Search results

  1. Akilimali22

    Tatizo la mtandao Kariakoo

    Kampuni za simu nazitaja kwa majina Voda, Tigo, Airtel na wengine mna tatizo la mtandao maeneo ya kariakoo kipande cha barabara ya uhuru mpaka mtaa wa mafia ukizunguka huku mpaka barabara ya msimbazi.. Hoja yangu ni kwamba, wafanyabiashara wengi wanategemea simu,na hasa ss hvi biashara...
  2. Akilimali22

    TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

    Hasa kule kigamboni lori zinakimbia sana na ile njia ya kongowe kuelekea kigamboni ni hatari sana malori yanaenda hovyo sana
  3. Akilimali22

    TAA DARAJA LA NYERERE/KIGAMBONI

    Kuna ubaya gani mkituwashia zile taa za rangi pale kwenye daraja la Nyerere /kigamboni... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Akilimali22

    Kwanini Polisi wabebe maiti?

    kabisa tuko pamoja Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Akilimali22

    Kwanini Polisi wabebe maiti?

    Ikiwa tuna Hospitali za mikoa na rufaa na magari ya hospital yapo kwanini Polisi wabebe maiti? Utakuta kuna matukio mengi tu yanatokea ikiwa mauaji, ajali au maiti zilizotelekezwa njiani na majumbani kwanza wataitwa Polisi. Kwanini Polisi nao wasi link na hospital waje pamoja? Sababu: Polisi...
  6. Akilimali22

    Kwa Nini coca cola na fanta za Kenya Zina radha nzuri kuliko za Tanzania?

    Ulivoandika tu radha nikajua uwezo wako uko wapi...
  7. Akilimali22

    Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

    Na ww fanya kwnye simu yako vyoteeee ulivoviona alafu iweke hyo simu aje ashike
  8. Akilimali22

    Najuta kuoa

    Inaonekana huna kitu
  9. Akilimali22

    Wanaume wengi ni mabubu kitandani mjiongeze

    Wewe unaetaka kelele njoo
  10. Akilimali22

    Msaada wa kudownload tamthilia ya Kituruki

    Ukishindwa hapo mkuu bas ni janga lako mwenyewe...
  11. Akilimali22

    East Afica Got Talent Majaji ni wa kwetu?

    Naomba uliza East Africa Got Talent inakuja hv majaji ndo hawa akina Salama Jabir ,Rita Paulsen,Masoud Masoud,Mastet J au Mana isije ikawa mambo ya Bongo Star search mshriki kutupiwa neno lolote baya la maudh...
  12. Akilimali22

    Iwekwe sheria mpya kupima HIV ni lazima na sio hiyari ili kuinusuru jamii yetu

    Yuko mganga mmoja buguruni full checkup buku 20 tu,matatiz yako yote utayajua kwa dk 10 tu..
  13. Akilimali22

    Iwekwe sheria mpya kupima HIV ni lazima na sio hiyari ili kuinusuru jamii yetu

    Kwa mfano ukishapima ikajulikana ndo nn kitafata
Back
Top Bottom