Search results

  1. A

    Kizungumkuti cha ndoa!

    Jamani mimi sikatai kuwa wanaume ni viongozi wa familia ,tatizo wengi ni wabinafsi saana na wanafanya maamuzi mabaya na yenye madhara kwa famia ,kwa mfano mimi niliolewa na mume tulieanza nae maisha kwa pamoja hatuna chochote baada ya kuchanganya mshahara wangu na wake tukafanya maendeleo mengi...
  2. A

    Jamani!! Haya mapenzi sijawahi kuyaona...!!

    Ni kweli ,mapenzi haya ulikuwa hujayaona sababu kuu ni kuwa ulikuwa Mtoto ndio unakuwa sasa utayaona mengi, ukisikia unaambiwa kuwa uyaone, sio kuona magorofa yanayojengwa aaaa ni kuyaona mambo ya walimwengu.
  3. A

    kwanini wanaume hatuuoni upuuzi huu!@^&&,,@

    Ki ukweli ni bora kwa baba wa kambo kama mama anjitegemea kiuchumi
  4. A

    Atamjuaje baba wa Mtoto????

    Si lazima iwe ya mwanamume wa kwanza inategemea strongnesss ya mbegu na many other factors na anaweza asiwe na miba pia ,akapime kwanza
  5. A

    Atamjuaje baba wa Mtoto????

    Kwani keshanasa! Kama ndio akashushe kisha awe na msimamo na yeye,mie mtu hawezi ningangania hivyo kama simpendi namtema
  6. A

    Ushauri wa talaka kwa wanawake ............

    Nilivumilia ndoa kupita maelezo nilipoona kuwa sasa naweza kufa hapa nilifungua mdomo na watu walinililia kwa huruma na niliamua kusema NO capital letter undeline na kwa kwli baada ya mapambano fulani hivi aliitoa talaka sasa nini amani nimepat mwingine na tunaishi kw usalama na watoto wapo...
  7. A

    Ushauri wa talaka kwa wanawake ............

    Habari zenu wan jamvi Jamani mimi ni muislam na kwa perspective ya uislam ,talaha ni halali ambayo allah /mungu anaichukia Ni halali kwa sababu kuna wakati ndoa inakuwa ngumu saaaana na inaweza leta madhara makubwa kwa wana ndoa na watoto na hata vifo ,kwa nini ifikie hivi wakati ndoa ni...
  8. A

    Utii wa mwanamke ni dawa tosha ya nguvu za kiume

    Kwa kweli tungefuata maamrisho ya mungu tungefanikiwa lakini ni kinyume wanaume mmekuwa wakatili ,hamna huruma wala upendo kiasi cha kutufanya ss tuanze kuamua kujitegemea hasa kujiendeleza kielimu na kiuchumi maana manyanyaso yamezidiiiiiiiiiiiiiiiii na hayavumiliki JmNI HAMUWEZI AMINI...
  9. A

    Mtaweza FUMBO?

    Ni binadamu,utotoni anatambaa kwa mikono na miguu,utu uzimani anatembea kwa miguu miwili na uzeeni anaongezea mkongoja
  10. A

    Nimechanganyikiwa, sikujua kama mwisho utakuwa hivi

    Ni kweli kabisa,hajakuwa vizuri hivyo hajaona mabo ya dunia wala kusikia habari za ndoa zinazovunjika,mara nyingine kuvunja ndoa ni bora na kuna faida saana kwa wanandoa wenyewe na watoto pia,angalia mazingira unayoishi mambo mengine hayavumiliki ,ina maana unataka ateseke maisha yake yoote...
  11. A

    Kwanini wanawake wanapenda kukumbatiwa na wanaume kwa nyuma?

    Mi napenda kwa mbele nipate lkulaza kichwa changu kifuani
  12. A

    Kwa wanaume; naomba ufanye jaribio hili asubuhi hii...

    Wanaume bwana HALAFU HUWA MNAJIFANYA WAJANJA NA WAJUAJI KUMBE KILA WAKATI MWAWAZA wnawake Kumbe ninyinni tegemezi saana kwa wanawake kwa upande wa kupozwa mioyo ,JAPO MUWASEMESHE WANAWAKE ndio muendelee na maisha . Hivi siku ikitokea dunia ikapigwa mstari na kuwekwa kizuizi wanwake kwao na...
  13. A

    Mapenzi mahusiano na urafiki

    Maisha yoote ni mapenzi na pesa ndugu ,kutokana na mapenzi ndio tunapata watu kwa hiyo chochote kinachohusu watu kina uhusiano na mapenzi ,
  14. A

    Nakupenda Sana Lakini Ukiendelea Hivi Nakutema!

    Kwa nini mnafikiri ni stori tu? Jamani inapaswa mjue kuwa baadhi ya wapenzi kwenye mahusiano ni watesaji na wanyanyasaji wa wenzao mpaka inafikia hatua ambayo mtu mwingine akiiandika inaonekana kama mchezo wa kuigiza Binafsi nakupa pole kaka na nimependa msimamo wako kwani inabidi kujiokoa...
  15. A

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Amedhulumiwa mali gani? na nani? hakuwa na mawakala wa kuthibitisha! Tatizo mlikuwa mkikampeni kewnye mtandao watanzania wengi vijijini wanaikubali CCM MSITUHARIBIE NCHI YETU:nono:
  16. A

    Elections 2010 Tanzania Bila Makamu wa Rais!

    Usihofu JK ataapishwa Ijumaa na Makamuwake :hippie: every thing is undercontrol
  17. A

    Elections 2010 Angalizo kali kwa Watanzania wote mara baada ya jk kutangazwa rais.

    Nakushukuru kwa ushauri wako ,mungu atatusaidia na kutulinda na shari ya wote wasio na nia njema na nchi yetu nzuri TANZANIA . Na kwa upande mwingine inabidi tusiilaumu sana tume kwani sifikirii kama wtu wa vijijini walipata kusikia hizi kampeni za kwenye mitandao ilhali wengine hawana hata sim...
  18. A

    Elections 2010 Slaa yuko wapi?

    Poa moto ndugu kwenye ukweli uongo hujitenga,huna haja ya kukashifu kabila ya mtu.Tanzania ni ya wote
  19. A

    Hodi ,hodiiiiii,ah wenyeji mpo?

    Wana JF ,This is just to say hallow to you all, natumai nitafurahia kujiunga nanyi wote.:caked:
Back
Top Bottom