Search results

  1. webroyalz

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    They are destroying air defenses first then the attack will follow
  2. webroyalz

    Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Inaweza ikawa Israeli imekosea au ni moja ya mpango wake mkubwa ambao nyuma ya pazia unasapotiwa na USA. Israeli inataka Gaza usiwe na jeshi, pia wanaamini Judea na Samaria(West Bank) ni haki yao. Iran inatengeneza nuclea na kama ilivyokua Syria na Iraq marekani haikufanya ki2 zaid ya kuongea...
  3. webroyalz

    Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Hujaelewa kitu, hii ni pitch yake, wewe unaweka kumake your offer na yeye akaangalia kwa upande wake mkakubalina...nadhani ameacha room for direct contact...sio poa kuanza kushambulia tu akati unajua haiwezekani kuandika kila kitu kwenye post moja, go inbox. All in all best pitch ever...
  4. webroyalz

    Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Best pitch[emoji115]. Kila kitu kitabadilika kwenye career yako maana unajua jinsi ya kufanya pitch. Keep up...Mungu akijalia mwezi wa 7 nitakua DM yako tuyajenge
  5. webroyalz

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Mwenye amri ya mwisho ya kumruhusu mgonjwa ni daktari hata raisi hana mamlaka hayo, angeruhusiwa kwa amri ya CDF leo ingesemekana yeye ndio alimtoa kwenye matibabu ili afe. Nchi nyingine usalama wa Taifa ndio panga safari za raisi na raisi hana amri, wakimwambia hamna kutoka nje wiki raisi...
  6. webroyalz

    Biashara ya kutengeneza na kuuza, ndio itakayo timiza ndoto zako

    Nasoma watu wanasema ujasiriamali unahitaji mtaji mkubwa ambacho sio sahihi hata kidgo. Ili ufanikiwe inatakiwa uweke pesa ndogo sana ukiona response ya soko ni nzuri ndio unaongeza...tolea mfano labda mikate, tengeneza mkate mmoja kwaa kutumia sufiria, fanya mbwembwe zako uwe tofauti na ubora...
  7. webroyalz

    Ukiambiwa uchague kimoja kati ya hizi project za Kilimo utachagua ipi? na why?

    Nikitaka m25 natakiwa niwe na nguruwe 100 ambao nimewatunza kwa miez 8, gharama ya matunzo?
  8. webroyalz

    Jinsi ya kupata Agent wa kusafirisha bidhaa Kutoka Alibaba

    Wanauwezo wa kupokea kontena ngapi?
  9. webroyalz

    Inauma sana na haivumiliki

    Wewe mchango wako kwenye mafanikio yake ni upi hasa? Unajua mara nyingi sana unaweza ukafikiria una mchango kwa mtu lakin sio kweli ni imagination zako na simtetei huyo mwanaume labda ni mtu mmbaya kweli ila most likely hajafanikiwa because of you inawezekana amefanikiwa inspite of you...
  10. webroyalz

    Mke akizaa nje ya ndoa na akakiri usimfukuze, chunguza sababu na uikabili

    Usiwe kuku wewe, ipo siku utashikwa tako na msela alafu utamwambia endelea ili nijue kama umevuta bange au ni akil zako
  11. webroyalz

    Usiogope unaweza kujenga na kumiliki kituo cha kujaza mafuta ya vyombo vya moto vijijini cha gharama nafuu

    Yeah, ni kama biashara ya real estate, ukiwa na biashara ya sheli au mafuta unakua na dhamana kubwa sana. Unaweza ukaanzisha sheli ukachukua mkopo mkubwa ambao unaweza kujenga sheli zingine na dhamana inabak kuwa ile sheli
  12. webroyalz

    Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

    Ukristo sio dini ya kizungu kaka, Imetokea masharikj ya kati kama wewe ni muislam unajua hilo na kama wewe ni mwana historia utajua Ukristo Umeingia Ethopia Afrika kabla ya kuingia kwa mzungu. Ninaamini ndugu zangu wengi wa kiislamu wameanza kupotoshwa kuhusu Ukristo ni nini na historia yake na...
  13. webroyalz

    Safari ya mafanikio inaanzia hapa

    Habari, vitu unatakavyofundisha ni vitu vinavyoweza kusaidia sana vijana kupata pesa ila, Kwanza naamini hapo umefanya content marketing kwa lengo la kutangaza kozi utakayotoa na hiyo kozi inaweza ikawa ina uwezo wa kukupa pesa zaidi ya hicho unachokifundisha kinavyokulipa ukikifanya, hiyo sio...
  14. webroyalz

    Jinsi ya kupata wateja mtandaoni

    Habari, yeah unaweza ukaalipia kutangaza online ila inabidi niwe mkweli kwako, kama bidhaa unayoiuza ukiiweka barabarani hakuna mtu anatekuja kuulizia hata mtandaoni itakua hvyo hvyo... Angalia kwanza bidhaa unayouza, bei, muonekano na wengine wanaouza wanafanyaje...baada ya hapo ukiona ni...
  15. webroyalz

    Ishi kulingana na kipato chako

    Ni kweli kaka unachosema kwa sababu kuna watu wanatumia pesa hovyo inayosababisha wanaingia kwenye matatizo. Napishana kidogo na wewe kwenye ishu ya saving kwa baadhi ya watu fulani na ninakubaliana na wewe kwa baadhi ya watu. Naamini zaidi kwenye kuinvest. Kuinvest nayo ni risk lakin ukiwa...
  16. webroyalz

    Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Inategemea sana na investment unayofanya, kama unafuga kuku, au unalima au duka la nguo, vipodozi nk, ninaweza kukuelewa kama utafanya biashara kabla ya ndinga. Kama wewe ni hustler mwanasheria, au Software Engineer sijui IT baada ya kuzunguka sana na project zako utakuja kugundua waTz...
  17. webroyalz

    Israel yafanya mambo ya aibu na uwendawazimu.Yatengwa na mataifa karibu yote duniani

    Acha kusoma sana propaganda, au ukiwa unasoma soma pia na upande wa pili wa hoja ndo utoe maamuzi...Israel itamaliza vita muda imejiridhisha, na nchi zote zitatengeneza mahusiano nao...hiyo ndio given
  18. webroyalz

    Biashara ya kuuza unga wa mahindi uliosagwa kutoka mikoani na kuleta Dar

    Umesema nini hapo, mtu anaomba fanya utafit unamwambia fanya utafiti zaidi, why?
  19. webroyalz

    Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    Ww shida yako nn, toa ushauri kama huna tuliza
Back
Top Bottom