Search results

  1. E

    UTU wa Taifa

    watanzania ndo tulichobakiza kazi ni kulaumiana tu
  2. E

    Nape atasafisha chama alichokuwa anakichafua?

    hujui hata maana ya ufisadi,yawezekana hata wewe ni fisadi,unaujua mshahara wa raisi?
  3. E

    Mashine za VAT bei yake halis hii hapa.Ni ufisadi mtupu TRA imetufanyia watanzania

    jamani washitaki tra kupitia web hii:www.wananchi.go.tz
  4. E

    Bungeni Live: Waziri Mkuu ajibu maswali ya papo kwa papo!

    nyie kama munauwezo onyesheni na nyie
  5. E

    Mabomu ya Machozi yatumika kuwasambazi wananchi pamoja na Wanafunzi Mjini Dodoma

    hamna mwana jf ambaye yumo ndani atujulishe kinachoendelea?
  6. E

    KATIBA: Karimjee & Msekwa Halls kuwa mijadala Aprili 8

    kichwa cha panz visit here.KILA MWANANCHI AWEZE KUTUMA MAONI YAKE...
  7. E

    CCM Tupeni Katiba Mpya Kuzingatia Matakwa Wananchi au Mtupishe Njia April 08, 2011

    utume huu ujumbe kwenye web ya serikali:KILA MWANANCHI AWEZE KUTUMA MAONI YAKE...
  8. E

    Mkutano wa makamu wa rais Geita aibu tupu

    washauri kupitia tovuti hii sio kulaaumu tu kila kitu,KILA MWANANCHI AWEZE KUTUMA MAONI YAKE...
  9. E

    Muheshimiwa Lema Atoa CD kuhusiana na Vurugu Na Vifo Arusha

    naye mpuuzi tu ameona ndo sehemu ya kutafutia sifa kwenye vifo vya watu.kweli chadema inafanya siasa za maji taka huwezi kujitafutia kwenye mauaji kama hayo,watu wanahuzunikawamepoteza ndugu zao wewe unatengeneza cd,wawaone tena wanapigwa sisasi si wataanza upya kilio.
  10. E

    Rwanda Demokrasia imekuwa kuliko Tanzania!

    hujui demokrasia uchaguzi wa rwanda uliuona wewe? Wapinzani waliambiwa wameungana makundi ya wapiganaji yaliyoko kongo, wapinzani waligaili uchaguzi. Kagame alifanya uchaguzi kama kawaida na alikuwa peke yake,mmoja aliyekuwa anakubalika kama slaa aliwekwa rumande mpaka sasa hivi yuko ndani je...
  11. E

    Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

    mtoa mada na wachangiaji wote zero,mnaifanya jf kama gazeti la udaku,kazi ni kusifia ya watu tu nyie mumefanya kitu gani cha maana? Wewe unataka ccm wasiandamane unamanisha katiba inamuruhusu cdm tu kuandamana? Au hujui kuandamana ni haki ya kiraia.yaani we unataka nchi ya kulipiza visasi? Kweli...
  12. E

    Tanzania inajengwa na wazalendo

    nataka wazalendo tuijenge nchi yetu tunaotakia mema, watanzania wengi wamekuwa wakitaka mpaka tanzania ife ndo wajenge. Naomba wazalendo tujenge nchi kwa kutoa ushauri unaojenga nchi kwa huduma bora na salama.visit here. www.wananchi.co.tz
  13. E

    muundo wa serikali kwenye katiba mpya

    vizuri sana
  14. E

    muundo wa serikali kwenye katiba mpya

    kwa njisi ilivyo binafisi nilipendelea serikali ya umoja wa kitaifa ambayo: chama kitakacho pata wabunge wengi kinaunda baraza la mawaziri,waziri mkuu atoke kwenye chama cha kikuu cha upinzani ili asimamie kwa ufasaha baraza la maziri, kuwe na mkuu wa mkoa lakini asiwepo mkulugenzi wa...
  15. E

    Mbarali Kwafukuta

    jf imekuwa sehemu ya kuandikia udaku
  16. E

    Nani anasapoti maandamano?

    kumekuwa na ongezeko la watu wanaona suport maandamano inchini. Binafisi sijui kama maandanamo wanayofikiri yakoje. Cjui wanamanisha maandamano kama ya libya? Nijuovyo maandamano ni mapinduzi ya uongozi.je ni sawa kuwa na mapiduzi ya namna hiyo sasa? Je hayo maandamano hayawezi kutuludisha...
  17. E

    Tarehe ya maandamano ya Tanzania nzima

    msione kirahisi namna hiyo. Maandamano ni kitu kingine kabisa. Kwa sababu mtakuwa mmejunja katiba ya inchi kwahiyo mkiona wanajeshi wanawafyatulia risasi muone kawaida. Kuigeza inchi tz kuwa kama somalia,kwa sababu mnaweza kuongeza shida zaidi ya tulizonazo,tuanze maandamano halafu gala la...
Back
Top Bottom