Search results

  1. mi_mdau

    Mercedes Benz C Class W204 (M271 Engine) ina ulaji mbaya wa mafuta

    Mercedes benz c class w204 yenye M271 engine ina ulaji mbaya wa mafuta (high fuel consumption), inakula kati 6.5-7.2km/litre mjini. Nimefanya au kucheki vifuatavyo: [emoji736]Diagnosis (hakuna error au tatizo limeonekana kwenye engine au gearbox au components zinazoendana na hiyo mifumo, hata...
  2. mi_mdau

    Natafuta simu ya Oneplus 5T

    Habari wakuu Natafuta simu ya Oneplus 5T hapa bongo, kuna mtu anajua inaweza kupatikana wapi? Wauzaji wwngi hawana hii
  3. mi_mdau

    Nataka kujifunza Kisambaa

    Habari ndugu zangu. Nina hamu sana ya kufahamu lugha ya majirani zangu wasambaa. Ni kipaumbele kwangu kwa kweli likija suala la kujua lugha mbalimbali tofauti. Kuna mtu anaweza kunipa mbinu inayoweza kunifanya nijifunze lugha hii kwa urahisi, mfano vitabu...
  4. mi_mdau

    Wauza Simu kwa mkopo/credit

    Habari wadau. Niende straight kwenye point. Niwaulize kama kuna mtu anajua Kampuni yoyote, Duka lolote, au Mtu binafsi yoyote ambaye anauza simu kwa kulipia kidogo kidogo, hasa kwa mwezi au installment ya mwezi au nyingine yoyote kama hiyo.Nchi zilizoendelea kampuni za simu kufanya hivi ni kitu...
  5. mi_mdau

    Naamini LG G4 itakimbiza sana labda iwe na gundu...

    Tarehe 28, Aprili 2015 ndio tarehe rasmi iliyotangazwa LG G4. Specifications peke yake hazitoshi kusema kuwa simu itafanya vizuri kwenye maisha halisi. Ila kama ni trend au muendelezo wa LG G2 na LG G3, ukijumlisha na specifications zake, basi ni dhahiri kuwa LG G4 itakimbiza sana, labda iwe na...
  6. mi_mdau

    Tatizo la USSD code kwenye LG g2 Korean Version

    Habari wadau, Kwa yoyote mwenye ujuzi wa simu hasa zile zilizotumika China, nyingi zinakuwa na tatizo la kutoweza kupiga ussd codes kama za mihamala ya simu, au ya benki mfano *150*60#. Kucheki salio la kawaida haina shida. Kuna simu iliagizwa huko na mtu inamsumbua hizo USSD codes. Tayari...
  7. mi_mdau

    Motorola kutoa global version ya Droid Turbo

    Kama hujui, motorola hivi karibuni wametoa mzigo mpya uitwa motorola Droid Turbo wenye specifications za kutisha. Kwa maoni yangu, overall ni simu inayotangulia mbele ya xperia z3, lg g3 na pengine hata nexus 6. Note 4 pengine ndio itashindana kwa karibu na hii. Kwa sasa model iliyotolewa ni...
  8. mi_mdau

    NEXUS 6 is out, kwa wapenda simu mawazo yenu

    Kwa wale wenye mapenzi na ushabiki teknolojia ya smartphones na miondoko inayofanana na hiyo, mzigo wa Nexus 6 umetoka. This time jamaa wa Google wameamua wawape contract hiyo Motorola. Kwa hiyo simu yenyewe inafanana kabisa na toleo la Motorola Moto X la 2014. Camera pia ina specs kama za moto...
  9. mi_mdau

    New Samsung S3, HTC One X, Nokia Lumia 900

    Samsung S3- Tsh 850,000 HTC One X- Tsh 850,000 Nokia Lumia 900- Tsh 800,000 Nokia Lumia 920-Tshs 950,000 LG P870- 670,000 For specifications of any particular phone mentioned above, please visit gsmarena.com and search the type of phone. All prices are fixed. Serious buyers please call...
  10. mi_mdau

    Vijisenti vya mtandao

    Hebu wadau kwa wale wanaoweza, jaribu kubofya hii link na tuone kama tutangeneza vijisenti. NB:Link hii ni kwa wale wanaopenda kujaribu tu. IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit
  11. mi_mdau

    Sababu ya Man Utd kubebwa hii hapa

    Kumekuwa na malalamiko kila kukicha kuhusiana na matukio ya ‘wazi’ ya kubebwa yanayotoka kwa timu pinzani za Manchester united ya uingereza. Pamoja na ubora wake, Man Utd ni timu ambayo inapendelewa sana na waamuzi, wakiongozwa na howard web ambaye katika historia yake ya kuchezesha soka...
  12. mi_mdau

    Naendelea kusikitishwa na NHC

    Eti linaitwa shirika la nyumba la taifa lililoboreshwa na lenye nguvu kazi mpya. Sioni kama linaendeshwa kwa manufaa ya watanzania wengi, kama nakosea mtanisaidia. Walivyoanza kutangaza kuuza nyumba za ubungo nikawa na shauku ya kujua ntazipataje na pengine nikichukua mkopo wa miaka mingi...
  13. mi_mdau

    Pick up ndogo hizi zinauzwa

    Ni pick-up zililetwa toka japan na hazijawahi kutumika nchini. Ni daihatsu hijet 1, na mitsubishi 1. maelewano yapo kwa serious buyers ila bei ni mil 7.5. Piga namba hizi kwa mawasiliano na maelewano 0766-140074/0714-634534. Mitsubishi 1995, km 35919 Hijet(white) km 42712, 4WD
  14. mi_mdau

    Toyota voxy for sale

    Toyota Voxy (2002), ina km 96,000, alloy wheels 17'' rims, music system yenye subwoofer 800W. Iko vizuri sana. For serious buyers, call 0713-499359. Bei ni mil 16, piga muelewane.
  15. mi_mdau

    Mkurugenzi NHIF tuhurumie sisi wanachama

    Kama mnakumbuka magazeti kadhaa ya jumamosi yalikuwa na habari zinazoelezea matumizi mabaya ya takribani bilioni 30 za kitanzania yaliyofanywa na mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF). Fedha hizo zilitumika vibaya, pamoja na maeneo mengine, kwenye manunuzi yasiyofuata taratibu. Pia kama...
  16. mi_mdau

    Faida za kusameheana..

    wadau mi si mzoefu sana wa mapenzi lakini nimegundua kitu ambacho labda na wengine ambao pengine ni wazoefu linaweza kuwasaidia, hata walio kwenye ndoa. Tulipoanza mahusiano ya kimapenzi na rafiki yangu wa kike, kwa hakika tulihisi kupendana na muda mwingi tulikuwa na furaha. Shida moja kubwa...
  17. mi_mdau

    Elections 2010 Mbona Barrack Obama anakubali kushindwa..?!

    Ni bahati nzuri kuwa uchaguzi wetu hapa Tz umefanyika karibu kipindi sawa na ule wa nusu muhula (mid-term) wa marekani. Ni ukweli usiopingika kuwa umaarufu wa Barack Obama umeshuka na hivyo chama chake kupoteza viti vingi na nguvu ya utawala kwenye bunge nchini humo. Lakini Barack Obama...
  18. mi_mdau

    Elections 2010 Ushindi wa upinzani mijini kuliko vijijini, wa vijijini bado ni wadanganyika?

    Hodi humu mjengoni! Ukiangalia kwa haraka haraka na kujaribu kulinganisha, ni kama vile upinzani hasa (Chadema) umeweza kufanya vizuri katika maeneo mengi ya mijini na chama tawala kupata kura nyingi maeneo ya vijijini! Cha kusikitisha watu hawa wa vijijini ndio hasa wenye matatizo mengi kama...
Back
Top Bottom