Search results

  1. Kimagege

    Tuwe macho; mfuko uitwao "ukwasi" una tofauti na deci?

    Nimeona wakiutangaza huu mfuko katika kituo cha ITV na wanadai kuwa unapata mahela mengi fasta ndani ya kipindi kifupi sana. Binafsi sioni tofauti yake na deci iliyowatapeli watu na kutokomea kusikojulikana huku kesi iliyofunguliwa pale Kisutu ikiwa imetoweka kiaina. Kwa wanaofahamu zaidi...
  2. Kimagege

    Sakata la maji: Serikali ya JK yafuata kwa Mnyika

    hii ni baada ya kuchachafya kwa kasi na mbunge Mnyika kule bungeni.sasa JK anasema wataruhusu sekta binafsi kuwekeza kwenye sekta ya maji.
  3. Kimagege

    Swali; hivi kesi ya "mtesaji" wa ulimboka nayo ni ya kigaidi?kama sio kwanini?

    naomba tafadhali mwenye taarifa sahihi kuhus kesi inayomkabili yule kijana wa kikenya aitwaye joshua atueleze kama kesi yake nayio ni ya kigaidi kama hii inayomkabili nlwakatare.
  4. Kimagege

    Tume ya katiba yawahujumu wakatoliki;kura za kuchagua wajumbe wa mabaraza ya katiba wilaya kupigwa

    ni bahati mbaya lakini imeshatokea kuwa tume ya katiba kwa kujua au kutojua inawahujumu wakatoliki kwa kuweka siku z kupigia kura ya kuwateua wajumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya katika siku ambazo wakristo hususani wakatoliki huudhuria ibada za awali kuelekea pasaka yaani alhamisi kuu(karamu...
  5. Kimagege

    Matokeo ya mechi ya azam huko liberia tafadhali

    Mwenye acces na matokeo atujuze pliiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzz
  6. Kimagege

    Polisi, video ya Sheikh Ilunga na ya Lwakatare ipi inajieleza? Sheikh Ilunga yuko wapi?

    Nashindwa kuelewa weledi wa jeshi letu la polisi pale waliponyamaza kimya bila kumchukulia hatua yeyote sheikh Ilunga baada ya kutoa video yenye kujaa chuki na uchochezi wa wazi dhidi ya wakatoliki. Katika video ile sheikh Ilunga bila kumumunya maneno aliwataka waislamu kuwaua wakristo hasa...
  7. Kimagege

    Sakata la kuteswa Kibanda, Waziri Membe atajwa!

    Kwa mujibu wa afisa mtendaji mkuu wa New Habari ambao ndio waajiri wa Kibanda ndugu Hussein Bashe, yupo mwanasiasa aliyetangaza vita ya wazi na waandishi wa habari kwa kuwa eti ni kikwazo kwa mipango yake ya kuwania urais 2015. Bashe hakumtaja huyo mwanasiasa ila naamini kati ya wana jamvi wote...
  8. Kimagege

    Yametimia: Juliana Shonza hana jipya na Mwampamba ndo anamalizia...

    Ilitabiriwa na wengi kuwa baada ya kelele na matusi ya muda mfupi dhidi ya viongozi wakuu wa CHADEMA taifa vijana wasaliti jJiana Shonza na mMtela Mwampamba watatulia tulii kwa kukosa hoja yoyote ya maana ya kuwaeleza watanzania waiochoka propaganda. Leo hii sote tuu mashahidi wa hili ambapo...
  9. Kimagege

    Hivi Nakaaya Sumari yupo CCM au yupo wapi?

    huyu ni yule binti aliyeimba nyimbo inaitwa mr politician na baada ya hapo akahamia cdm.muda haukupita sijui alipewa nini na nani kidogo tukasikia akihamia ccm wakati huko cdm walishamwandalia ubunge wa viti maalumu ili kuleta mwamko wa vijana kushiriki siasa ndani ya cdm.ni bahati mbaya kuwa...
  10. Kimagege

    Dr.Ulimboka kasalimu amri kwa wabaya wake?

    Ni muda sasa umepita tangu Dr. Ulimboka aliporejea tena nchini akitokea katika matibabu na kupokelewa kifalmwe na madaktari wenzie.Katika vitu ambavyo watanzania na madaktari wenzie walitarajia kusikia kutoka kwake ni juu ya wale waliomteka na kumtesa kwani alidai mwenyewe kuwa anawajua na...
  11. Kimagege

    Swali; CCM watamsimamisha nani ubunge Sumbawanga mjini?

    Ni wazi kuwa hakuna jinsi nyingine isipokuwa kwenda kwenye uchaguzi mdogo ili wanachi wa sumbawanga mjini waweze kupata mwakilisshi bungeni kwa kipindi kilichobaki kabnla ya 2015.ni wazi zaidi kuwa hakuna nanma nyingine yeyote ya kisheria ya kuahirisha suala hili kwa muda achilia mbali...
  12. Kimagege

    Tume ya uchaguzi watatangaza lini uchaguzi mdogo Sumbawanga Mjini?

    Muda umepita sasa tangu jimbo la sumbawanga kuwa wazi baada ya mbunge aliyekuwepo kuenguiliwa na mahakama kwa madai ya kukiuka taratibu na kanuni za uchaguzi.tulitegemea ccm wangekata rufaa lakini rufaa yao ilitupwa na mahakam ya rufaa jambo linaloashria kuwa uchaguzi mdogo ni lazima uitishwe,ni...
  13. Kimagege

    Swali;vyama vya CCK,CHAUMA na ADC vimeishia wapi?

    Tangu kuanzishwa kwa vyamna hivi sijawahi kuona kipi hasa wanachokifanya kama harakati za kisiasa zaidi ya kusikia viongozi wanatimuana na kugawiana madaraka kama njugu.kama kuna mwenye taarifa sdahihi kuhusu vyama hivi tafadhali atujuze kwasababu hivi vyama vya mifukoni huibukaga kwenye chaguzi...
  14. Kimagege

    Kwanini Kikwete hakuingia Kigoma Kaskazini 2010 kuomba kura za urais?

    Ni jambo la kushangaza kidogo nilipoona kuwa kikwete alizunguka nchi nzima na hata mkoa wa kigoma lakini hakuingia jimbo la kigoma kaskazini kufanya kampeni za kuomba kura na kuwanadi wagombea wengine wa ccm jimboni hmio.kikwete aliingia karatu mara mbili huku akijua kuwa hawezi kuambulia kitu...
  15. Kimagege

    Swali;maandamano ya waislamu yameishia wapi?

    Jana palisambazwa vipeperushi vingi vikiwahimiza waislamu katika mikoa kadhaa kujitokeza kuandamana leo ili kushinikiza sheikh ponda apewe dhamana.viongozi wa serikali waliyapiga marufuku na kuyalaani vikali huku uongozi wa jumuiya za kiislamu ukisisitiza kuwa yapo palepale sasa sijui...
  16. Kimagege

    Swali;shibuda yupo wapi?

    Kwa muda sasa simsikii tena yule mbunge wa chadema anayependa sana kuropoka hovyo.kwa anayejua alipo mtu huyu na anafanya harakati gani basi atujuze.
  17. Kimagege

    Swali;kesi ya mkenya aliyejisalimisha kanisani kuwa alimtesa dr. Ulimboka imeishia wapi?

    wanajamvi naomba anayefahamu mwenendo wa kesi ya yule mkenya joshua gitui aliyejisalimisha kanisani akikiri mwenyewe kumteka na kumtesa dr ulimboka atujuze tafadhali.
Back
Top Bottom