Search results

  1. M

    Wadada kuweni wasafi jamani!

    Missrose ni pm dada
  2. M

    TANESCO: Taarifa ya kukatika umeme kwa baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam

    Watu wengine bwana kwa hiyo km south Africa kuna tatizo la umeme lazima tz niko liwepo kisa uchumi wao mzuri, lini tutajikomboa kifkra?.
  3. M

    Mimi na mpenzi wangu ni mabondia wa mapenzi

    Ushamjua kuwa ni bondia na wewe pia fahari 2 hawakai zizi moja ukiona mwanamke wa kitz anampiga mme we jua mwanaume anatatizo hivyo jiangalie kwa upande wko km uko sawa basi kaa nae kiakili usiwe unajisahau la sivyo makofi ya uso yatakuua.
  4. M

    Nanyimwa unyumba kisa mimi ni mwana UKAWA

    Swala dogo sn Mr Hedex, km kakushinda kwa dogo hilo ina maana yapo mengi ambayo hujayasema huwa mnashindwana, usilegeze uzi anabeep tu hy mfano we ni mshabiki wa yanga na mkeo ni simba mbona huwa ukifungwa anakucheka na wewe hujawai kumnyima unyumba?, kwenye unyumba hakuna baunsa labda km...
  5. M

    Maoni ya J. Mtatiro: Akina Butiku si wakweli kuhusu Lowassa

    Siku zote fikra zilizo hai zitaendelea kuishi, tkt suala lolote lile ukijitambua umejiokoa wewe, jamii yko na Taifa kwa ujumla, huu utaratibu wa kugeukana watz na kuacha kweli na kutetea uovu tutaicha lini?, watu km kina mzee butiku wako wengi leo utawasikia hivi kesho vile tunakwenda wapi...
  6. M

    VITUO VYA Tv vyanunuliwa dhidi ya LOWASA

    Ni kweli kabisa, ila mie nayaita Gharika si mafuriko tena.
  7. M

    Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

    Asaidiwe maana hajitambui, eti nae ni mtz na waweza kuta yuko Dar km hata hajui Mnyika anagombea jimbo gani, aibu kweli ccm.............
  8. M

    CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

    Muongo tu huyo sina timu angalia jumla ya majimbo aloyaweka na uhalisia wa majimbo yote tz
  9. M

    CUF kupewa majimbo 35, NLD 5, NCCR Mageuzi 15 ni haki?

    Kweli mtu ukikosa kazi unakalia unafika na umbeya, kwa hesabu yko ukijumlisha majimbo yote ya ukawa km ulivyoyaainisha ni 254 na nchi ina jumla ya majimbo zaidi ya 300 na zaidi huoni kuwa unatudsnganya?, kuweni wazalendo basi japo kidogo hata kusema ukweli pia ni uzalendo.
  10. M

    Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

    Watanzania kwa majungu, dah, jitambueni basi acheni kujizalilisha kiasi hicho ina maana kipindi wanapeana mimba mlikuwepo?, dah.
  11. M

    Kidume salio halitoshi ama umeishiwa? Okoa ndoa yako (18+)

    Sijawahi kuona samaki wa nchi kavu toka nizaliwe ila najua kuna wa maji chumvi yaani baharini na maji baridi yaani ziwani na mtoni.
  12. M

    Je Mafuriko yanaweza zuiwa kwa mkono?

    Hayazuiliki kwa mkono ndo kwanza yameanza wakiyazuia yatawaangamiza bora wayaelekeze njia
  13. M

    Mashabiki wa SIMBA watashangilia timu gani?

    Ndugu ni ndugu tu mtaitirafiana lakini kwenye msosi mnakaa meza moja mnakula chakula.
  14. M

    Natafuta rafiki wa kike mmoja wa kubadilishana mawazo 18-40 yrs (whatsapp)

    Superboy, tafta mwanamke uoe ili uepuke huo upweke pia mtegee Mungu peke yke ndio mfariji wa kweli.
  15. M

    CHADEMA Mbalali yasimamisha mgombea wa ubunge asiyekubalika

    Acheni uzushi jamani mbona mnakuwa wepesi wa kuhukumu toka jn niko Lujewa mbalali na leo asubuhi nimekuja mbeya hicho kitu sijakiona hayo maandamano yko wapi?.
  16. M

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Kibaya zaidi serikali iko kimya na jambo hili wamejikita ktk uchaguzi tu na kampeni uchwara zao, haya sie tunawasubili tufanye maamuzi km tunaelekea kipindi cha uchaguzi khali iko hivi wakipita je!, ukiuliza eti tunakarabati miundombinu.
  17. M

    Bara: Kushinda ubunge kupitia CHADEMA uwezekano ni asilimi 60, kupitia CCM ni asilimia 40

    Na mwibara pia Tufe usisahau maana kange haeleweki ccm mda wowote kinawaka.
  18. M

    Jokate asema Bikira wa Kisukuma ni snitch

    Watu wanafiki ni kunyooshwa tu maana ukiwaacha kidogo tu wanaharibu.
  19. M

    Kiingereza cha Vitumbua ni nini?

    Wazungu hawana vitumbua kwao, wamevikuta huku kwetu hivyo wanaita vitumbua km sie tunavyoita mfano hata ugali ni hivyo hivyo japo sie tunalazimisha iwe "hadi poleji".
Back
Top Bottom