Hayo ni mambo madogo tu yani wewe huwezi nyoosha nguo zako?
Kuhusu breakfast ulimpa pesa ya maandalizi ili akuandale?
Mkuu mpende mkeo,endeleeni na maisha hata wewe unaweza fanya
Jiulize kwanza hapo mwanzo ulikuw unampigia simu Mara kwa Mara,Dada hivi upigi simu.
Huna hisia nae tena,hujisikii kummiss mwenza wako.
Mawasiliano hafifu
Chuki mda wote
Asante kwa ushauri
Siku zote miie huwa mke kwa mume,tamaa tu INAUMA SANA
Fikiri tu kidogo mie ndio ningechit na mume wa Dada ake ingekuwaje?
YANI HILI SIJUI NILIMALIZE VIPI
O
Hicho ndio kinachoniumiza,angekuwa in MTU was huko kazini kwake wala nisinge teseka hivi,kinachi nipa shida no WiFi yaaani make wangu Dada wangu kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.