Search results

  1. Y

    Tatizo ni nini katika hii picha?

    kwani hoja ni chadema au ukionacho katika picha?cna imani na aliyekutuma,yangekuwa mawazo yako ucngejibu hivyo!ila chadema ipo na kuna kitu imefanya ndo maana unaizungumzia!
  2. Y

    Tatizo ni nini katika hii picha?

    anahitaji kiyoyozi baridi!
  3. Y

    Elections 2010 List ya Viti Maalum CCM: Efraim Kibonde Yumo??

    Nahisi Kibonde ametema bablish kwa sababu ya karanga za kuonja!
  4. Y

    Kwanini Kikwete Hakuwa na Furaha kwenye Kuapishwa?

    jirani yangu kachana kadi ya chama chake kwa kusoma maelezo haya,yupo tayari kujiunga na chama chako!
  5. Y

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Heri wewe unayeogopa kulia,mimi nalia!!!!!!!!!!!!!!!
  6. Y

    Elections 2010 Hivi ni kweli?

    Chenge yupo sahihi katika tuhuma zake dhidi ya Sitta?Kama wagombea nafasi ya spika ni hao wawili,kura yako ungempa nani?mie ntakuwa msimamizi wa uchaguzi huo!
  7. Y

    Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri: sikiliza ufurahi halafu tujadili

    kama ndivyo,wana JF fanyeni maombi na ushawishi niwe waziri wa siasa!
  8. Y

    Elections 2010 Wana JF Tumeiangusha CHADEMA, tumewaangusha watanzania, tumemsaliti Dr Slaa

    Hvi unajua maana ya udini,ukabila na ujimbo?naamini fikra zako mgango,unaamini usichokiona wala kukijua!tafakari upya,soma mada na hoja mbalimbali ujifunze,mwonesha njia daima amepitia,hao waliokueleza udini,ukabila na ujimbo sio wanachadema,waulize vizuri na urudi upya!
  9. Y

    Je Nadanganywa??? Pls nishaurini..

    Pole sana,usiamini kila usikiacho,uonacho na ufikiliavyo,ni heri ukawa katika mazingira magumu nyumbani kuliko ugenini,
  10. Y

    NADHAMIRIA KUISHTAKI Zain kwa UCHOCHEZI

    jamani tukahakiki kadi zetu za kupigia kura mapema maana kuna mchezo mchafu unanukia
  11. Y

    Elections 2010 Kishindo cha Dr. Slaa chafunga Chuo cha Monduli!

    hata chuo cha kleruu hapa kwetu Iringa ambapo chama cha mapinduzi kinaamini huwa kinashinda kwa kishindo kimefungwa.....
Back
Top Bottom