Search results

  1. S

    Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    Haya ni mawazo ya kutaka kutawala bila ya kuwa na check and control. Upinzani sio kazi yao kuimba mapambio ya kusifia watawala. Kama mnataka CHAMA kimoja ili mtawale milele fanyeni hivyo kwa kupiga Marufuku kupitiia Bunge.
  2. S

    Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

    What a useless argument. Katika nchi hii wenye silaha na instruments of power ni Amina nani? Ni nani ambaye hataki kukosolewa hata pale ambapo amekosea?
  3. S

    Naibu Spika, Dkt. Tulia naona analitafuta jimbo la Mbeya Mjini

    Mkuu, umetoa utabiri ulio sahihi kabisa. Kwa siasa za kimafia wako tayari kumpitisha kibaraka wao ili azidi kulivuruga na kulikata makucha Bunge la Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.
  4. S

    Honestly,nimesikitishwa sana kwa Uongozi wa Bunge 'kutoiamini' CHADEMA

    Ukweli ni kwamba Ndugai na Serikali hawakutaka kabisa TL ahudumiwe na pesa za serikali ingawa ni halali yake kama Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. This is double standard of the highest order. Mola awape moyo wa kuthamini uhai wa mtu.
  5. S

    Peter Msigwa: Spika Ndugai ona aibu, gharama za ndege ya kumleta Lissu Nairobi imelipwa na CHADEMA

    TL get well soon. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Naionea huruma sana CHADEMA

    Usiongee na kutoa hitimisho bila ya tafiti ya kisayansi. Mwambieni mtawala aruhusu mikutano ya CDM baadae rudi uje usimlie vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Juliana Shonza(Mb) anusurika Kipigo. Baadhi ya Wabunge wa Upinzani watiwa mbaroni

    Siasa za Maji taka ndizo hizi. Unafurahia nini Mbunge wa jimbo kama la Kawe asimamishwe mwaka mzima?
  8. S

    Sifa za makabila mbalimbali hapa Tanzania

    Vipi Wasukuma Wa Igunga, Mpanda na Mbeya?
  9. S

    Sakata la kupotea kwa Ben Saanane

    Upotoshaji mwingine ni kama huu. Daima kumbuka kuwa "if you don't have source of investigation you have absolutely no right to speak".
  10. S

    Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

    Hilo lilikuwa swali la kinabii. Kusema ni rahisi zaidi kuliko maneno.
  11. S

    Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Wivu mwingine hauna maana kabisa. Unafikiri Kwa nini wapiga kura wake wamekuwa wakimchagua kwa kura nyingi kiasi hicho? Fikiria tena!
  12. S

    Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Ingelikuwa kama KANU ya Kenya au UNIP kule Zambia.
  13. S

    Arusha: Lissu ang'ara, asanteni Waziri Mwakyembe na Serikali nzima

    Kazi nzuri kwa mawakili kwa kuonyesha njia kwamba watawala wote wafuate sheria haha kama hawazipendi.
  14. S

    Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Hongera Jembe la kupigania utawala wa sheria.
  15. S

    Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze

    Hapo ume-overgeneralize Mwana JF.
  16. S

    Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze

    Hapo ume-overgeneralize kabisa.
  17. S

    Hivi Rais wetu Magufuli huwa anataka tumwombee nini kwa Mwenyezi Mungu?

    Kisasi si kizuri. Adui yako muombee Neema na afya Tele.
  18. S

    Wafugaji 50 waliopotea kwenye Pori la Akiba la Selous wapatikana wakiwa hai

    Hii over-generalisation. Kwanza ni vizuri kujua nini chimbuko la safari ya mifugo hiyo kutoka Lindi kwenda Morogoro. Pili, jifunze umuhimu wa mifugo hususani ng'ombe katika Jamii za kifugaji kama Wasukuma, Wamasai nk. Usipojua hilo basi uchambuzi wako utakuwa na walakini.
Back
Top Bottom