Search results

  1. M

    This Sunday LIVE on Star TV

    Yahaya, Msijaribu kuwa neutral bali mnalazimika kuwa neutral no matter nyinyi ni wapenzi wa chama gani kwa muda mrefu mmekuwa mkijiharibia mbele ya macho ya watanzania kwa mfano wakati mko karibu na ILEMELA Mlishindwa kabisa kuonyesha hatua kwa hatua zoezi la uchaguzi lilivyokuwa linaendelea...
  2. M

    Natafuta video camera-mtumba

    Wapwa zangu wa zanzibar na mahali pengine tz mimi mjomba wenu natafuta video camera mtumba aina ya sonny 3ccd pd170 pamoja na accessories zake.natanguliza shukrani!
  3. M

    Natafuta video camera-mtumba

    Wapwa zangu zanzibar na mahali pengine mnaouza vitu ambavyo ni used nahitaji video camera aina ya sony 3ccd pd170 natanguliza shukrani!
  4. M

    Elections 2010 CCM yatoa tamko kuhusu kitendo cha wabunge wa CHADEMA

    Waache wajipendekeze ndipo watapoona nguvu ya wananchi iko wapi.
  5. M

    Elections 2010 Mapendekezo kwa CCM kufuatia "the Walkout"...

    Baniani mbaya kiatu chake dawa.
  6. M

    Chadema mwendo mdundo!

    Good advice!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. M

    CCM kutoa tamko kuhusu wabunge wa Chadema

    chiligati ni nani ndani ya bunge. bunge linaongozwa na kanuni za bunge na sio kanuni za ccm chadema hawajavunja kanuni za bunge wala katiba ya JMT
  8. M

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    lini uliwahi kuwa mwanachama wa chadema?
  9. M

    Manji aanzisha QUALITY MEDIA GROUP na kumchukua MUHINGO kuendesha!

    Manji amechelewa labda arudishe mishale ya saa nyuma mpaka mwa 47 kwa watanzania wale ndio wangempokea!
  10. M

    Daily News na Habari Leo waendelea kuchakachua habari.....

    Akina kingoba na mhariri wao walisha acha kanuni za habari tangu enzi zile walipoamua kudhalilisha miili yao(habari) na roho zao (maadili) kwa ajili tu ya vijisenti.wana jamvi njaa mbaya.tuyasusie magazeti yao
  11. M

    The New Dr Shein's Cabinet

    Zanzibar tupeni mchanganuo wa majina na wizara na vyama wanavyotoka waheshimiwa!
  12. M

    Elections 2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    Mtembezi katika tembea tembea yangu kama ilvyo ada nimefanikiwa kunusa KIGOGO mmoja aliyekaribu na IKULU anadai jina la waziri mkuu mpya ni SHAMSI VUAI NAHODHA wana jamvi mpo?
  13. M

    Mdahalo wa Hamad Rashid na Freeman Mbowe Tarehe 20November, 2010

    NANI ATAFANYA MDAHALO WAKATI CUF WAMEFUNGA NDOA NA CCM UNATEGEMEA KITU GANI? CHADEMA WALIKUWA NA HAKI YA KUTOWASHIKISHA CUF KWENYE KAMBI YA UPIZANI. :peace::peace::peace::peace::peace::peace::peace:
  14. M

    Elections 2010 Nani akipewa Uwaziri, Utashangaa, utasikitika au utafurahia?

    yeyote akipewa uwaziri katika nafasi yoyote kwanza sitashangaa pili sitafurahi bali naweza kusikitika tu kuwa nchi inazidi kutokomea kunakojulikana kwenye maafa sababu kuu ni kuwa utendaji wa wa baraza la mawaziri unafahamika ni mafia style/system hakuna anayeruhusiwa kutoka nje ya...
  15. M

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    At last,ukombozi unakaribia! Bravo wa ndima.
  16. M

    Kwa hili Jenerali Uimwengu umewaacha mashabiki wako njia panda

    Nikiri mapema kuwa mimi binafsi ni shabiki wa jenerali ulimwengu.Ulimwengu ni role model wangu.Ile makala katika gazeti la RAIA MWEMA ni kweli iliwahi kutolewa mara tu baada ya JK kupata "ridhaa" ya kutawala.hapa niseme mambo mawili ambayo huenda yakasaidia kumwelewa jenerali Mosi,Nikuwa...
  17. M

    Mapinduzi ya ufarasa yahamia bongo.

    Ni vituko vilivyojitokeza katika moja ya vituo vya kupigia kura eneo la kituo cha fire, eneo lililozungukwa na kambi ya polisi dr. Slaa alishinda kwa 80%. Na wengine waliopangiwa kusimamia vituo vya uchaguzi wakisononeshwa na ushindi wa jk. Hii inadhilishwa na mapinduzi ya ufaransa ambayo...
  18. M

    Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

    Jamani wadau wa jf msiwe wepesi kusahau , kuanguka kwa jimbo la nyamagana hiyo ina maana kuanguka kwa injinia wa dili kubwa kuliko zote ambalo lingempatia jk na masha pesa kubwa ambayo hawajawahi kupata katika dili zote walizowahi kupiga nayo ni dili ya vitambulisho vya taifa ambayo masha...
  19. M

    Elections 2010 Huku nako..........

    Jamani huku bara nako ccm watataka serikali ya mseto.hawataki kukubali defeat!
  20. M

    Elections 2010 Kikwete na maiti ya ccm

    Kiburi na majigambo havijawasaidia,wadau waliwaonya sana masikio pamba waliyatia wakawatuhumu wapinzani sasa wao na jeshi lao ndio wanapalilia vita.wana jf tujadili hili je ccm inafia mikononi mwa kikwete?
Back
Top Bottom