Search results

  1. Makanda

    Mwili wa Alphonce Mawazo wageuzwa kuwa suala la kisiasa

    Hiv wangeachwa tu waaage then wakazike hUYO RPC angepungukiwa na nin? Mnazungmza mambo ya umaaruf wa kisiasa kwan kuna mtu asie ijua chadema leo hii? Mawazo ni mwanasiasa sasa msiba wake utakosaje kuwa na wanasiasa? Mtumie akili kidogo, sio kila kitu mnatanguliza ushabik tu au uandike na ww...
  2. Makanda

    Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Kwani hujui Clouds wako nyuma ya nan?
  3. Makanda

    Dr. Slaa tafadhali tumia busara tuiondoe CCM 2015

    Naamini Mwisho wa Siku Dr na Lowasa Watakua Jukwa moja wakirusha makombora kwa Ccm.....Hii ni Siasa!
  4. Makanda

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Hata sisi wamakonde tupo nawe Lowasa
  5. Makanda

    Msako: Yu wapi Mtikila?

    Gwanjima kawa mbadala wake?
  6. Makanda

    VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

    Utaficha vyote lakini vitu vitatu havifichiki.... Mwezi, Jua na UKWELI ... MUNGU IPONYE TANZANIA
  7. Makanda

    WAZIRI MKUU PINDA: Maiti wote wa mlipuko wa Bomu watazikwa na Serikali!!

    Hivi jf unayo orodha ya majangili humu ndani unatakiwa kuwashugulikia uwalipoti wakamatwe sisi tuliofiwa tulioumizwa tukiona mtu anaropoka tunatamani tumshughulikia
  8. Makanda

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    By Nambalapala wanachokifanya chadema ni uhuni. mbona waliofariki pale olasit hawakupelekwa eneo la tukio kuagwa? mbona hawajashinikiza majeruhi watibiwe hapo hapo soweto? WEWE NI MHUNI TU HUNA LOLOTE MJINGA WA MWISHO
  9. Makanda

    Uchunguzi wa BOMU ARUSHA jionee mwenyewe

    sipendi na wala sitopenda kamwe kejeri za watawala wetu kuchunguza wakati kitu kio wazi .... Utaficha vyote katikachini ya jua lakini ukweli na mwanga katika giza hwaufichiki tutajua tu.... Hii ni kama mimba changa lakini itajulikana na mtoto atazaliwa tutajua baba yake ni nani???? Mungu...
  10. Makanda

    Unyama huu hauvumiliki-arusha

    KWA SIASA HIZI HAIWEZEKANI KUWA NA DEMOKRASIA UKISHINDWA HOJA KAJIPANGE SIYO KUMZURU ALIYEKUSHIDA MAMBO YANAYOFANYIKA ARUSHA SI UTU WALA UTAWALA BORA ANGALIA LINK HII http://www.facebook.com/photo.php?fbid=10151515750158640&set=a.10150564089158640.386594.522648639&type=1&theater
  11. Makanda

    Janga la uranium litakuja ingalimu nchi watch this vidoe

    https://www.facebook.com/photo.php?v=506627319385681&set=vb.100001152527713&type=2&theater
  12. Makanda

    Janga la uranium litakuja ingalimu nchi watch this vidoe

    UCHIMBAJI BADO LAKINI UTAFITI TUU UMEANZA KULETA MADHARA JIONEE MWANYEWE https://www.facebook.com/photo.php?v=506627319385681&set=vb.100001152527713&type=2&theater
  13. Makanda

    Uchimbaji wa uranimu utakuja kuwa janga la kitaifa watch this video

    UCHIMBAJI WA URANIMU UTAKUJA KUWA JANGA LA KITAIFA WATCH THIS VIDEO https://www.facebook.com/photo.php?v=506627319385681&set=vb.100001152527713&type=2&theater jUST cOPY AND PASTE TO VIEW THE VIDEO LET US FIGHT TOGATHER DISTRIBUTE TO OTHER
  14. Makanda

    DC-BAHI Atishia kuzifuta asasi za Kiraia zinazotoea elimu juu ya Madhara ya Kuchimba Uranium Bahi

    Sijawahi Kuona Vitendo vya Kikatiri katika jamii kama Vinavyo fanyika bahi, Wametumia Madaktari Kupotosha madhara waliyopata wanakijiji wa Bahi Makulu kwa kuzulika baada ya watafiti wa madini ya Urani kuacha mashimo wazi yakiwa na kemikali iliyowazuru walimampunga 200 , wametumia madaktari...
  15. Makanda

    Wamakua na mila za bibi haruri kupita juu ya wakwe

    Mbona wanaume hawalali wakakanyangwa inaubanguzi wa njisia na inawazalalisha wanawake
  16. Makanda

    Hivi laki 2 na nusu itanitoa kimaisha nikisave kwa mwezi?

    Tembelea www.potion21.com hiyo lambili na nusu itakutoa jamaa tupo hapa dar imetutoa au nipingie simu 0719 67 23 28
  17. Makanda

    Make Money online with Potion21-Networking up to $1,000,000

    Asante sana wakuu Kwanza napenda kuwahakikishia kuwa hii haina utalatibu kama wa networking nilizoziona na mlizo zitaja, Hakuna suala la kufunga mwezi ukisha jiunga wewe ni kushawishi mtu mmoja au watu zaidi wanunue hiyo product. Mitandao mingine huwa inalazimisha ulete watu wawiliwawili ili...
  18. Makanda

    Hivi laki 2 na nusu itanitoa kimaisha nikisave kwa mwezi?

    Hiyo laki mbili n a nusu jiunge nayo Potion21 nakuhakikishia mwakani au baada ya miezi mitatu kwa bidii yako hutakuwa kama ulivyo nipingie kwa maelezo zaidi 0719672328 naitwa Lyamunda What is Potion 21? Potion 21 is a Malaysian Nutrihuang's product marketed online worldwide. Potion 21...
  19. Makanda

    Make Money online with Potion21-Networking up to $1,000,000

    Hii kitu ni kweli nitafuteni What is Potion 21? Potion 21 is a Malaysian Nutrihuang's product marketed online worldwide. Potion 21 for treating 21 types of skin-based problems like diabetic wound ulcer. Watch the video below to see just how magical Potion 21 really is. Generally...
Back
Top Bottom