Search results

  1. Mundana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ni Suala La Muda Tuu Kaka. Tujipe Moyo Na Ujasiri Kila Kitu Kinawezekana.
  2. Mundana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Amini Kwamba Kaka Ni Suala La Muda Tuu.. Humu Ndani Wengi Wetu Tutatoboa Tuu..
  3. Mundana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kweli Kabisaaa Mkuu Upo Sahihi Sanaa Hata Sisi Maafande Walituambia Tumezingua Sanaa Ilitakiwa Tuwe Wapole wotee tungepiga pepa moja la oral na written Mambo ya forensic bureau kwenye kusahihisha kule wangetubeba Tuuu Lkn ndo hivyo watu ubishi mwingi na ujuaji mpaka wakaamua kututenganisha.
  4. Mundana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Yaaah Ndio Mkuu Nimeomba Tena Aisee.. Mungu Ni Mwema Safari Hii Tutapata Tuu Amini Kwamba.
  5. Mundana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Shukrani Sana Mkuu. Tupo Hapa Kupeana Elimu
  6. Mundana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sasa Kujua Kama Umekatwa kibangala au lah ni Ngumu Sana kwasababu kila Hatua unayopita wanarekodi Taarifa Zako kwenye karatasi Zao. Nadhani Baadae sasa Ndo wanafanya analysis kwahiyo kotee hukoo inatakiwa Ufanye Vizuri I mean ukizi vigezo vyao, Kama pdf Imetoka na jina lako hujaliona means kuna...
  7. Mundana

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mimi nitatoa Tu General Experience na pia nitagusia Kada ya IT kwasababu Mimi pia ni IT. Mwaka Juzi nilishiriki Usahili Hapo Barracks Kurasini, I mean intake waliomaliza hivi Karibuni CCP Moshi tulikuwa nao kwenye Usahili. Kwa Idadi Degree Wotee Tulikuwa Kama 600+ hivi Ila upande wa IT kama...
  8. Mundana

    Possible za usahili msimamizi wa TEHAMA

    Na Mimi ni kama Wewe Tu Bado Lakini Kuna Wadau Niliwacheck ambao tayari wamefanyiwa usahili wanasema Kuwa ni maswali ya Kawaida Sana Mfano Difference between data and information Describe the concept of CPU Define Cache Explain four functions of operating system Yan Kwa kifupi wewe komaa na...
  9. Mundana

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mkuu unazungumzia ilala ipi? Au hayo majina yatakuwa ni ya Kata Yenu Tu Ilala majina ya wilaya nzima ni 18865.
  10. Mundana

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hiyo inawezekana kabisa Mkuu Kama Hawa wa Ngazi ya mkoa posho Yao ni 150,000/day. Posho ya 80,000/day Kwa makarani sio mbaya Sana ni reasonable price.
  11. Mundana

    Anahitajika mwalimu wa MS office suit Mwanza

    Nipo Hapa Mkuu. Package Yote Ya Microsoft office suite Niko vizuri.
  12. Mundana

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Hiyo Ni nadharia Mkuu Wala usiwe na presha. NBS hawawezi na hawana muda wa kuhakiki kuwa huyu MTU ni mkazi wa Kata husika Kwa Namna yoyote ile hasa ukizingatia muda umeenda Sana. Na ndo maaana ili Zoezi la uhakiki linafanywa Kwa kiasi kikubwa na Watendaji wao ndo kila Kitu. NBS wao uhakiki wao...
  13. Mundana

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mkuu Hiyo Copy Haina Ishu Sanaa. Labda Kama Mtendaji Ataamua kukaza, na inaweza ikawa ndo Sababu ya kupunguza Watu kwenye Usahili Lakini kama Mtendaji upo nae Vizuri hakuna Tatizo kikubwa jina lako lirudi katani na Mtendaji kula nae sahani moja Basi.
  14. Mundana

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mkuu ni Hela ndogo Sana Hiyo hawawezi kutoa hiyo pesa. Yan wakifanya Hivyo tutakuwa tumepigwa Sanaa. Yan Hapo Hamna Hamna Haiwezi Kupungua 1M kuanzia mafunzo mpaka Zoezi la Sensa.
  15. Mundana

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ndo hivyo Mkuu. Sasa Ungejua Ngazi Ya Taifa Wamepewa bei gani, hii ya ngazi ya mkoa ni cha mtoto Sanaa. Mkuu Watu Wamekula Pesa Acha Kabisa Yan.
  16. Mundana

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kata Moja Inategemea Sasa Na Ukubwa wa Kata na Mahitaji ya Kata na hapo ni hasa Kwa makarani. Lakini Kwa wasimamizi wa Sensa kimsingi Kata Moja inakuwa na wasimamizi wawili I mean wa maudhui na tehama Ila kama inatokea labda kwenye wilaya INA Kata nyingii kuliko idadi ya wasimamizi itabidi Kata...
  17. Mundana

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ni Ukwel Mkuu. Serikali Safari Hii Imejipanga Sana, haitaki kufanya makosa. Bajeti ya mwaka wa fedha uliopita ilikuwa 600+ bilioni. Na nimesikia wanataka kuiongezea kidogo kwenye bajeti ya mwaka huu wa fedha ili Zoezi liende kama walivyopanga. Natumaini wasimamizi wa Sensa na makarani posho...
  18. Mundana

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    NBS baada ya kuchambua majina ya watu walioomba watawarudishia Kata ili waweze kuendesha Usahili Kwa kuwa NBS wao hawawezi kuwajua watu wa kwenye hiyo Kata I mean walioomba. Watakaofanyiwa Usahili ni wale ambao walioomba kufanya Kazi kwenye Kata husika wakatuma Maombi Yao NBS, wakayachambua na...
  19. Mundana

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ndio hivyoo Mkuu.. Hiyo Ndo Taarifa Rasmi kutoka NBS. Tutegemee ndani ya wiki tatu zijazo majina kutoka, usahili ufanyike na watakaofanikiwa kupita kwenye Usahili wataanza mafunzo Yao ndani ya siku 21. Ngazi ya mkoa wameanza Leo wanapewa hela Nzuri Sana 150k per day almost 3.1M mpaka mafunzo...
Back
Top Bottom