Search results

  1. eliesikia

    Taaluma isiyo na maadili sio taaluma. Hongera AG kwa kulisimamia hili lakini kwanini usimfutilie mbali Uwakili wa Tundu Lissu badala ya Mwabukusi?

    Tundu Lissu keshakuwa mwanasiasa kwaio wanajua kumtolea uwakili sio dili maana inawezekana anapractise "rarely". Wanadhani Mwabukusi anakula kupitia uwakili kwaio wanataka kukata umeme.. Sasa wanaompenda Mwabukusi wampe kazi ya kisiasa basi watakuwa wamemfunga AG goli saba za mshindo
  2. eliesikia

    Kamishna wa zamani wa TRA, Rishade Bade arejea Wizara ya Fedha

    Chai chai... Hebu tupumzishe.
  3. eliesikia

    Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

    Maza ana Masters kasomea Marekani.. Maza yule ni levels ingine sio kama wewe usiejielewa
  4. eliesikia

    Prof. Mkenda: Eneo la Sayansi Teknolojia na ubunifu bado linahitaji kupewa msukumo

    Mkuu ndio Academy of Sciences zilivyo.. Ili uwe Fellow lazima umri uende maana lazima uthibitishe unguli.. Hao ni Professors tuu aka Science Mentora. Vijana watajiumga kama Members wa kawaida sio viongozi kisha unapiga utafiti wa kutosha mpaka uwe Fellow.. Otherwise Vijana watakuwa wanapewa...
  5. eliesikia

    Kwa asili ya Watanzania tunahitaji Rais wa kidemokrasia ila mwenye tabia za kidikteta au Katiba yenye Meno Makali

    Hatuhitaji dictator bali tunahitaji mtu ambaye anaweza kuzifanya taasisi zetu ziwe na nguvu kuliko binadamu au individuals. Taasisi ambazo zina nguvu kubwa kikatiba na zinaweza kusimamia katiba bila kuingiliwa na mkuu wa nchi. Tunataka mtu atakayejenga hiyo misingi imara kwa ustawi wa jamii yetu.
  6. eliesikia

    Kiukweli asilimia ya mshahara kupanda haikutakiwa kutangazwa ili kudhibiti mfumuko wa bei

    Toa mfano wa mwaka ambao JK hakutangaza nyongeza ya mshahara? Acha kupotosha. Bei ya vitu inapanda kutokana na supply and demand full stop.. Hayo yako hayapo kwenye kanuni za uchumi.
  7. eliesikia

    Rais Samia, mtetee Magufuli kwani anadhulumiwa

    Mkuu Zitto kawapeni ujanja.. Kila la kheri katika safari yako ya Chato
  8. eliesikia

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Wewe uwezo wa daktari unapima kwa kutumia nini? Una ufala flani hivi wa kujifanya unajua huku ni failure.. Wengine wanajua wanajua tuu mzee. Mtu ambaye cheti chake hakina makarai hata moja huyo anajua tuu.. Kwa hapa Tanzania atakwamishwa na vifaa tuu ambayo huwa nadra kupatikana.. Lakini kama...
  9. eliesikia

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Wewe ni Juha kabisa. Vipanga wa Muhimbili na wale wa Pharmacy wamesoma mpaka ulaya na Marekani. Huko kote wametuheshimisha kwa ufaulu wa hali ya juu sana.. Wengine wamebaki huko wanategemewa sana.. Kuna ambao wamesoma mpaka Havard na wako pale.. Halafu wewe failure wa Form 4 unakuja hapa kuongea...
  10. eliesikia

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Acha ujinga ukidhani unakuwa mwelevu.. Scienrific Journal Papers ziko kibao mtandaoni.. Kuanzia Science journal mpaka Journal za wahindi na wachina.. Watabe waliosoma mashule ya ukweli wanaelewa vizuri wapi wanapata nyanga za kibabe. Nenda Google scholar, scimago, Web of science au Science...
  11. eliesikia

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Yaani wewe upewe ripoti? Mbona hujaulizia ya dawa zote walizonazo hospitali ambazo tunapewa na mabeberu? Achaga ujinga wewe... Wenzio wanasoma miaka 6 chuoni kuelewa hizo ripoti afu wewe unataka uelewe kwa dakika 5. Shenzi
  12. eliesikia

    Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

    🙏🙏🙏 huu ndio ukweli mkuu.. asante
  13. eliesikia

    Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

    Umekaa kishamba sana mkuu.. Wakenya wana nafuu sana
  14. eliesikia

    Mbona wenye mamilioni ya chanjo bado wako lockdown na wanakufa

    Pumba kama hizi hutoka kwa ZERO brains pekee
  15. eliesikia

    Mbona wenye mamilioni ya chanjo bado wako lockdown na wanakufa

    Hahaha wao wataalamu wa kucheki ubora tuu 🤣🤣🤣
  16. eliesikia

    CHADEMA yatangaza uchaguzi wa kujaza nafasi za waliotimuliwa Bawacha

    Tuendelee kuwashauri CDM 🤣🤣🤣
  17. eliesikia

    Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

    Wangemuuliza kwanini kila chanjo yetu (TB, Pepopunda, tetanus, Surua, ndui etc.) imeletwa na mabeberu? Lini zamu yetu na sisi wa nchi za Joto kutengeneza yetu?
  18. eliesikia

    Uchaguzi 2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

    Wakati unajiunga na private company kama mteja au mfanyakazi unapewa terms and conditions.. Maana sio lazima uwe mteja wao.. Ukiviolate terms and conditions wao binafsi wanakaa wanakuvubua
Back
Top Bottom