crime haina expire date, sometimes muhusika anaweza kuwa ame move on but ikigundulika lazima awajibike, huenda aliziba nafasi ya mtu mwingine ambaye kwa kukosa stahili yake haku recover hadi leo.
  8. garikicah

    Inawezekana Hillary Clinton ni mgonjwa kweli

    Anasumbuliwa na mzimu ulio mpa shida lowassa, so bad kwa wakati huu.
  9. garikicah

    Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

    Hahaha mkuu umenichekesha sana hii cinema mpya
  10. garikicah

    Kweli hii ingeweza tokea!!

    Mkuu tungeishi vizuri ikiwa tunge kuwA hatuna dhambi, in fact kifo kilikuja as punishment pia kama msamaha, imagine tungeishi ndani ya dhambi na uonevu, mgonjwa yasiyo tibika, vita na manyanyaso yote but you still there, it's painful, God knew at some point we need a break from this world of sin.
  11. garikicah

    Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    Haha mambo mengine hufurahisha sana, kwaiyo jamaa hawezi mziki wa makamba.
  12. garikicah

    Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Mahakama jamaa watapeta wanatoa hela tu anashinda mapema sana. Dawa ni ky deal nao ivo tu.
  13. garikicah

    Eti ananitishia ushirikina

    Mkuu pole bana duniani hapa usanii no mwingi yawezekana hata hapo CBE wanafaulu kwa vitisho vya ushirikina.
  14. garikicah

    Tumsaidieje mhindi huyu?

    Hahaha jamii forum bana, mpeni jamaa kibali isee apeleke mzigo.
  15. garikicah

    IGP Mangu: Lugumi ilitekeleza mkataba wake na Jeshi la Polisi

    Mkuu tuwekee basi mchanganuo wa gharama Za hivyo vifaa hapa.
  16. garikicah

    Tanzania kujenga kiwanda cha kuunda magari ya Toyota

    Hii habari Kama si porojo basi it's another big news wale jirani zetu wanaweza omba suluhu pale Mogadishu ili watuvamie sisi maana we are becoming threat kwa economy yao. Wadau inabidi magufuli aingie pale North Korea afanye shopping ya carrot chache Za kupigia jalamba na viazi vya rasharasha...
  17. garikicah

    Mkanganyiko kuhusu reli ya kati

    Sometime wanasema wanataka jenga mpya kumbe wanakarabati tu, but pia wanatoa habari Za kukanganya sana. Serikali ingekuwa inafuta kauli ya awali then watoe maelezo mapya. I'm sure prof mbarawa akija atatoa maelezo tofauti pia.
  18. garikicah

    Mkanganyiko kuhusu reli ya kati

    Mkuu wazee wanaweza nunua train kabisa zikawa zinapita bure haha
Back
Top Bottom