Search results

  1. saks

    Bado hatua chache kwa Tanzania kuingia uchumi wa kati

    Tunaomba upatie thread yako support ya link ya taarifa hii itapendeza sana mkuu
  2. saks

    Ushauri kwa Serikali: Kila anayetumia simu alipe 10,000 kwa mwaka

    Pengine wewe unaona hiyo 10,000 ni pesa ndogo kwako kaa ujue kuna watu hiyo hela hata kwa mwezi hawana uwezo wa kuipata, na sijui kama hata umewafikiria ndugu walioko kijijini. Saa nyingine ni bora kuwaza mara mbili hutapoteza kitu kuliko kufanya kitu kwa hisia
  3. saks

    Tundu Lissu: Prof. Kabudi ni bingwa wa kuchapia, hasa kwa watu wasiomuelewa au walio wavivu wa kusoma au wenye uelewa wa juu juu

    Hawa ndo wasomi tunao wahitaji katika taifa, watu walio na uwezo wa kujenga hoja na kuchambua na hatimae kutoa taarifa sahihi ambayo italinufaisha taifa sio tu kwa elimu lakini pia kwa hasara zisizokuwa na kichwa wala miguu, lakini katika nchi yetu inatokea watu fulani kwa maslahi yao wenyewe...
  4. saks

    Dkt. Bashiru: Kuanzia sasa CCM haitatumia wasanii wa Bongo Fleva kwenye mikutano yake tutabaki na bendi yetu ya TOT

    Nina weka kambi hapa 2020 nitarejea kuona kama huu msimamo bado upo
  5. saks

    Hongera kwenu Smile Tanzania

    Swali langu liko specific kwenye voice call na siyo VoIP mkuu
  6. saks

    Hongera kwenu Smile Tanzania

    Kylian D hivi 4G imeanza lini kubeba voice labda naomba unielimishe hapo
  7. saks

    Wapi hapa Tanzania yanalimwa matunda ya kiwi?

    Mkuu hayo matunda huwa yapo supermarkets tu nadhani huwa ni imported kama upo dar nenda shoppers na game pia nimeshayaona
  8. saks

    Msaada iphone kuibiwa naipataje?

    Tafuta mtu mwenye iPhone then tumia app ya find my iPhone kwa apple id yako na password hope itakusaidia
  9. saks

    Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

    Wakati unawaza hivyo hebu waza na hili ya kuwa amenunua frequency ya 700Mhz kwa $10M ,weka operational cost zingine hebu pata picha hiyo offer itadumu kwa muda gani[emoji1] [emoji1]
  10. saks

    Part II: Kenya issues Tanzania, Uganda one-month ultimatum to lift ban on duty free entry of products

    Tz and Ug are big markets for the Ke products but i think Ke is going to win this against it's neighbor countries.Ke has more options and strong economy will favor, it happened before and it will hapen again
  11. saks

    Uhuru to open London Stock Exchange, meet Prince William

    Can you share the link with the information of the foreign countries that are fighting to invest or to give loan to Tz government. I will appreciate if i get informed as well as you
  12. saks

    Vurugu kubwa shule ya sekondari Lyamungo leo tarehe 1 March 2018. Shule yafungwa!

    Mkuu kumbe na wewe ulisoma hapo nakumbuka tuligoma kula chakula pia nilikuwa form 3 i think, nadhani wanafunzi watakuwa na reason behind sio hiyo tu ambayo imesemwa hapo
  13. saks

    Platinum credit mikopo nafuu kwa riba ndogo kabisa

    Upo sahihi mkuu huyu jamaa hiyo riba sio sahihi me ninamtu wa karibu sana kachukua mkopo hapo hiyo riba yake ni Mungu anajua
  14. saks

    Waaauh! Geza has been right this whole time!

    Huku Tz kuna project tuliambiwa ime cost 10B Tzs kumbe imecost 54B Tzs so difference ya 44B imeenda kusikojulikana nyie wakenya ndo mnatakiwa kushukuru kuwa na Uhuru ambaye ni transparent hiyo reli wanayosema watajenga kwa 1.5B $ when time comes audit itaonyesha 10B$ itafika time na tuta recall this
  15. saks

    Polepole: CCM katiba sio muhimu, tunataka kwanza wananchi wawe na chakula mezani washibe ndio muhimu

    Kwenye hii nchi kuna watu wanahitaji adhabu ya kifungo kitakachoendana na kazi ngumu kila siku na viboko angalau 20 asubuhi na jioni na mmoja wao ni polepole na kundi lake la wahuni waliotupa hasara za mabillioni ya katiba mpya na kuitupa[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
  16. saks

    Rais Magufuli: Hata kama umekula hela si unyamaze!!

    Well said, yaani watu wanapitisha wenyewe vifungu na sera mbovu.wakija kuona inawabana wakiwa nje wanaanza kupiga kelele, na wasiwasi na huyu mtu huenda alikuwa analala akisikia meza zinagongwa nae anafuata upepo[emoji57] [emoji57]
  17. saks

    Wanafunzi zaidi ya 31000 kukosa mikopo ya elimu ya juu 2017/2018

    Naona kila mwaka asilimia zinashuka na mwaka huu hata 50% tumeshindwa mpaka 2020 nadhani watakaopata mkopo ni 10% :( :(
Back
Top Bottom