Search results

  1. D

    Natafuta wa kubadilishana maeneo ya kazi

    Anatafuta wa kubadilishana Ni mwalimu wa shule ya msingi... Nipo Wilaya ya Temeke.... Natafuta mtu wa kubadilishana maeneo ya kazi... Nahitaji kuhamia Wilaya ya Kinondoni. Wasiliana na namba hii 0718043983
  2. D

    WAMEZOEA KUHARIBU BAADAE WAOMBE MSAMAHA

    Chama kinachofanya siasa za kibaguzi, hakifai kuongoza wananchi... HAKUNA CHOTARA HAKUNA MWAAFRIKA WOTE WAZANZIBARI
  3. D

    Tanzania kuna Demokrasia

    Kama NDIO tetea jibu lako Kama HAPANA tetea jibu lako
  4. D

    Serikali yaamuru waliovamia shamba la Sumaye waondoke

    Wamejitekenya wenyewe Wamecheka wenyewe Waliovamia shamba la Sumaye waondolewa =================== Chanzo: Mwananchi
  5. D

    Ni mwendo wa visasi tu

    Tutakumbuka mengi...
  6. D

    Mama Regina Lowassa

    Mwanamke mwenye mvuto, anayejiamini Mtetezi na msemaji wa Wanawake Mtetezi wa Walalahoi Anayekubalika kila kona
  7. D

    Hata kama Fisadi, tutamchagua!!!

    Sisi ndio wananchi na sisi ndio wapiga kura. Ubabe, Vijembe, Matusi haisaidii. Sisi tumemkubali. Alete maendeleo, hasilete, tutamchagua tu. Tumechoka!!! Miaka miwili kafanya makubwa kuliko miaka 50. Ni dalili njema kwa wataka mabadiliko. Anaweza!! Serikali imara kama kiongozi Fisadi...
  8. D

    Elections 2015 Tundu Lissu: Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa CHADEMA na UKAWA

    Edward Lowassa anajiunga na CHADEMA na atakuwa mgombea urais wa CHADEMA na wa UKAWA. Lowassa is perhaps the most controversial and divisive political figure in the country right now. Na amekuwa hivyo kwa muda mrefu. Sisi CHADEMA tulimweka kwenye Orodha ya Mafisadi kutokana na kuhusika kwake na...
  9. D

    Wakati CHADEMA Wanajenga, ACT wanabomoa

    Sasa ndio nimeamini Chama cha ACT ni mpini wa kudhoofisha upinzani. Chadema imekuwa ikijijenga siku hadi siku na mpaka sasa inaendelea kupokea viongozi mbalimbali kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kibaya zaidi, wakati wakijenga chama, ACT wanabomoa.
  10. D

    LOWASSA karibu CHADEMA!

    Nimeamua kufungua moyo kwa kukaribisha Mh. EDWARD NGOYAI LOWASSA Chadema! Lowassa si fisadi kama anavyozungumziwa. KAMA KUNA MTU ANA USHAHIDI KUHUSU UFISADI WA LOWASSA, AUTOE! Ripoti ilimtaja Lowassa katika kashfa ya Richmond, lakini cha ajabu hiki hiki Chama Cha Mapinduzi kilichoshika...
  11. D

    Simba Sports Club

    Full name : Simba Sports Club Founded :1936 Ground : National Stadium Dar es Salaam, -Tanzania Capacity : 60,000 Chairman : Evans Elieza Aveva Manager : Kerrey League =-Tanzanian Premier League
  12. D

    Young Africans Sports Club

    Full name : Young Africans Sports ClubNickname(s):Yanga Founded :1935 Ground : National Stadium-Capacity 60,000 Coach: Hans Van De Plujm League : Tanzanian Premier League
  13. D

    UKAWA ukivunjika, chama gani kitaathirika zaidi?

    [mada] UKAWA ukivunjika, chama gani kitaathirika zaidi?
  14. D

    Umoja wetu wa UKAWA ndio nguvu yetu ya ukombozi

    Umoja wetu wa ukawa ndio nguvu yetu ya ukombozi
  15. D

    Magufuli kapita kwa 'BAO LA MKONO'

    Mwanasiasa mkongwe nchini na moja kati ya waasisi wa chama cha mapinduzi mzee Kingunge Ngombaru Mwiru amesema mchakato wote uliotumika katika kumpata mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM mwaka huu ulikuwa batili. Akizungumza na vyombo vya habari nyumbani kwake jijini Dar es Salaam, mwanasiasa...
  16. D

    Jeshi la Polisi latangaza donge nono la Tsh. 50,000,000/=

    Jeshi la Polisi latangaza donge nono la Tshilingi 50,000,000/= kwa atakayetoa taarifa sahihi za wahusika uvamizi wa kituo cha polisi.
  17. D

    Ushindi wa 'BAO LA MKONO'

    Wameanza kuifanyia mazoezi kuanzia ndani na watahakikisha wanashinda hata kwa 'BAO LA MKONO' Uchaguzi Mkuu uliopangawa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
  18. D

    Makufuli yanafunguka bila funguo zake

    Wakati wewe unajenga, Mwenzako anafikiria kubomoa. TUTAHESHIMIANA TU!
  19. D

    Magufuli mwepesi kwa UKAWA

    Utake Usitake! Upende Usipende! Njia nyeupeeee...! Kwa UKAWA! Ushindi asubuhi na mapema!
Back
Top Bottom