Search results

  1. TONY LOVE

    Nahitaji msaada wa mkataba wa pikipiki

    Habari wakuu, nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba, mpya au used haina shida.ninamzamini wa kuniwekea mdhamana. Ni mfanyakazi wa serikali.pia nina kiwanja pwani cha samani ya Laki 6.mkuranga pwani.uaminifu ni mkubwa sana.
  2. TONY LOVE

    Natafuta laptop mpya ya kununua

    Kuna laptop inahitajika kwa mtu ambaye anayo mpya.nicheki dm
  3. TONY LOVE

    Nahitaji mawasiliano kahama kituo Cha police

    Habari ndugu zangu,naomba mawasiliano ya mkuu wa kituo police kahama,au polisi wa hapo kahama
  4. TONY LOVE

    Natafuta kazi ya kisimamia daladala kwa uaminifu wa hali ya juu kabisa

    Mimi ni kijana wa kitanzania naomba kazi ya kisimamia daladala hapa dar es salaam kwa uaminifu wa hali juu Sana. Nitafanya kazi kwa bidii zote, mtu wa kunizamino yupo. Napenda hii kazi.
  5. TONY LOVE

    Tunauza kuku chotara kwa bei ya jumla

    Habari zenu wadau, Tunauza kuku aina ya chotara wenye kilo 5 na kuendelea tupo pwani mkuranga,Bei ya jumla kuanzia 18000.majogoo na majike 15000.wapo 300.karibuni Sana,mawasiliano,0789881466 na 0622310464. Unaletewa kama unachukua wengi kuanzia 100.
  6. TONY LOVE

    Nimemtolea mahari sasa ananipa shida, najuta!

    Mimi ni kijana wa miaka 27, nafanya kazi. Nimeoa mwanamke ambaye tumedumu uchumba kwa mwaka na nusu. Nimetoa mahari zaidi ya milioni na nusu. Amekuja mkoa ninaofanya kazi, lakini vituko anavyonifanyia ni hatari. Hadeki, kunipa penzi mpaka ajisikie yeye mwenyewe hata kama mimi nina nyege...
  7. TONY LOVE

    Kuna tani 10 za karanga za kichele, mteja anahitajika

    Natumaini mpo wazima wa afya njema, Husika na mada hapo juu, kuna father mkubwa ana "TAN" za karanga nyekundu na nyeupe yupo kwenye mchakato wa kuzikoboa, sasa kuna dogo anazisimamia kuzikoboa hizo karanga, kama kuna mteja wa kuweza kuchukua mzingo wote naomba tuwasiliane ili nimuunganishe na...
  8. TONY LOVE

    Kwa dada aliopo Morogoro au Dar

    Natumaini mupo wazima wa afya njema ndugu zangu na kheri ya mwaka mpya......Husika na kichwa cha habari hapo juu, kuna mdada anahitajika hapa morogoro kazi za ndani awe na miaka 18 hadi 27 ajue kupika vizuri kufua nguo na usafi kwa ujumla na awe mwaminifu, kama wewe dada huna kazi yoyote hapa...
  9. TONY LOVE

    Sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani

    Habari zenu MMU? Natumaini mko poa kabisa na afya njema. Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana wa kitazania ambae nina umri wa miaka 24. Yaani toka nizaliwe sijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote hapa duniani, mimi nimwanaume niliekamilika kwa 99%. Mashine yangu ipo...
  10. TONY LOVE

    Nipokeeni jamani mie mgeni humu

    Heshima zenu wakubwa zangu, mie ni mgeni katika jukwaa hili, naomba mnipokee katika kujuzana na kuelimishana katika mambo yanayotutokea sisi wenyewe na ulimwengu kiujumla.
Back
Top Bottom