Search results

  1. Profesa

    Mauaji ya Karume 1972: Je, muuaji aliwahi kukamatwa na kushitakiwa?

    Freed Freed, Mabeberu waliandika hivi: ZANZIBAR KILLING LAID TO SOLDIER
  2. Profesa

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    Kama ulioa shape kaka hahahaa wewe leta wenge ukaokote mashaoe kama hatujashare mzigo wako...halafu urudi hapa utuambie... Hakuna rangi hutaona, siku hizi kupata mwanamke wa kuwa mke na kukaa na watoto na kukuheshimu na akatulia ni ndoto. kama ni hamu itakuja tu ili mradi usiwe mzinzi. Mara...
  3. Profesa

    Tanzia: Katibu wa CCM wilaya ya Ilala afariki kwa ajali ya gari Morogoro

    Alikuwa Katibu wa CCM Ilala akahamishwa...
  4. Profesa

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Game ya Kisiasa ya wakati huu kwa Tanzania haifanani na wakati wowote ule. Aliyekariri atapitwa na mengi.
  5. Profesa

    Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

    picha zinazozunguka kwenye mitandao zikionyesha watoto wakipiga kura ni za kweli?
  6. Profesa

    Bia ya Reds ndani ya chupa ya Safari

    TBL Batch yenu ya tarehe 21 September, 2017 kwenye saa 4.13 hivi ina bia yenye ladha ya Apple nhisi ni Reds. Mnatuharibia kwakweli, hii ni bia ya Tatu wiki hii naikuta. Kakagueni niko Mbezi Beach hizi bia na fanyeni uchunguzi.
  7. Profesa

    Serikali kupitia Waziri Mwijage wamjibu Dangote: He is not aware with the pre existing laws!

    Its very simple, tafsiri ni moja tu! Capitalist yeyote anae invest kwenye nchi inayoendelea na maskini kama yetu, mazingira mazuri ya uwekezaji ni rushwa, mifumo dhaifu isiyosimamia sheria na upendeleo hata kwa mambo ambayo ni hatari kwa watu maskini na nchi kwa ujumla. Na hilo ndio...
  8. Profesa

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Chumvi imetumika sana kibiblia na inatumika sana na waganga. Super natural power hazihitaji science, zinahitaji strong spirit. Salt was widely and variably used as a symbol and sacred sign in ancient Israel Numbers 18:19 and 2 Chronicles 13:5 illustrate salt as a covenant of friendship. In...
  9. Profesa

    AZAM Media jirekebisheni, Habari zenu Zinaboa

    Azam media imekuwa ikisifika kama chombo kilichoiubuka kikiwa na taarifa zenye hadhi, ubora, weledi na zisizokuwa na mrengo wowote. Siku za hivi karibuni tunashuhudia wakianza kuwa na tabia kama ya tabloids au Udaku. Inachefua sana, vichwa vya habari nusunusu viliyokaa kichochezi na...
  10. Profesa

    Rais Magufuli atinga bandarini, ashangaa vichwa vya treni kushushwa na kukosa mwenyewe

    Je ni vichwa vingine visivyo na nyraka rasmi mambo ya kupiga kipindi kike sasa wanaogopa vya moto au ni vile vya mzee wa Misuto?
  11. Profesa

    Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    Watu wanapemda fitina na majungu dah, issue hapo, ni fuel consumption, usage na rekiability. Ethiopian Airline na Japan ni wajinga kuliko sisi? Acheni hizo. Kwanza kampuni ya ndege kubwa kama hiyo haikubali kashfa hata maana hizi ndege zikija huku zinapandwa na watu wote wakiwemo Wamarekani.
  12. Profesa

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Yaani unategemea uwe mpinzani wa CCM halafu wakupigie kura? Au Upinzani wanaweza kuwapigia kura CCM? Unalowaza haliwezi kutokea isipokuwa tu, siasa za wanaogombea zikiwa ni siasa zisizo na takataka ambazo angalau zina apreciate pale mpinzani anapofanya vyema na kukosoa pale panapostahili...
  13. Profesa

    Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

    I think you have shared enough photos, I understand you are so excited, just calm down we just don't want you to end up loosing your concealed identity.
  14. Profesa

    NIlichojifunza: Serikali Vs Upinzani na Media

    Radio Uhuru na Gazeti ni vya Chama! Lazima viongee yao ya kisiasa wanayojisikia. Chombo cha Serikali kinapaswa kiwe proffessional, stratergic na kikubalike na watu wote kama chombo cha Umma.
  15. Profesa

    NIlichojifunza: Serikali Vs Upinzani na Media

    Serikali ina utajiri wa technical team, aidha wanaamini katika chama tawala au hawaamini, lakini wako ndani ya serikali ya Chama cha Mapinduzi. Wote hawa wako busy wakifanya makuu, huku wakiwa na mda mchache sana wakuelezea makubwa na mafanikio waliyoyafikia. Serikali hii inafanya na imefanya...
  16. Profesa

    Kinachoendelea kati ya Gwajima na Makonda sio afya kwa maendeleo ya nchi

    Yaani, Kabila moja, Dini moja, Walokole wote, na wote ni viongozi, wote ni maarufu, wote ni wajanja wajanja, na wote ni watu wasiokubali kushindwa.
  17. Profesa

    Mkurugenzi wa vipindi Clouds, Ruge Mutahaba alaani RC Makonda kuvamia ofisi zao

    Shikamoo bwamdogo Ruge (Namna ya mila ya Kiswahili kumheshimu mtu mwenye uwezo tofauti)! Uliouonyesha ni Uongozi (Leadership)! Umeongea in a very sensitive manner, honesty, umeitumia nafasi kurepair team spirit, na umeadress vyema hoja za wateja wako na conserns za partners wako katika biashara...
  18. Profesa

    Nani zaidi kati ya Toyota land cruiser vs Nissan patrol

    H ilo Jembe ni 24V na ni 4.2CC liko stable sana barabarani yaano off road unaweza piga drifting na halinyanyuki na speed ya kufa mtu, ila lina meza mafuta aisee...
Back
Top Bottom